Wakuu wa JF ....nauliza kwa maeneo ya Chanika Dar kwa sasa ni biashara gani ndogo inaweza kuwa nzuri kwa kufanya maeneo yale ya Chanika kwa Mtaji takribani wa 2M
Ndugu zangu naomba kujua zilipo ofisi za EWURA hapa Dar es Salaam.
Nime-Google sehemu nyingine wanasema ziko Kijitonyama PSPF Tower, sehemu nyingine wanasema ziko Mawasiliano Tower, Sam Nujoma Road na simu zilizopo kwenye tovuti yao hazi patikani.
Tafadhali kama unajua zilipo pamoja na namba...
"Ipi kauli ya Serikali ya kutokamilika kwa miradi ya Maji katika Jimbo la Kibamba?" - Mhe. Issa Jumanne Mtemvu, Mbunge wa Jimbo la Kibamba
"Serikali imekamilisha ujenzi wa miradi mitatu ya usambazaji wa maji kutokea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi Bagamoyo (2B2F), Mshikamano na Kitopeni...
Leaders of the Ahmadiyya Community from Sub-Saharan Africa have gathered in Tanzania for a two-day seminar (20th April and 21st 2024). The seminar, held in Dar es Salaam, focuses on discussing ethical issues in the participating countries.
The participants include leaders aged 40 and above...
Kwa Bajeti ya Tanzania shilling elfu hamsini naweza kupata wapi chumba standard ambapo nitapanda gari moja mpaka mjini na kuweza kurudi night kali bila hofu ya vibaka.
Natanguliza shukurani.
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Kampala kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Kampala.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Kampala wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema...
Nimeenda kumtembelea shangazi yangu yupo kimanga; aiseee! Sikuwai kuona barabara mbovu kama ile. Yaani ni siyo kwa mashimo yale. Binafsi kichwa, mgongo na kiuno vinauma. Sasa nikawa najiuliza, huku mimba hazichoropoki? Watoto dish zao (akili) haziyumbi? Vyombo vya moto navyo haviko salama hata...
POST LECTURER (MARITIME TRANSPORT/MARINE ENGINEERING)(RE-ADVERTISED) – 1 POST
EMPLOYER DMI
APPLICATION TIMELINE: 2024-04-16 2024-04-29
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. To teach and conduct seminars up to NTA level 9 (Master Degree);
ii. To guide and supervise students in building...
Msumi ni Kilometer chache sana kutoka stendi ya mabasi ya Magufuli.
Sasa cha ajabu ni kwamba Msumi ipo kama vile hata wakuu wa Mikoa waliopita hapo Dar na wasasa si ajabu hawajui iko upande gani wa mji, achilia mbali DC.
Mbunge wa Ubungo (labda atapeleka pua) kwa ajili ya kampeni, Sina hakika...
Dar es salaam
Ikulu ya Mjerumani ikiteketea baada ya kupigwa kombora toka kwenye meli ya mwingereza.
Kwenye eneo hilo ilibidi mwingereza ajenge Ikulu mpya
Miongoni mwa maeneo yaliyoshambuliwa siku hiyo ni pamoja na mnara wa mawasiliano (wireless tower) ambao Wajerumani walikuwa wakiutumia kwa...
Arusha,Zanzibar,Kilimanjaro,Mara na Mbeya ni moja kati ya sehemu ambazo zimekuwa ukipata sifa lukuki juu ya uzuri wa maeneo ndani ya mikoa hiyo.
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kuonesha uzuri wa Dar,Jiji ambalo mamillion ya watu pamekuwa nyumbani....Kuna maeneo mengi mazuri na vivutio vingi...
Profesa wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), Julius Nyahongo amesema kuwa miaka mitano ijayo, wakazi waishio Dar es Salaam watalazimika kutembea na oksijeni kutokana na ongezeko la joto.
Profesa Nyahongo amesema kuwa ongozeko hilo la joto linachangiwa na ukataji wa miti kiholela hali inayohatarisha...
Habari za weekend wakuu, Tusaidiane kufikisha Hii taarifa ya adha inayowakumba wakazi wa Majohe kwa muda mrefu sana kuhusiana na ubovu wa barabara kuanzia shule ya sekondary Halisi mpaka kituo cha kwa mjeshi.
Barabara hii ni mbovu mno kupelekea vyombo mbali mbali vya usafiri ikiwemo usafiri wa...
Habari za weekend wakuu, Tusaidiane kufikisha Hii taarifa ya adha inayowakumba wakazi wa majohe kwa mda mrefu sana kuhusiana na ubovu wa barabara kuanzia shule ya sekondary Halisi mpaka kituo cha kwa mjeshi
Barabara hii ni mbovu mno kupelekea vyombo mbali mbali vya usafir ikiwemo usafir wa umma...
Makala hii nimeiandika miaka michache nyuma kwa ajili ya gazeti moja Ulaya na ndiyo sababu iko kwa Kiingereza.
RAMADHANI IN DAR ES SALAAM THROUGHOUT THE YEARS
Observation of the holy month of Ramadhan in actual fact begins when the moon is sighted at the end of Shaaban.
Soon after Magrib...
Kuna Ndege ya ATCL Bombardier inazunguka sana kwenye anga ya Dar bila kutua, nimejaribu kuhesahabu kama mizunguko mitatu au minne.
Je inashida yoyote au kuna iliyoomba emergency landing?
Wajuvi wa hili tafadhali
Bonjour
Aisee ndugu zangu siwafichi, asilimia 90 ya maeneo mengi ya Dar es salaam yananuka sana , na hii imesabishwa Kwa poor management ya mitaro inayo pitisha maji machafu, haswa kipindi hiki cha mvua watu wanafungulia chemba alooo ni hatari sana , alafu kila kona ya mtaa unao pita, kuzagaa...
Kwa wale ambao Dar ni kwao nadhani watakuwa wanapajua migomigo me napasikiaga tu katika nyimbo za wasanii ila sijawahi kupajua naishia kuhisi labda ni maeneo ya Magomeni.
Na sehemu nyingine nataman kuijua maarufu kama lango la jiji ipo njia gani hiyo Lango la Jiji?
Hakwambii kama hana au atakutafutia kesho anaanza kukupanga Mara ooh subiri kidogo kipengele hapa usafiri Mara blah blah kibao yaani lazima akuingize viswahili acheni ujanja ujanja watu wa dar sio unamuaminisha mtu asubiri ukipigiwa simu inazingua acheni kudanganya danganya wakuu.
Mheshimiwa Albert Chalamila ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam amepokea msaada wa vitu mbalimbali kutoka taasisi ya DP World Foundation na kukabidhi msaada huo kwa watu wenye uhitaji katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi wa Ramadhan.
Msaada huo unaokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.