dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. TANZIA Aliyekuwa kiongozi wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Selemani Kissoki afariki, azikwa Dar

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Suleiman Kissoki amefariki usiku wa kuamkia leo Novemba 6, 2024 nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam. Akizungumzia taarifa hiyo, Katibu Mkuu wa Shiwata, Michael Kagondela alisema hadi jana jioni, marehemu alikuwa...
  2. M

    Albert Chalamila: Nimeandika wosia nikifa nizikwe Kiislamu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema miongoni mwa mambo ambayo anayapenda ni kuhusu jinsi waumini wa Dini ya Kiislam wanavyowazika wapendwa wao na kueleza kuwa ameandika wosia kwamba atakapofariki, anataka kuzikwa kama Waislam wanavyozikwa.
  3. Inakuwaje Matangazo barabarani ya kuuza viwanja yapo Dar Tu?

    Mimi nimejaribu kupita huku na huku Tz hii. Huu utataratibu wa kuweka speakers Asubuhi mpaka jioni ukitangaza kiwanja cha futi 40x50 nimeuona Dar peke yake. Kwa nini nje ya Dar huu utaratibu haupo wakati huku mkoani watu wanapata maeneo makubwa zaidi tena kwa bei nafuu siyo hio 20x20 . Mili 6.
  4. F

    Gharama za treni mpya ya EMU kutoka Dar hadi Dodoma zilipaswa kuwa gharama za usafiri wa ndege

    Treni mpya ya SGR yenye mfumo wa Electrical Multiple Units (EMU) imeanza safari za Dar Moro Dodoma tangu tarehe 1 mwezi wa 11 2024. Licha ya kuwa more comfortable zaidi ya zile za kawaida, treni za EMU zinafikia kasi ya juu kwa haraka zaidi. Safari ya kwanza kutoka Dar kwenda Dodoma imechukua...
  5. E

    Biashara ndogo ndogo zinazolipa Dar es salaam

    Kuna biashara zinaonekana ndogo lakini kipato chake kimechangamka 1. Miwa- hii inalipa sana 2. Karanga 3. Kahawa- faida X2 4. Fenesi- k/koo&sinza, Niongezeeni nyingine, nahitaji kutoa ajira kwa wapambanaji zaidi.
  6. Hivi kukatika maji Dar ni shida iko au ni mradi wa mtu?

    Ni kama mwezi umepita tangu wakazi wa dar wametangaziwa kwamba sasa mradi wa kuboresha maji umekamilika. Matarajio ya watu bila shaka hapatakua tena na mgao. Lakini la kushangaza bado kuna mgao wa maji sehemu nyingi za jiji. Kila siku ya pili ninapoishi mimi maji asubuhi yanakatwa. Kwa uzoefu...
  7. Madereva wa Dar msaada taa za Mwenge kutozingatiwa

    Mara kadhaa napita barabara hii ya kutoka Tegeta kwenda Ubungo-Kimara, sasa ukifika hapo Mwenge mida ya saa moja jioni huwa sielewi utaratibu uko vipi, bahati nzuri huwa siwi wa kwanza kwenye foleni ya kusubiri taa ziruhusu, Huwa nafuata mkumbo Jambo ambalo sielewi, utakuta taa zimeruhusu...
  8. House4Sale Boko: New 4 Bedrooms House For Auction Sale - Dar

    • Direction: Basihaya, the road to Ununio, 600 meters off Bagamoyo Road • Facilities: 4 bedrooms, 3 washrooms, 1 car garage • Plot Area: 1,122 sqm • Document: Title deed • Forced Value: TSH 125 million . ✓ inauzwa na benki kwa mnada ✓ vyumba master 2 na kawaida 2; sebule; dining; jiko na public...
  9. B

    Kongamano la kibiashara Urusi na Tanzania jijini Dar es Salaam 2024

    Urusi yaonesha nia ya miradi ya pamoja na Tanzania katika nishati, kilimo, utalii - waziri wa Russia https://m.youtube.com/watch?v=7C4qDNifPQ0 DAR ES SALAAM. Oct 28 (Interfax) - Urusi na Tanzania zina uwezo wa kuongeza maradufu biashara zao. Na wafanyabiashara wa Urusi waonyesha nia ya kuwekeza...
  10. Hivi unawezaje kuishi nje ya Dar es Salaam

    Kila nikitafakari kwamba Kuna binadamu wanaishi Tanzania hii nje ya dar es salaam huwa nashindwa kuelewa. Yaani mtu unawezaje kuishi porini aisee kweli ndio maana dar ni ya wajanja nyie wa mikoani ni washamba sana. Ndio maana mademu zenu wakija huku wanarudi na mimba sababu ya ushamba wao ya...
  11. Ukiacha Dar es Salaam, mikoa iliyobaki ujanja wao ni mchana tu, ikifika saa tatu usiku kila mtu yupo kwake

    Mikoani mmepoa sana,kuna mikoa ikifika saa tatu huwezi kuona mtu nje,still wanaamka saa moja, mnakuwa mbafanya nini ndani muda wote. Saa sita za usiku DSM kuna watu ndio wanajiandaa watoke Saa saba usiku wauza chipsi bado wanamenya viazi. Juzi kuna mtuhumiwa kampiga na kitako cha bastola...
  12. M

    Ninunue kiwanja, Kibaha, Kigamboni ipi,au maeneo yapi mazuri kwa Dar buget15milioni

    Habar wakuu nahitaji kiwanja dar cha sqm800 kwa Dar maeneo yapi mazuri yamepangika vizur ambayo sio ushwahilini. Hiwe rahisi kwa mishe ya mjini buget yangu ni 15m
  13. Barabara za Dar zinafanana na za sehemu gani nyingine duniani?

    Tuseme ukwel kabla mambo hayajaharibika sana. Kuna muendelezo wa vitu ambavyo pengine baadae vikaleta matatizo makubwa sana. Wakati wenzetu wamepanua njia zao kwenda kwenye 6 to 8 lanes, sisi tunatumia millions of USD kujenga highly ineffective highways. Kuna watu ukiwauliza watachekelea...
  14. Computer4Sale HP laptop inauzwa Dar es salaaam

    Laptop used lakini bado iko kwenye hali ya upya inauzwa bei nafuu Sana. Bei 850000/= maongezi yapo. Mawasiliano 0744220051 Iko Dar es Salaam
  15. Kuna uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa kwenye jiji la Dar es Salaam

    Wakuu heshima yenu. Nikiwa kama mtumiaji wa hicho kinywaji,nina malalamiko yangu kwa wahusika. Toka siku tatu au nne zilizopita kumekua na uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa hapa Dar. Nimetembelea bar nyingi za maeneo ya mbezi mwisho,kimara,ubungo,manzese,mwenge,tabata na Kibamba hiyo bia...
  16. Je, ni kweli kuishi Dar es Salaam bila gari ni kujipunja na kuihujumu familia kimaisha?

    Nimekutana na huu mjadala mahala. Watoa hoja wanatoa sababu za msingi. Dar ni jiji pana kulinganisha na majiji yote nchini. Mtu kutoka Bunju kwenda chanika Ukiwa Mwanza unakuwa umeshafika karibu na Mwigumbi mpakani na Shinyanga. Kama unakaa chanika, na unataka kuenjoy na familia weekend...
  17. S

    Nahitaji kuanzisha biashara ya dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba - Dar, natafuta soko na partnership wa kuuza hii bidhaa yangu

    Habari ndugu, kama kichwa Cha tangazo kilivyoandikwa nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba -Dar hivyo nahitaji watu wa kushirikiana nao kupata soko, dagaa ni rejareja kwenye packet au kwa jumla pia wanapatikana kuanzia ndoo ya lita 10 mpk 20, hivyo kwa ambae yupo...
  18. DOKEZO Mchengerwa! Usiishie kutoa maelekezo tu kagua barabara zinazojengwa na TARURA hapo Dar ujionee vituko

    Waziri Mchengerwa nimesikia maagizo yako kwa TARURA kuhusu ubora na viwango vya barabara wanazozijenga. Ombi langu usiishie kutoa maagizo ingia site ujionee vituko mwenyewe. Anzia na barabara za hapo Dar. Barabara zinajengwa kwa design za karne ya 18 kwenye karne ya 21. Kuna barabara mpya...
  19. Lami itawasaidia nini wakazi wa Dar?

    Nilitarajia wajengewe mazingira ya kuwaokoa kiuchumi na kuwapaisha kimaisha. Lami bila hela?
  20. Hivi kuna watu wapo humu na hawajawahi kabisa kufika jijini Dar es Salaam?

    Nimewaza tuu eti Kuna watu mpo humu mnaisikia Dar redioni tuu? How come? Yani una miaka 30 plus dar hujawahi kufika??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…