Seti ya kwanza ya EMU
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa ya kuwasili katika Bandari ya Dar es salaam kwa seti ya kwanza ya Treni ya kisasa ya EMU, Vichwa vitano vya umeme na Mabehewa matatu ya Abiria ( iliyowasili ni seti moja ambayo kikawaida hufungwa behewa nane na vichwa viwili...
https://www.youtube.com/watch?v=g_Vx3fF69f0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule katika ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Aprili, 2024.
RAIS SAMIA: MAWAZIRI MKAJIBU HOJA ZA CAG
Siku chache baada ya Mdhibiti na...
Waungwana. Nawasalimu kwa jina la jamhuri.
Nauli zilizowekwa hivi karibuni ni za kumtesa mwananchi na ukiangalia kwa kina haina tija hata kwa serikali yenyewe. Hapa kuna tatizo kubwa la kukurupuka kuipandisjmha bila utafiti wa kiuwiano.
Zipo njia hazina tatizo lolote kwa mfano.
Mbezi- kibaha...
Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM.
====
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama...
Mkutano wa 13 wa Baraza la Washauri la China na Afrika ulifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huo ulifikia "Makubaliano ya Kukuza Maendeleo na Ushirikiano wa Kimataifa kati ya China na Afrika," unaojulikana pia kama "Makubaliano ya Dar es Salaam." Kama mafanikio muhimu...
Habari wana Jamii Forum
Ningeomba niwasilishe hili swala kwa jamii ili tuliongelee.
Dar es Salaam ni Jiji zuri sana kwa hapa Tanzania ambalo linapendwa na wengi na huo ndio ukweli usiopingika,lakini pamoja na uzuri wake wote kuna kitu kimoja tu kinashusha thamani ya Jiji hili nacho ni MAZINGIRA...
Kwasabb kili kitu kinapatikana hapa, mathalani elimu, afya, biashara, usafiri n.k. hali ya hewa ni nzuri licha ya uzito wake wakati mwingine, kila mtaa umechangamka na utamaduni, staili na tabia yake ya maisha.
Haiwezikani eti kwa siku moja tu uzunguke dar nzima uimalize kama mikoa mingine...
Tangu asubuhi kumekuwa na mvua kubwa ikinyesha jijini Dar es Salaam. Huu uzi ni kujulishana athari na matokeo ya mvua hizo.
Je, ni barabara gani hazipitiki, tupite wapi? Wapi kuna mafuriko, na hatua gani tuchukue ili tuwe salama?
Tuhabarishane sisi kwa sisi.
Tangazo la TPA la ufafanuzi linasema wafanyakazi watakaobaki TPA watakwenda kufanya kazi bandari nyingine nje ya DSm. Kwa kauli hii maana yake hakuna mfanyakazi wa TPA atakayebaki bandari ya DSM baada ya DP world kuanza kazi?
Tangazo lao na ufafanuzi uliowakutolewa hapo awali ulionyesha ni...
Mamlaka inayosimamia usafiri wa nchi kavu nchini Latra, imetangaza njia mpya katika mikoa ya Dar, Dodoma na Arusha.
Kwa Dar Es Salaam njia hizo ni Bunju sokoni hadi Kivukoni na Bunju hadi gerezani, njia nyingine ni Bunju sokoni hadi Magufuri Bus Terminal, nk.
Kwa Arusha kwa mromboo hadi Fire...
Nimerekodi video hii jana asubuhi Machi 20, 2024 nilipokuwa napita mitaa ya Kariakoo, hapa ni jirani na kilipo Kituo cha Mwendokasi pale Gerezani, kama unavyoona mwenyewe hali ya barabara si nzuri.
Magari na watu wote kwa pamoja wanapata changamoto ya kupita, mvua ikinyesha hali ndio inakuwa...
Hivi karibuni Tanzania ilizindua njia mpya ya meli ya moja kwa moja kati ya China na Bandari ya Dar es Salaam. Huduma hii mpya ambayo inatarajiwa kupunguza kwa kiasi kikubwa muda wa mizigo kusafiri kutoka China na kuwasili Tanzania, kutoka wiki sita (siku 42) hadi wiki tatu (siku 21), inaonekana...
Habari wana JF,
Binafsi kabla sijafika Dar nilikuwa na picha ya tofauti kidogo kichwani hasa ubungo na wakati huo anayekusimulia ametoka Dar eti amesahau hadi kilugha si unajua wanyakyusa tena kwa mbwembwe ndizi alianza kuuliza eti zinaitwaje kilugha? na amekuja na mikate ile mikubwa huku...
Shule inapatikana Wilaya ya Ilala inajumuisha jumla ya madarasa 16, jengo moja la utawala, matundu 24 ya vyoo.
Shule imejengwa kupitia mradi wa BOOST na umegharimu jumla ya Tsh. Milioni 475.
Zaidi ya wanafunzi 1395 wanatarajiwa kupata elimu kwenye Shule hiyo.
Faida za shule
Kupunguza...
Katika kufanya marekebisho ya cheti cha Edina bint yenu, si nikapeleka kila kitu Rita.?
Kwanza mchezo ulianza mwaka 2018, nimepigwa tarehe style ya kirudishwa wiki wiki. Piga ni wiki ya ngapi tangu 2018? Basi ndivyo ninavyofanyiwa hadi leo hii.
Naelewa kuwa mkono mtupu haulambwi. Inatakiwa...
SCHOLARSHIP OPPORTUNITY FOR POSTDOCTORAL POSITION
Introduction
The University of Dar es Salaam, through funding from the AIR Equity InitiativeP3- Africa Programme, is offering a full-time post-doctoral/sabbatical position for eligible candidates to further their research portfolio.
Key...
https://www.youtube.com/watch?v=gB61__EG4Uo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule leo tarehe 13 Machi, 2024 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.