daladala

Dala dala are minibus share taxis in Tanzania. Often overcrowded and operated at unsafe speeds, these minibuses developed as a response to an insufficient public transport system in the country. While the name may be a corruption of the English word "dollar", they are also referred to as thumni.Before minibuses became widely used, a truck with benches placed in the bed was the typical Tanzanian privately owned public transport. Called chai maharagwe, these were popular c. 1990.While dala dala may run fixed routes picking up passengers at central locations, they will also stop anywhere along their route to drop someone off or allow a prospective passenger to board.In contrast to most of these minibuses, in Dar es Salaam some dala dala are publicly operated as of 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    Daladala zapewa ruhusa ya kusimamisha wanafunzi 4 tu kwa mkoa wa Dar es Salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Pau Makonda ametoa ruksa wanafunzi wanne kusimama kwenye chombo kimoja cha usafiri. Akihojiwa na kituo cha ITV, RC Makonda amesema: “Nimeelekeza watu wote wa daladala kuhakikisha wanabeba wanafunzi wasiopungua wanne (4). Kama ni level seat kwa maelekezo...
  2. J

    Chonde chonde Daladala msianze kusimamisha abiria tena!

    Natoa tu angalizo maana hizi taarifa za kufunguliwa shughuli za michezo, mahoteli, bar nk kunaweza kutafsiriwa kwa namna isiyofaa. Wenye daladala mnatakiwa kubeba abiria kwa idadi ile iliyoainishwa kwenye kadi ya gari. Maendeleo hayana vyama!
  3. J

    Madereva na Makondakta wa daladala kusajiliwa na serikali baada ya kuingizwa darasani na kupatiwa mafunzo ya kazi

    Waziri wa Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Injinia Isack Kamwelwe amesema serikali iko mbioni kuwasajili madereva na makondakta wa daladala ili kuboresha Huduma hiyo hapa nchini. Mh Kamwelwe amesema kabla ya kusajiliwa watendaji hao wa kwenye daladala watalazimika kupelekwa darasani na kupatiwa...
  4. SankaraBoukaka

    Hivi Traffic Police wa Kongowe Mwisho na SUMATRA, mnafahamu uhuni wa daladala za Kigamboni - Mwandege au mnakula 10%?

    Nimekuwa mtumiaji wa hii route ya KIGAMBONI mpaka KONGOWE kwa muda mrefu nikiwa na safari kati ya Kigamboni na Mkuranga. Kwa ujio wa safari za daladala kati ya KIGAMBONI na MWANDEGE nilipata ahueni ya nauli na muda.. Na hii route madereva na makonda wengi walikuwa wakiipigia kelele...
  5. J

    TABOA: Stendi za mabasi ya mkoa na daladala wawepo wasafiri pekee wafanyabiashara waondolewe kupunguza msongamano

    Katibu mkuu wa chama cha wasafirishaji abiria (Taboa) ndugu Mrutu ameiomba Tamisemi kuhakikisha vituoni wanabakia wasafiri tu ili kupunguza msongamano nyakati hizi za majanga ya Corona. Mrutu amesema hata kwenye vituo vya daladala mfano Makumbusho kuna msongamano mkubwa sana wa watu lakini...
  6. A

    Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

    Mambo vipi wakuu, Nimeamua kujikita kwenye biashara ya daladala na bado nipo kwenye hatua ya utafiti. Nimepitia threads nyiiingi sana humu na watu wengi wanaoipiga vita hii biashara wanakuwa na hoja za "Biashara pasua kichwa", "Madereva watakunyonga" n.k bila kuelezea kiundani changamoto...
Back
Top Bottom