Hili nililiona kwa yule Chonchori nikashangazwa zaidi mpaka wenyewe wanaogopa hili genge alafu wanataka kutuaminisha hiyo ni amani mko sawa nyie???
Mzee haki yako pia itapiganiwa na sisi raia, kitu ambacho haikutegemea ila ndiyo maisha yalivyo hao uliohisi ni ndugu na watasimama na wewe kila...
Ikiwa imetimia siku ya tano tangu kutolewa kwa taarifa ya kupotea kwa Kada wa CCM ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Daniel Chonchorio, Mkazi wa Jijini Mwanza aliyepotea katika mazingira ambayo yanadaiwa kuwa tata, familia yake imeendelea kuomba Serikali...
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya kutoweka kwa Ndugu Daniel Chonchorio Nyamhanga, ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambapo hadi sasa, hajapatikana, na juhudi za kumsaka zinaendelea.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Kamanda...