Nina malalamiko kuhusu Kuanzishwa kwa Dampo (Jalala) Katika Nyumba ya Serikali, Eneo la Ntengere – Igulwa, Bukombe, katika kuliweka hili sawa kuna ushahidi wa picha zinazolionyesha eneo hili kwa hatua zaidi ambazo zitachukuliwa.
Katika picha hii ni hali halisi ya dampo, dampo hili limevuka...