Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
📢 VIJANA WA DAR ES SALAAM – NI WAKATI WETU! TOKA, NITOKE - TWENDE TUKAJIANDIKISHE
🔥 MIAKA 18+...!! TOKA, NITOKE – TWENDE TUKAJIANDIKISHE! 🔥
🗓 TAREHE: 17 - 23 Machi 2025
📍 ENEO: Mkoa wa Dar es Salaam
Twende tukajiandikishe, maana maendeleo hayaji yenyewe – tunayachagua sisi...
✳️ NI ZAMU YETU DAR ES SALAAM, TUKAJIANDIKISHE TUWEZE KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU
Zoezi la kuboresha taarifa na kujiandishika katika Daftari la kudumu la Mpiga Kura litaendelea kwa mkoa wa Dar es Salaam kuanzia Machi 17 hadi 23, 2025.
Issa Rajabu Risasi mkazi wa Kawe amewaomba watu wenye sifa za...
Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam
Nimeogopa sana!
Kama usafiri wenyewe unakuwa hivi nitafia kwenye kwenye daladala sijui mwendokasi😭😭
Na mimi ni mfupi kama Evelyn Salt binamu yake cocastic
Leo ni siku ya wanawake duniani, chadema wamefanyia katika ukumbi uliojaa fahari kuu na anasa-Mlimani City.
Kuna Msimbazi Centre ya mwanachadema Padri Kitima na nyingine nyingi, kwa nini chama changu kikodi ukumbi kwa zaidi ya milioni mia moja (100, 000,000/) wakati juzi tu wamelia hawana...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Machi, 2025.
Habari waungwana
Naomba kujua watoa huduma ya Fiber Dar es salaam, kama utakuwa na mawasiliano yao itakuwa poa ukiweka ikibidi na bei za huduma zao pia.
Naomba kuwasilisha.
Ni mwezi, miezi na mwaka sasa watendaji wa umma wameamua kuwa sikio la kufa.
Mnamo mwezi ya saba mwaka 2024 mh waziri alitembelea kinyerezi kuondoa kero ya maji iliyotesa wananchi. Aliiweka chini ya uangalizi wa wizara, cha ajabu mwaka unatimia kero ikiandama wananchi wa saranga na kinyerezi...
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Dar es Salaam utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 17 hadi 23 Machi, 2025 ambapo wapiga kura wapya 643,420 wanatarajiwa kuandikishwa.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs...
Mwenyekiti wa Wabunge wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Kisangi amesema, ziara waliyoifanya kwenye baadhi ya viwanda mkoani Pwani wakiambatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo imewapa fursa ya kuona uwekezaji mkubwa unaofanyika mkoani...
Yaani Haya Maisha Bwna.
Yanaweza kuwa yamekupiga Chenga ila bado ukawa unaamini umeyapata.
Hasa hasa kama una ishi Dar kuna kaimani kanakujia kichwani kwamba huko Mbeya hakuna kitu, kuna kasumba inakupumbaza kichwani kwamba huko Mtwara kumejaa maskini tu na hakuna hela. Yaani Kichwa kinajaa na...
Zamani awamu za nyuma, kulikuwa na wazee wa Dar es salaam.
Hawa mara kwa mara wangeweza kufanya vikao na mkuu wa nchi kuhusiana na mambo mbalimbali ya nchi.
Awamu iliyopita ni kama walipuuzwa na awamu hii ni kama wamesahaulika.
Je zama zao zimekwisha?
👉🏾Dar es Salaam, jiji lenye giza na mwanga, limejaa ndoto na fursa zisizoisha. Lakini ni ndoto gani zinazozungumzwa na watu wanaoshindwa kutimiza malengo yao? Jiji hili linapokuja kwenye mandhari ya kibiashara na utamaduni, linatoa picha ya maendeleo, lakini je, kila pembe ya mji inavyoonekana...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Ndg. Stephen Wasira akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni...
📢 Internship Opportunity – FIRST PLUS LIMITED 📢
FIRST PLUS LIMITED is seeking a motivated intern to join our team and gain valuable hands-on experience.
Qualifications:
✔ Diploma or Bachelor's degree in any field (candidates with a background in Business Administration or Procurement are...
📢 Internship Opportunity – FIRST PLUS LIMITED 📢
FIRST PLUS LIMITED is seeking a motivated intern to join our team and gain valuable hands-on experience.
Qualifications:
✔ Diploma or Bachelor's degree in any field (candidates with a background in Business Administration or Procurement are...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.