darajalaselander
hamza
hamza hassan mohamed
hayati
hayati dkt. magufuli
kifo
madini
magufuli
mauaji ya polisi
polisi
rais
rais magufuli
risasi
selander bridge
shambulio
ubalozi wa ufaransa
video
watatu
Kimsingi kuna kitu hakifahamiki vizuri kwa wananchi, vyombo vya usalama nacho ni neno UGAIDI na kama wanakifahamu vizuri basi wanapotosha purposely.
Neno ugaidi lina maana ya Tishio, au kitendo kinacholenga kutisha watu kwa malengo ya kisiasa, kijamii, na kiusalama, hii ndio maana halisi...
Kwenye familia nyingi kuna watu hasa vijana wanaopitia majaribu mengi ya kimaisha wakati wakijaribu kujua na kujiuliza kwanini wapo hapa Duniani. Kwenye kipindi hiki hawa ndugu wengi wakiwa vijana ni wakati mgumu sana kwenye maisha yao.
Haya matukio yamekuwa yakitokea kila siku lakini wengi...
Kuna japo kuandika kwangu sio mzuri.
Mnaokumbuka kijana watunisia aliyekuwa msomi na kuanza kutafuta kujiajili kipindi cha utawala uliokuwa unafanya watakayo, Mohamed Bouazizi baada ya kufanyiwa manyanyaso alijipiga kiberiti na kufanya vijana wote kuondoa serekali kwa maandamano kupinga...
Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.
Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
Ni nani?
Katumwa na nani?
Yuko na akina...
Huku sio kuchafuana au kupakana matope bali ni kukosa busara za kisiasa. Maana huwezi kusema kuwa ni Chadema yetu au Ccm yao itachafuka kwa upuuzi wa kutunga mitandaoni.
Hili ni tukio baya la kuterrorise maisha ya watu kama lingekuwa motivated na chama cha siasa asingekwenda mtuhumiwa mmoja...
Nimeangalia taarifa ya habari Star tv na kuona mwandishi wao akimuhoji kijana mmoja aliyeshuhudia tukio mwanzo mwisho.
Kijana anadai gaidi Hamza alishushwa na gari fulami ( sijasikia vizuri kama ni ST au IST) na kuanza kuwashambulia polisi kwa bastola huku akitamba kila kona na kuonekana ni...
Wadau kwa maswali mnahoji uliza, kwanini hakuua raia na akaua Askari ni kwamba, jamaa hakulenga kuua raia yoyote ataeonekana mbele yake. Pia hakuwa na lengo la kuua askari ila aliwashambulia sababu alijua wamekuja kumzuia kufanya mission yake.
Lakini pia mnaohoji kwanini polisi walimlenga kwa...
Naomba kuungana na Balozi wa Marekani Nchini kwa pongezi alizotoa kwa jeshi letu, kweli walifanya kazi stahiki kwa wakati.
Zipo clip zinadai askari mmoja aliyevaa kiraia nusura ashambuliwe na wenziwe, niwapongeze wananchi waliopaza sauti kuzuia polisi kushambuliana.
Lakini pia niwapongeze...
Sijamwelewa kabisa huyu askari hii mbinu ya kumsogelea mhalifu hatari bila kuchukua tahadhari, utafikiri anamvizia mtu mwenye kisu ndio maana akatandikwa.
Leo kumetokea tukio baya sana kwa Usalama wa nchi yetu labda ni tukio baya sana kuwahi kushuhudiwa toka matukio ya enzi za Mauaji ya KIBITI yaliyolikumba nchi yetu enzi zile za Rais Magufuli sijui nini maana yake lakini Hii sio bahati mbaya.. yes sio bahati mbaya! Habari za kuuliwa polisi watatu...
Jamaa kama hawa ndio huwa wanatuibukia hapa Kenya wakiwa kundi, wana ujasiri sana wa kujitoa mhanga, naona taarifa huyu mmoja amewanyima amani sana huko Dar, bora kaliwa shaba kabla hajafanya maafa zaidi, jamaa alikua amejianika barabarani.
Huku kwetu wakija huingia kwenye shopping mall na...
Naomba tujiulize maswali haya!
1. Mhalifu alikuwa na silahaa mbili na moja iliyokuwa hana tumia ni kama AK-47!
Je, Tanzania upande wa usalama inafikiria nini kuhusu silaha kali ambazo si rahisi kukuta nayo mwananchi labda majambazi tena wachache wenye matukio makubwa au wahalifu wachache!
2...
Nadharia ya ugaidi nchini na duniani ina ukakasi mkubwa.
95% ya matukio ya Ugaidi yametengenezwa (false Flag terror). Kazi yao kuu ni
Kuongopea umma
Kujustify propaganda walizozisambaza.
Na pia ni moja ya mbinu za kijasusi za kuwaondoa watu ktk focus (ajenda wanazozijadili kwa manufaa ya...
Naomba kujua kuhusu daraja la Salender ambalo liko jijini Dar es Salaam
1. Lilijengwa mwaka gani.
2. Mkandarasi / engineer aliyelijenga daraja hilo.
3. Na ni nani aliyesimama ujenzi kipindi hicho.
4. Na kwa nini eneo hilo la barabara na daraja hilo linaonekana liko imara sana.
5. Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.