Dala dala are minibus share taxis in Tanzania. Often overcrowded and operated at unsafe speeds, these minibuses developed as a response to an insufficient public transport system in the country. While the name may be a corruption of the English word "dollar", they are also referred to as thumni.Before minibuses became widely used, a truck with benches placed in the bed was the typical Tanzanian privately owned public transport. Called chai maharagwe, these were popular c. 1990.While dala dala may run fixed routes picking up passengers at central locations, they will also stop anywhere along their route to drop someone off or allow a prospective passenger to board.In contrast to most of these minibuses, in Dar es Salaam some dala dala are publicly operated as of 2008.
Ilikuwa siku ya Ijumaa 19.2.2021, ni siku nyingine ya kukumbukwa, katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Dar-Es-Salaam, lililoko Barabara ya Sam Nujoma; pale ambapo jumla ya wahusika 84 waliposhiriki katika kufungwa kwa Ndoa 21, zilizofungwa kwa pamoja katika Ibada ya Ndoa...
Kila mtu ana mtaa wake aliotoka, na tabia mbalimbali
leo tuongelee kuhusu hizi daladala zetu
wa UBER mtuache kwanza🤣
Sisi daladala za huku kwetu huwa zinajaa mpaka KONDA anapanda BODABODA
vipi daladala za huko kwenu?
Leo jijini Dar es Salaam nimeshuhudia watu wengi wakiwa wamevalia barakoa na maeneo mengi kuna maji tiririka.
Hata benki na TRA nimeshuhudia barakoa za kutosha tu kwa watumishi.
Kiufupi wananchi wanajitahidi kuchukua tahadhari dhidi ya Corona ila kwenye vyombo vya usafiri ndio wanakofelishwa...
Mamlaka ya usafiri wa ardhini Latra mkoani Geita imepiga marufuku magari madogo yaani Taxi kubeba abiria kama daladala
Afisa wa Latra amesema leseni za magari madogo haziwaruhusu kubeba abiria kama daladala.
Nao wamiliki wa magari madogo wamesema wanalazimika kutumia utaratibu huo kwa sababu...
Nakumbuka tulikuwa tumetoka Kibaha tukashuka pale mbezi stend kuu ilikuwa ni mida kigiza ndio kinachukua nafasi yake kuelekea kukamilisha siku
Sasa bhana tumesubiri zile coaster za kuja huku mjini tukakosa na zilikua hazipaki pale stend maana zilikuwa zimeshajaa kabisa hadi kwenye seat ya...
Tanzania na hasa Dar es Salaam, kuna uchafu wa kutisha ambao hautajiki kabisa sijajua kwa nini, ni mazoea au hauonekani, sio rahisi kusikia utajwe na watu serikalini, binafsi, mashirika, wala viongozi wa umma.
Nakumbuka usafi wa Jumamosi ulivyozingatiwa lakini huu wa makondakta na daladala zao...
Habari za muda huu wana JamiiForums hope mpo poa na maandalizi ya Chrismass
Leo nimejifunza kitu nikiwa karume saa 3 ucku kuna basi lilikuja likawa linatangaza G/Mboto sh 1000 dah kwa wazee ambao hatupend fujo tukazama ndan kwanza basi lenyewe si la G/Mboto rangi ni za root nyingine
Konda...
Habari zenu mabibi na mabwana, juzi Jumapili nikiwa maeneo ya Mbezi nikielekea Makabe nikadondosha kadi zangu mbili ya bank na leseni ya udereva.
Msaada ninaoomba kwa mtu anayemjua dereva ama konda kwa ruti ya Mbezi/Makabe anipatie niwasiliane nae aniangalizie huenda wakawa wameziona hizo...
1. Daladala nyingi za Dar, taa za kulia huwa ni full light tu.
2. Makonda wa daladala karibu route zote isipokuwa Posta-Mwenge ni wachafu sana
3. Madereva wengi hutumia pombe kali, hasa K-Vant
4. Huzuia usingizi kwa kunywa energisers kama Azam Energy na Mo energy
5. Makondakta wakiwa na pesa ni...
Mtu ( Abiria ) anapanda DalaDala halafu anaamua Kukaa katika Siti ambayo japo kuna Jua Kali linapiga lakini Dirisha lake ni zima na linapitisha Upepo ( Hewa ) vizuri tu ( hasa Kipindi hiki cha Joto Kali jijini Dar es Salaam ) anaamua Kuhama hapo ili kulikwepa hilo Jua na kwenda Kukaa katika Siti...
Ndugu wanajamvi,
Nimefika mjini Morogoro kwenye hekaheka zangu nikashangazwa na kitendo cha kuhamishia stand ya daladala kutoka katikati ya mji na kuipeleka karibu na Chuo Kikuu cha Sokoine umbali wa kama Km 2+.
Ni jambo jema kuboresha huduma kwa jamii kutokana na kukua kwa mji, lakini...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania;
Upi ni uamuzi sahihi wa kufanywa na abiria pindi gari (hususan daladala) inapoanza kurudi nyuma baada ya kushindwa kupanda mlima?
Je, ulishawahi kujikuta katika hali hii na ulifanya nini?
Nimeamua kuomba ushauri...
Ukiangalia idadi ya magari yaliyotarajiwa kwenda kwa haraka yanayopita kwenye barabara hizi za haraka utagundua kuwa ujenzi wa barabara hizi una harufu ya ufisadi. Ujiangalia idadi ya magari na abiria wanaotumia hizi barabara ni kidogo sana kulinganisha na thamani ya ujenzi wa mradi.
Barabara...
Je, ni kwanini Makondakta wa DalaDala nguvu zao nyingi za Kudai Nauli kwa Abiria wao huziweka sana kwa Abiria tu wa mbele na nyuma lakini mara nyingi mno wale Abiria wanaopenda Kukaa Siti za katikati hujikuta wakiwa wamesahaulika Kudaiwa Nauli? Na imegundulika pia kuwa Wakwepaji wengi wa Kulipa...
Mabasi mengi ya daladala yanayofanya kazi kati ya Makumbusho, Bunju, Tegeta na Mbweni yamekodiwa na CHADEMA kubeba wanachama wake na yanapeperusha bendera za CHADEMA.
Nauliza tu bwashee Mmawia, Salary Slip na tindo leo mna shughuli gani jijini DSM maana kama ni kampeni nadhani mlishazindua jana...
Kama wewe ni mtumiaji wa usafiri wa daladala, pasipo na shaka umewahi kukutana na vituko kadha wa kadha vya baadhi ya abiria, makondakta au madereva. Embu kila mtu aweke vituko alivyowahi kuvishuhudia.
mimi vyangu ni hivi vifuatavyo.
1. Mimi niliwahi shuhudia kondakta akilumbana na mama mmoja...
Pamoja na kutangaziwa kupungua kwa maambukizi ya Corona. Hali ya kujikinga na kuchukua tahadhari haipo tena maeneo mengi Dar.
Mabasi ya daladala yamekuwa yakijaza abiria bika kuzingatia maagizo yaliyotolewa. Daladala za Mbezi, Buguruni na Gongolamboto na mengine nyakati za usiku na asubuhi...
Habari JF,
Hakika hii imenishtua sana baada ya kuona bei ya daladala zinazofanya safari ndani ya jiji la dar es salaam kupandisha bei ya nauli kimyakimya au naweza kusema kinyemera pasipo kuutarifu umma
Kwa sasa usafiri kutoka mbezi, kimara kuelekea city center si tatizo tena kwani coaster...
Sasa hivi kuna wizi wa kulazimishana unafanywa na makonda wa daladala. Makonda na madereva wanaweka mazingira ya kulazimisha watu walipe nauli mara mbili ya nauli halali.
Wanachokifanya ni hivi: wakifika kituo cha mwisho wa gari wanawatoza abiria kulipa nauli ya kuzunguka. Yaani ukipandia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.