daniel chonchorio nyamhanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Yani nchi ilikuwa hata wanaCCM wenyewe wakitekwa ndugu au rafiki zao wanaogopa kukemea na watu waalikuwa wanaona sawa tu??

    Hili nililiona kwa yule Chonchori nikashangazwa zaidi mpaka wenyewe wanaogopa hili genge alafu wanataka kutuaminisha hiyo ni amani mko sawa nyie??? Mzee haki yako pia itapiganiwa na sisi raia, kitu ambacho haikutegemea ila ndiyo maisha yalivyo hao uliohisi ni ndugu na watasimama na wewe kila...
  2. Anonymous

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM aliyepotea Chonchorio inadaiwa alionekana hayupo sawa siku moja kabla ya kupotea, Serikali isaidie apatikane

    Ikiwa imetimia siku ya tano tangu kutolewa kwa taarifa ya kupotea kwa Kada wa CCM ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Daniel Chonchorio, Mkazi wa Jijini Mwanza aliyepotea katika mazingira ambayo yanadaiwa kuwa tata, familia yake imeendelea kuomba Serikali...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi Mwanza yatangaza kuanza uchunguzi wa tukio la kutoweka kwa Daniel Nyamhanga, Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya kutoweka kwa Ndugu Daniel Chonchorio Nyamhanga, ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambapo hadi sasa, hajapatikana, na juhudi za kumsaka zinaendelea. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Kamanda...
Back
Top Bottom