dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Ryan The King

    Msaada: Naomba kujua zilipo Ofisi za Mganga mkuu(RMO) Mkoa wa Dar es salaam

    Hello! Kama kichwa kinavyojieleza, hivi hizi ofisi ziko wapi? Natanguliza Shukrani
  2. O

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Makumbusho, Kijitonyama na Sinza bei kuanzia 50-60 kwa dalali naomba mnisaidie ni mwanafunzi

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya makumbusho, Kijitonyama na Sinza bei kuanzia 50-60 kwa dalali naomba mnisaidie ni mwanafunzi
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Malcom X in Dar es Salaam

    This is photo of Malcolm X on the beach in Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 The year (1964) just months before he was assassinated in the US 🤲🏽 . During his travels, he met with various leaders and explored Pan-Africanism, emphasizing unity among people of African descent around the world.
  4. monotheist

    Imekuaje leo joto limepotea ghafla Dar es salaam

    Hii mvua ya leo imekuja na upepo wenye unyevu wa baridi hadi raha hali hii ya hewa kwa leo inatusahaulisha machungu ya joto kali hapa jiji Dar Natamani hali ya hewa iendelee kuwa hivi ili itupunguzie machungu ya joto kali
  5. LIKUD

    Ukitaka kufanikiwa kwa urahisi hapa jijini Dar es salaam. Nenda kaishi Chanika

    Kwa sababu Chanika kuna " uhai" . Huhitaji kuwa expert wa kusoma alama za anga na alama za ardhi kun'gamua kwamba chanika kuna " uhai" . Kama sauti yako ya ndani ( inner voice) ipo active and effective, siku ukifika Chanika uta detect " uhai" juu ya ardhi ya chanika. Siku hizi wafanya biashara...
  6. Hismastersvoice

    Dar es Salaam Mbagala hali ni hii

    USINYWE BIA KUNYWA MAJI YASIYO YA BARIDI YA KUTOSHA.
  7. I

    Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam

    Sichagui kazi kikubwa iwe ya halali Umri: 23 Elimu form 4, diploma Niko na uzoefu wa kuuza Duka la chakula kwa miaka 4. Pia, nina uwezo mzuri kuhusu mipango ya biashara na pia natoa ushauri wa kibiashara kwa mtaji kuanzia million moja. 0622998765
  8. BARD AI

    Rapa Naziz afiwa na mtoto wake wakiwa Hotelini Dar es Salaam

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msanii huyo kutoka Kenya imeeleza kuwa Jazeel alifariki kutokana na ajali aliyopata akiwa katika moja ya Hoteli waliyofikia jijini Dar es Salaam. Hata hivyo taarifa ya Naziz haijaweka wazi zaidi kuhusu tukio la ajali na tayari Marehemu amezikwa jijini...
  9. GoldDhahabu

    Basi gani linaenda Johannesburg Afrika Kusini kutokea Dar es Salaam, Tanzania?

    Tafadhali mwenye taarifa anisaidie. Kuna basi jingine tofauti na Mkombe Luxury Coach? Asanteni🙏
  10. I

    Natafuta kazi yoyote halali. Niko Dar es Salaam

    Mimi NI kijana wa miaka 23 Nahitaji kazi yoyote halali either ya nguvu au akili au zote kwa pamoja nimemaliz form four na nikisoma diploma miaka 2 wa tatu nimeshindwa kutoka na changamoto za ada hivyo nimeipata certificate course insurance and Risk management Na Nina uzoefu wa kuuza Duka kwa...
  11. kocha Nabi

    Basi la Mkombe Luxury Coach South Africa-Dar lapata ajali mbaya

    Hii imetokea leo huko Zambia. ilikuwa inatoka South Africa kuja DAR.
  12. C

    Kutafuta Mwalimu wa day care Dar es Salaam

    Tunatafuta mwalimu wa day care in Dar es Salaam. Vigezo awe mwanamke, tuna kituo cha day care Salasala, anayeona mema atupigie. 0717457679 CHANGAMOTO NI MATUMAINI / www.changamoto.org / info@changamoto.org
  13. X

    Natafuta Mabanda ya Ufugaji Nguruwe Ya Kukodisha Dar es Salaam na Vitongoji Vyake

    Katika kipindi hiki, mimi binafsi naendelea kujikita kikamilifu katika harakati zangu za kutafuta mabanda ambayo naweza kuyakodisha kwa lengo la kuanzisha shughuli za ufugaji wa nguruwe. Katika kutimiza lengo hili, nina tamanio kubwa la kupata mabanda ambayo yapo Dar es Salaam au katika maeneo...
  14. M

    Mawakala wa mauzo Dar es salaam

    Tuma CV yako raphael.temu.platinum@gmail.com Au whatsapp 0677032759 Mwisho wa maombi ni 22/12/2023
  15. Jidu La Mabambasi

    Chalamila amefikia mwisho wa kufikiri: Eti Watanzania wahame Dar es Salaam yenye matatizo

    Ni lazima tuseme, Mkuu wa Mkoa wa DAR ndugu Albert Chalamila amefikia mwisho wake wa kufikiri. Kauli yake ya jana, ati watanzania waoona Dar, jiji la changamoto nyingi, wahame Jiji kama changamoto hizo zinawakera hao wananchi. Anazidi kusema ukiona joto kali, hama jiji, nenda kijijini, ukiona...
  16. B

    Bandari ya Dar es Salaam yakabidhiwa eneo la Kurasini

    13 December 2023 Dar es Salaam, Tanzania SERIKALI YAKABIDHI ENEO LA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM KWA BANDARI YA DAR ES SALAAM BAADA YA MRADI WA EPZA KUFELI Eneo lililokuwa maalum kwa uwekezaji chini ya Mamlaka ya Ukanda Maalum wa Uwekezaji (EPZA) lakabidhiwa kwa bandari ya Dar es Salaam iliyo...
  17. M

    Msaada: Maeneo ya Maktaba (Libraries) ninayoweza kwenda kujisomea hapa Dar ukiondoa Maktaba Kuu ya Taifa

    Wadau, Ukiondoa Maktaba Kuu ya Taifa, naomba kujuzwa kama kuna maktaba yeyote nyingine ambayo mtu yeyote anaweza akaenda kujisomea. Naomba kama unajua jina, location, utaratibu, gharama ya maktaba na uwepo wa huduma za ziada kama umeme, internet, nk, katika maktaba hiyo au hizo pia...
  18. Mwamuzi wa Tanzania

    Dar es Salaam ili uende kazini na kurudi lazima uandae elfu 10 ya usafiri pamoja na chakula. Maskini hana chake hapa nchini

    Naandika hii mada nikiwa na uchungu moyoni. Sasa hivi nina miezi kama 4 hivi natumia Daladala kwenda na kurudi kazini na mara chache, tena chache sana huwa natumia bodaboda kazini mpaka home, home mpaka kazini. Kutoka Nyumbani mpaka kazini nikipanda bodaboda direct ni elfu 15. Go and return...
  19. Hismastersvoice

    RC Chalamila, nenda Mbagala Zakhiem kalifungue soko

    Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanini haukutaka kwenda kwenye soko la Mbagala Zakhiem kulifungua badala yake ukaenda kwenye uwanja wa Mbagala Zakhiem uliopo nusu kilomita kutoka kwenye soko? Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa nenda Mbagala Zakhiem kalifungue soko kwani wafanyabiashara wa awali...
Back
Top Bottom