daladala

Dala dala are minibus share taxis in Tanzania. Often overcrowded and operated at unsafe speeds, these minibuses developed as a response to an insufficient public transport system in the country. While the name may be a corruption of the English word "dollar", they are also referred to as thumni.Before minibuses became widely used, a truck with benches placed in the bed was the typical Tanzanian privately owned public transport. Called chai maharagwe, these were popular c. 1990.While dala dala may run fixed routes picking up passengers at central locations, they will also stop anywhere along their route to drop someone off or allow a prospective passenger to board.In contrast to most of these minibuses, in Dar es Salaam some dala dala are publicly operated as of 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. Mgomo wa Daladala wamalizika Arusha, usafiri warejea kama kawaida

    Baada ya mvutano wa siku mbili hatimaye usafiri wa Daladala Mkoani Arusha umerejea kama kawaida leo Jumatano Agosti 16, 2023. Afisa Mfawidhi wa LATRA, Joseph Michael amesema “Kilichozingatiwa ni Sera, tumewapangia vituo vipya watu wa Bajaj, tunawaondoa mjini kuwapeleka pembeni na wamekubali...
  2. Jiji la Arusha inaonekana bora zaidi bila daladala

    Leo hii nimebahatika kupita jijini hapa na kushuhudia hali ya jiji hili bila ya kuwepo daladala. Mbali na adha wanayopata raia wanaotumia usafiri huu wa ndani. Mji umekuwa nadhifu na wa kupendeza sana. Jam zimepungua lakini pia makelele na vurugu za daladala. Ni wakati sasa wa mamlaka...
  3. D

    Waziri Mkuu Majaliwa tunakuomba uende ukamalize mgomo wa daladala Arusha

    Hii nchi bado ina rule of law ila watu wachache ambao wana maslahi binafsi wanashindwa kufata na kusimamia sheria kwa personal benefits zao. Tunaomba Waziri Mkuu Majaliwa, mtumishi wa watu uende Arusha ukamalize mgomo ulioanza tarehe 14/8 na ambao utaendelea bila kikomo hadi madereva wa...
  4. Ungetatua vipi mgogoro wa daladala na bajaj?

    Tension inazidi kuwa kubwa kati ya bajaj na daladala. Na mara nyingi hii huwa inaleta vurugu na mahasi baina ya wahusika wa bajaj na daladala, ila pia migomo ambayo inapelekea tabu kwa wasafiri. Currently, huko Arusha kuna mgomo wa daladala. Jamaa wa daladala wanalalamika bajaj wanawaharibia...
  5. Mgomo wa daladala na bajaji Arusha wamng'oa Mwakalebela wa LATRA Arusha

    Migomo ya daladala na Bajaji a inayoendelea bila kupatiwa ufumbuzi katika jiji la Arusha,imetajwa kumg'oa aliyekuwa ofisa wa LATRA mkoa wa Arusha Amani Mwakalebela baada ya kushindwa kutatua migogoro hiyo na kusababisha usumbufu kwa wanchi ,wafanyabiashara na wanafunzi kukosa usafiri. Kuhusu...
  6. S

    Hii issue ya Daladala na Bajaji Arusha serikali ya mkoa imeshindwa

    Tulishuhudia mgomo wa daladala za kutoka Morombo kwenda mjini Arusha, wakaahidiwa kulishughulikia. Wakiwa ktk mchakato wa kulishughulikia bajaji wakaandamana, serikali ikawagwaya, imewaogopa maana waliitishia serikali kuwa watarudia kazi yao ya kuvunja na kuiba. Nafikiri Rais angewaondoa hao...
  7. Arusha: Daladala zagoma tena Arusha, leo Agosti 14, 2023

    Kwa mara nyingine tena daladala zote zinazoenda katikati ya jiji. zimegoma kufanya biashara ikiwa ni mgomo wa pili ndani ya kipindi kisichozidi mwezi na nusu. Mussa njuga ambae ni katibu wa daladala amesema mgomo huo hauna kikomo hadi wapate kauli kutoka kwa waziri Mkuu au Makamu wa Rais...
  8. DOKEZO Kwa mara nyingine tena Kituo cha Daladala Mwisho Mbezi Luis hakuna mwanga, taa zimezima usiku

    Kama kawaida Kituo cha Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho, leo tena Agosti 11, 2023 hakuna mwanga, giza limetawala na kusababisha usumbufu mkubwa wa watumiaji. Hii sio mara ya kwanza wala ya pili kwa hali hii kutolea katika Kituo hiki kilichopo karibu na Stendi Kuu ya Mabasi ya...
  9. Mamlaka haziwaoni mateja kituo cha daladala Kawe? ni aibu kubwa sana

    Inatisha sana ukipita asubuhi eneo la Kawe Stand na kukuta makundi ya vijana wakivuta bangi na kujidunga sindano za dawa za kulevya huku wakisindikiza na pombe na energy. Inashangaza sana kwasababu kituo cha Polisi Kawe hakipo mbali na eneo lile, ni kama mita 250 hivi lakini vijana wale...
  10. B

    DOKEZO DAR: Vituo vya daladala Morogoro Road hakuna sehemu ya abiria kupumzikia

    NIMEKUWA nikiliona hili jambo kwa muda mrefu, nikaamua leo niliweke hapa pengine na wewe uliwahi kuliona lakini kama ukaona freshi tu. Ukipita Morogoro Road, njia ambayo mabasi ya mwendokasi ndiyo yalianza kufanya kazi zake hapa Dar es Salaam, utagundua kwamba vituo vya daladala za kawaida...
  11. Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam haya ndiyo yatakayokutia doa hapa Mbezi Luis Stend ya daladala

    Niende kwenye hoja Moja Kwa moja. Hii stend itakuja kusababisha mauaji na viongoz kuanza kujitetea kwa kuleta sababu na matetezi. Hizi ngaz kiunganishi cha vituo viwili vya daladala. Watakuja kufa watu. Mungu aepushie mbali. Mh charamila mkuu wetu wa DSM una viongozi wasiojali utu wa watu...
  12. Daladala wanakera sana kuweka mafuta katikati ya safari hasa ukiwa unataka kuwahi

    Hakuna kitu nisichokipenda kama nikipanda daladala, boda au bajaji especially when kuna foleni na unataka kuwahi wao wanaingia sheri kujaza mafuta. Hivi wanashindwa kuweka full tank na kujaza kila wanapomaliza trip kuliko kujaza katikati?
  13. DOKEZO Giza limetawala Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho, abiria wanategemea mwanga wa taa za gari

    Taa za Kituo cha Daladala cha Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho haziwaki na hali ya Giza imetawala eneo hilo na hivyo kuhatarisha Usalama wa mali na abiria wenyewe. Mpishano wa magari unaendelea huku purukushani za watu nazo zikiendelea hivyohivyo. Kwa ninavyowaona vijana ambao...
  14. Arusha: Usafiri wa daladala kurejea, madereva wamaliza mgomo

    Mgomo huo ulioibuka asubuhi ya leo Julai 3, 2023 baada ya madereva Daladala kudai kuingiliwa ruti na wenzao wa Bajaj, hatimaye wameyamaliza na usafiri unaratijiwa kurejea kama kawaida kuanzia asubuhi ya Julai 4, 2023. Baada ya mazungumzo hatimaye maridhiano yamefikiwa kati ya Mamlaka ya...
  15. Mgomo wa Daladala Jijini Arusha asubuhi hii ya Julai 3, 2023

    Madereva wa Daladala Mkoani Arusha wamegoma leo Kwa kile wanachodai kuwa ni Bajaji kufanya Kazi kama daladala. Idadi kubwa ya wanafunzi na watu wazima wamekuwa wakitembea kwa miguu na wengine wakiwa tu vituoni wakiwa hawajui cha kufanya. Mamia ya wakazi wa jiji la Arusha wakiwemo wanafunzi wa...
  16. Hizi tabia kwenye daladala ziliniumizaga sana

    Mwanaume amesimama nyuma yako anakuelekezea mtalimbo Ingawa hali hii huwapata sana Watoto wa 17-30 years
  17. SoC03 Usumbufu wa daladala nyakati za jioni kisiwani Zanzibar

    Daladala ni njia muhimu ya usafiri katika kisiwa cha Zanzibar. Hata hivyo, upatikanaji wa daladala unaweza kuwa na usumbufu mkubwa nyakati za jioni kutokana na msongamano mkubwa wa abiria. Katika andiko hili, tutachunguza sababu za usumbufu wa upatikanaji wa daladala nyakati za jioni kwa kujaa...
  18. Daladala za Masaki - Gerezani ni chafu, baadhi zina kunguni

    Nina uhakika andiko langu hapa Jamii Forums linaweza kuwafikia watu wengi hasa wenye mamlaka ili ziweze kuchukua hatu. Hapa Dar usafiri wa watu wengi ni Daladala, kina sisi ambao hatuna uwezo wa kununua magari usafiri huo ndio tunaoutegemea kwa kiasi kikubwa/ Kuna daladala zimekuwa na kawaida...
  19. Taja kauli moja ya kibabe sana ambayo haikosekani kwenye daladala

    Taja kauli mojaya kibabe Sana, ambayo haikosekani kwenye daladala Mie nilikutana na moja, "We dada nipe ya nyuma yako." Hahahhahahahaha
  20. Video: Unapanda daladala halafu unanitaka kimapenzi?

    Nami kwa kweli kama huna gari kali hata usinisemeshe. Maana tutatoka out itafika mida ya kutaka kuondoka akili yako inahama inaanza kuwaza kugombea daladala au mwendokasi. Sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…