dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. J

    VIJANA WA DAR ES SALAAM – NI WAKATI WETU! TOKA, NITOKE - TWENDE TUKAJIANDIKISHE

    πŸ“’ VIJANA WA DAR ES SALAAM – NI WAKATI WETU! TOKA, NITOKE - TWENDE TUKAJIANDIKISHE πŸ”₯ MIAKA 18+...!! TOKA, NITOKE – TWENDE TUKAJIANDIKISHE! πŸ”₯ πŸ—“ TAREHE: 17 - 23 Machi 2025 πŸ“ ENEO: Mkoa wa Dar es Salaam Twende tukajiandikishe, maana maendeleo hayaji yenyewe – tunayachagua sisi...
  2. J

    ✳️ NI ZAMU YETU DAR ES SALAAM, TUKAJIANDIKISHE TUWEZE KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU

    ✳️ NI ZAMU YETU DAR ES SALAAM, TUKAJIANDIKISHE TUWEZE KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU Zoezi la kuboresha taarifa na kujiandishika katika Daftari la kudumu la Mpiga Kura litaendelea kwa mkoa wa Dar es Salaam kuanzia Machi 17 hadi 23, 2025. Issa Rajabu Risasi mkazi wa Kawe amewaomba watu wenye sifa za...
  3. Vijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala

    Vijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala, lakini wakiona kijana mwingine wanajua kupiga haraka speed za 'Formula 1'!" πŸ€—
  4. Atakaye ahidi kujenga bwawa kubwa la umeme mto Msimbazi ili kumaliza tatizo la umeme Dar es Salaam nitampa kura zangu zote

    Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam
  5. Nilikuwa na mpango wa kuja Dar es salaam, ila nimeogopa

    Nimeogopa sana! Kama usafiri wenyewe unakuwa hivi nitafia kwenye kwenye daladala sijui mwendokasi😭😭 Na mimi ni mfupi kama Evelyn Salt binamu yake cocastic
  6. Dar es salaam ina kumbi nzuri za gharama rahisi, kwa nini chadema wanakodi Mlimani City wenye gharama ya mamia ya mamilioni?

    Leo ni siku ya wanawake duniani, chadema wamefanyia katika ukumbi uliojaa fahari kuu na anasa-Mlimani City. Kuna Msimbazi Centre ya mwanachadema Padri Kitima na nyingine nyingi, kwa nini chama changu kikodi ukumbi kwa zaidi ya milioni mia moja (100, 000,000/) wakati juzi tu wamelia hawana...
  7. Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Machi, 2025.
  8. Naomba kupata list ya watoa huduma Fiber Dar es Salaam

    Habari waungwana Naomba kujua watoa huduma ya Fiber Dar es salaam, kama utakuwa na mawasiliano yao itakuwa poa ukiweka ikibidi na bei za huduma zao pia. Naomba kuwasilisha.
  9. Serikali ya mkoa wa Dar es salaam Fikeni kinyerezi Ilani ya chama cha Mapinduzi inakanyagwa

    Ni mwezi, miezi na mwaka sasa watendaji wa umma wameamua kuwa sikio la kufa. Mnamo mwezi ya saba mwaka 2024 mh waziri alitembelea kinyerezi kuondoa kero ya maji iliyotesa wananchi. Aliiweka chini ya uangalizi wa wizara, cha ajabu mwaka unatimia kero ikiandama wananchi wa saranga na kinyerezi...
  10. Pre GE2025 Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Dar es Salaam Kufanyika Machi 17-23, 2025. Wapiga Kura wapya 643,420 kuandishwa

    Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Dar es Salaam utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 17 hadi 23 Machi, 2025 ambapo wapiga kura wapya 643,420 wanatarajiwa kuandikishwa. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs...
  11. Pre GE2025 Wabunge wa Dar es Salaam wahamasisha uwekezaji mkoani kwao baada ya kujionea maendeleo Pwani

    Mwenyekiti wa Wabunge wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Kisangi amesema, ziara waliyoifanya kwenye baadhi ya viwanda mkoani Pwani wakiambatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo imewapa fursa ya kuona uwekezaji mkubwa unaofanyika mkoani...
  12. B

    Ukiwa Dar es Salaam unaweza kudhani maisha umeyapatia, kumbe umechelewa sana bila kujua

    Yaani Haya Maisha Bwna. Yanaweza kuwa yamekupiga Chenga ila bado ukawa unaamini umeyapata. Hasa hasa kama una ishi Dar kuna kaimani kanakujia kichwani kwamba huko Mbeya hakuna kitu, kuna kasumba inakupumbaza kichwani kwamba huko Mtwara kumejaa maskini tu na hakuna hela. Yaani Kichwa kinajaa na...
  13. Mbona hatuwasikii wazee wa Dar Es Salaam awamu hii ya sita?

    Zamani awamu za nyuma, kulikuwa na wazee wa Dar es salaam. Hawa mara kwa mara wangeweza kufanya vikao na mkuu wa nchi kuhusiana na mambo mbalimbali ya nchi. Awamu iliyopita ni kama walipuuzwa na awamu hii ni kama wamesahaulika. Je zama zao zimekwisha?
  14. Kuna 'Upuuzi' gani unaendelea Dar es Salaam leo?

    Mlioko Dar es Salaam hebu tafadhalini hebu mtujuze Sisi tulio mbali. Nasikia kuna Tukio la 'Kipuuzi' sana linaendelea huko.
  15. Naitamani Dar es Salaam ya namna hii

    πŸ‘‰πŸΎDar es Salaam, jiji lenye giza na mwanga, limejaa ndoto na fursa zisizoisha. Lakini ni ndoto gani zinazozungumzwa na watu wanaoshindwa kutimiza malengo yao? Jiji hili linapokuja kwenye mandhari ya kibiashara na utamaduni, linatoa picha ya maendeleo, lakini je, kila pembe ya mji inavyoonekana...
  16. Pre GE2025 Stephen Wassira akutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu staafu Fredrick Sumaye

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Ndg. Stephen Wasira akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni...
  17. CAREER GROWTH OPPORTUNITY IN DAR ES SALAAM

    πŸ“’ Internship Opportunity – FIRST PLUS LIMITED πŸ“’ FIRST PLUS LIMITED is seeking a motivated intern to join our team and gain valuable hands-on experience. Qualifications: βœ” Diploma or Bachelor's degree in any field (candidates with a background in Business Administration or Procurement are...
  18. CAREER GROWTH OPPORTUNITY IN DAR ES SALAAM

    πŸ“’ Internship Opportunity – FIRST PLUS LIMITED πŸ“’ FIRST PLUS LIMITED is seeking a motivated intern to join our team and gain valuable hands-on experience. Qualifications: βœ” Diploma or Bachelor's degree in any field (candidates with a background in Business Administration or Procurement are...
  19. Plot4Sale KINAUZWA KIWANJA CHENYE HATI DAR ES SALAAM

    Ukubwa wa Kiwanja - 1100 sqm Mahali - Goba centre Bei - Tshs 70,000,000/= Hati ya wizara ipo Call - 0716442950 or 0687614981
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…