Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Dar es salaam Ndugu. Mwajabu Mbwambo, ameshiriki katika mkutano wa waandishi wa habari uliondaliwa na katibu mkuu Uwt Taifa Ndugu Joketi Mwegelo. Ukiwa na lengo la kuwahabarisha wanawake katika kuelekea siku ya wanawake duniani kuendelea kumuunga...
Habari?
Wadau wa utalii na wote wanaoweza kunisaidia kuhusu utalii wa mikumi.
Nina Mtalii Mume&Mke tumefanya nao kazi ila wanataka kuona wanyama in cheap and convenient way, nikawaambia mbuga ya kwenda ni mikumi sasa naombea msaada wa gharama ya kutoka morogoro mpaka mikumi,kulala mbugani siku...
Wakuu naomba mwenye wimbo wa orchestra makassy Dar es salaam jiji umbea mwingi, ukila kisamvu kaza roho mama Mwanza aaaa mteva, shinyangaaa mteva naomba kuwasilisha.
Jamii imepewa wito wa kupuuza taarifa zinazoenea hivi karibuni zikieleza kuwa shughuli za uendeshaji katika Bandari ya Dar es Salaam zimesimama badala yake inapaswa kufahamu kuwa Bandari hiyo imekuwa ikifanya kazi kwa saa 24 tena ikitumia teknolojia ya kisasa katika kurahisisha zoezi la utoaji...
Jumapili Machi 03, 2024 kupitia mitandao ya kijamii na makundi sogozi, zilisambaa taarifa za kudorora kwa utendaji kazi ya kuhudumia Meli na Shehena katika Bandari ya Dar es Salaam kunakohusishwa na mgomo wa wafanyakazi wenye madai mbalimbali likiwemo kufutiwa mikataba yao ya kazi.
Kufuatia...
Habari wana JF, nataka kumfungulia mwanangu duka la kuuza sabuni za maji. Tayari ameshapata knowledge on how to prepare it kupitia Social Media. Kilichobaki ni mahali pa kupatia malighafi za utengenezaji kama vile:
(a) Sulfonic Acid
(b) Slesi
(c) Soda ash
(d) Alca 2
____________________H2O
(e)...
Hope mmeamshwa salama. Ningependa kujuzwa kama kuna sehemu safi Dar wanayotoa huduma ya bafu / kuoga tu (bila kujali kama mtu amelala hapo kwao). Kama zipo za karibu na Ubungo, ingependeza zaidi. Natanguliza shukrani
Kama kichwa kinavyo jieleza.
Westpoint Oven lita 63 inahitajika Dar es Salaam.
Kama unayo dukani kwako taja bei yako na location ya duka lako bila kusahau mawasiliano yako.
Kuna kitu sijui naweza kusema ni nini, maana si ndege kwa muonekano wa taa ulivyokuwa mrefu, ila nimeshindwa kuelewa kwa sababu ya giza.
Kimetokea uelekeo wa Bagamoyo kwenda kigamboni, mliopo huko hadi mbagara mnaweza kutujuza au anayeweza kuelewa ni kitu cha aina gani.
Kwenye komenti No. #7...
Kumekuwa na idadi kubwa sana ya watoto wa kike wanao jihusisha na biashara ya ukahaba. Wengi wao kimuonekano wanapaswa kuwa wanafunzi wa sekondari. Je tatizo linaweza kuwa nini na nini kifanyike kuokoa kizazi? Au hatujui madhara ya kuwa na kizazi cha makahaba.
Ukahaba ni roho moja chafu...
Ni miaka mingi huyu mtu amefunga huu mtaa, ambae amepangisha watu barabarani, barabara yetu ya kupita, na kapangisha watu, mbele kajenga fremu na kajenga banda la chips, kaweka mama ntilie, na katengeneza umiliki wake.
Huu mtaa kiuhaalisia ukitokaa sinza hii barabara ya Africa sana kuja TRA...
Kiukweli sifa za kuwa mkuu wa mkoa zimebadilika sana hususani kwa Dar es Salaam.
Yaani mkuu wa mkoa an amajukumu kuliko hata Meya, Mkurugenzi na wengine ambao wapo kwa ajili ya majukumu yao.
Imekuwa sifa siku hizi kuwa trend sana mpaka ukiwauliza watoto wadogo kuwa kazi za wakuu wa mikoa...
Wana Mapinga Bagamoyo Mkoani Pwani GENTAMYCINE nasema kwa Heshima, Unyenyekevu na Taadhima kubwa sana kwenu kuwa Hodi Hodi na Hodi tena kwa mara ya Tatu.
Sasa tutakuwa pamoja kwa Shida na Raha kama ambavyo nilikuwa Kawe. Kwa Samaki wenu hawa Watamu wa hii Beach yenu nzuri ya Mchango wa Hela...
Habari wadau,
Nauza simu yangu kwa mtu anayetaka kuinunua hapa Dar es Salaam. Nakupa na chaja yake bure. Simu ipo rooted na unaweza kutumia line 2 za simu. Kama utataka nikufungulie social media accounts (Instagram, Facebook, X, nk), nitakufungulia bure. Pia kama utataka links za websites za...
Nilikua Dar for a month hapo 2022, lakini kweli Dar pagumu aisee, ila nilijaribu niwezavyo kuhustle, kawni Ilinibidi nirudi Kenya, licha ya moja mbili tatu zinazotuma nipachukie hapa Kenya SANAA! Sababu zenyewe ambazo zikasababisha niondoke na kwenda Dar.
Imefika mda tena masaibu yangu Kenya...
Ni Vyuo Vikuu maarufu zaidi barani Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara? Vigezo vifuatavyo vya uteuzi:
Kukodishwa, kupewa Leseni au Kuidhinishwa na Shirika linalotambulika linalohusiana na Elimu ya Juu katika kila nchi.
Kutoa angalau Digrii za miaka mitatu au Digrii za Uzamili au za Udaktari...
Kiwanja kinauzwa KITUNDA DAR ES SALAAM, kiwanja hiki ni kikubwa mita 30*40 bei milioni 23 tu...!
Unaweza ukajenga nyumba 2 za wastani... na car parking kidogo ikabaki. Barabara ya mtaa inafika hadi kilipo kiwanja.
Kiwanja hiki kipo karibu kabisa na barabara ya Lami kama hatua 700 hivi kutoka...
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kwenye shughuli kuaga mwili wa Edward Lowassa inayofanyika leo tarehe 2/23/2024 katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam.
https://www.youtube.com/live/aF_0GKdRJYI?feature=shared
Salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali
Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.