darasa la saba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mungu niguse

    Nilichongundua watu ambao hawajasoma darasa la saba hawana umuhimu katika jamii

    Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili. Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
  2. mdukuzi

    Makonda alivyowadhalilisha wazazi wake Arusha, adai baba yake hakusoma kabisa, mama yake ni darasa la saba

    Nimeamini mdomo kiwanda cha maneno Elimu huongeza busara Kulikuwa na haja gani ya kusema wazazi wake hawana elimu? Kwambababa yake hakusoma kabisa na mama yake ni darasa la saba B Lengo lilikuwa nini kama sio kuwadhalilisha?kwa dunia ya leo kujisifu kuwa mzazi wako hajui kusom wala kuandika...
  3. The Watchman

    Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa darasa la saba

    Mahakama ya wilaya ya Kilombero imemhukumu Yegela Juma Mfula (22) mkulima, mkazi wa Lungongole kifungo cha miaka 30 Jela kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa darasa la 7 (jina limehifadhiwa) wa shule ya msingi Lungongole, kata ya Kibaoni wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro. Akitoa hukumu hiyo...
  4. K

    DOKEZO Haki itendeke kesi ya Mwalimu wa Shule ya Kingdom Heritage (Banana – Dar) kutuhumiwa kumbaka Mwanafunzi wa Darasa la Saba

    Kuna jambo ambalo naomba nifikishe hapa ujumbe ili ujumbe huu ufike kwenye Mamlaka za juu, nimeamua kufanya hivi baada ya kuona kile ambacho kimeripotiwa na yule Mwanachama mwingine wa JF kuhusu Shule ya Msingi ya Green Acres ambapo Mwalimu Mkuu anadaiwa kumlawiti Mwanafunzi mwenye umri wa miaka...
  5. mdukuzi

    Mliokuwa mnapiga chapuo kuhamisha watoto kutoka shule binafsi kwenda za serikali matokeo ya darasa la saba mwaka huu yamewaumbua

    Tafuteni hela, ni umasikini tu ulikuwa unawasonga Bado private schools ni bora kuliko St Kayumba. Hakuna mtu mwenye uwezo na anayejua maana na umuhimu wa elumu atabisha, mwaka huu kayumba wengi wana wastani wa C, D, na wachache B Huku upande wa pili wastani wa B ni kama umefeli
  6. JMF

    Jina la mtoto limekosewa kwenye matokeo ya darasa la saba, msaada wa nini chakufanya

    Salaam wanajukwaa la sheria. Nina changamoto hiyo hapo juu, nimeileta jukwaa hili kupata ushauri wa nifuate utaratibu gani mwanangu aanze kidato cha kwanza na jina lake lilolopo kwenye cheti chake cha kuzaliwa. Limekosewa herufi mbili hivyo naona kabisa ataingia nalo form one na litakuja...
  7. mabutu1835

    Matokeo ya darasa la Saba, 2024

    Hivi karibuni Baraza la mitihani Tanzania limetoa matokeo ya darasa la Saba na katika taarifa yao ni kwamba, ufaulu umeongezeka. Hilo halikunipa shida isipokuwa waliofutiwa matokeo kwa sababu kuu mbili: 1: Kuibia katika mtihani, hili halikunipa shida sana katika masuala ya mitihani ni kawaida...
  8. ARMs14

    Matokeo ya darasa la Saba kwa Mwaka 2024 yatoka, ufaulu wapanda kwa asilimia 0.29

    Wakuu matokeo ya mtihani wa darasa la vii kwa mwaka 2024 yametoka. Matokeo ya Darasa la saba yatangazwa leo Oktoba 29, 2024 yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Necta Dkt. Said Ally, ambapo watahiniwa 974,229 kati ya wanafunzi 1,230,774 waliosajiliwa kufanya mtihani wamefaulu...
  9. Matulanya Mputa

    Kwanini wagombea wengi Serikali za Mitaa ni Darasa la Saba na wenye uchumi wa chini?

    Tuweke siasa pembeni, lakini ni mtazamo wangu kama nakosea mtasema. Ukifuatilia wagombea wengi wa serikali za mitaa ni darasa la saba, au hawajasoma kabisa na watu wa kipato cha chini je serikali kwanini isibadili sifa za kugombea serikali za mitaa? Sababu tukipata watu au wataalamu mbalimbali...
  10. Morning_star

    Kama kuna mifumo ya kurusha wanafunzi wasimalize miaka 7 ya darasa la saba, tujue kuna mifumo ya kuchakachua mahitimu wa Chuo kikuu!

    Huko nyuma kabla ya Jiwe JPM, kulikuwa na tabia mbaya ya kitapeli eti unamrusha darasa mwanafunzi. Unakuta mwanafunzi kasoma mpaka darasa la pili alafu unamrusha mpaka darasa la tano au yuko darasa la nne unamrusha darasa la sita. Nashukuru JPM kwa kutengeneza mfumo ambao ukisajiliwa na mfumo...
  11. LIKUD

    Nimefurahi sana kuhudhuria Graduation ya darasa la saba Kayumba

    Leo nimeenda kijijini kwetu " Ilala Rural" nikapata nafasi ya kuhudhuria Grafuation ya darasa la saba Shule ya Kayumba. Darasa lina mikondo 7 kila mkondo una wanafunzi 70 jumla wanafunzi 490. Kulikuwa na vibe la hatari. I liked what I see. I liked the energy which was at the school...
  12. Bob Manson

    Mimi nilifanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2013, wewe je?

    Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri. Binafsi nilifanya mtihani huu mwaka 2013, share nasi ni mwaka gani ulimaliza elimu ya msingi...
  13. Ojuolegbha

    Rais Samia awatakia kila la heri Darasa la Saba walioanza Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi

    Nawatakia kila la kheri wanafunzi 1,230,780 wa Darasa la Saba mlioanza Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi leo. Mnatoka hatua moja ya elimu na malezi kwenda nyingine katika safari yenu ya kujiandaa kutoa mchango wenu wa maendeleo kwa Taifa letu. Serikali imeandaa mazingira sahihi ili muweze...
  14. Pdidy

    MAOMBI MAALUM KWA AJILI YA DARASA LA SABA MTIHANI

    BABA YETU NA MUNGU WETU TUNAKUSHUKURU KWA UHAI WA WATOTO WETU AHSANTE KWA KUWAWWZESHA KUSOMA NA SASAA WANAENDA KUMALIZALA SABA TUNAOMBA UWAKUMBUSHE KILA KITU WALICHOSOMA WAFANIKIWE NA WAFAULU MITIHAN YAO WAKAWE KICHWA NA SIO MKIA IN JESUS NAME WE PRY AMEN
  15. mdukuzi

    Darasa la saba B awanyima usingizi wanaojiita wasomi pale jangwani

    Huyu ajiita injinia aliyesomea DIT ,huyu sijui wakili msomi huyu CPA,yule sijui nani sijui ila jana wamelala na viatu. Mzee Magoma weka namba ya mpesa tuanze kukuchangia,Wewe ni generation Z wa kizazi cha zamani,
  16. City Owl

    Wazazi mnashirikiana na shule kuwatesa watoto

    Wazazi, mnashirikiana na shule kuwatesa watoto. Vitoto vyenyewe bado vidogo, miaka 11-13, vinaamshwa saa 10 au 11 alfajiri kuwahi shule. Wanawahi nini exactly? Na bado watakaa shule mpaka saa 12 kisa remedials, kurudi nyumbani saa 1 jioni.. mtoto anafika hoi, hajiwezi, hajacheza, hajafanya...
  17. W

    Kwanini wanafunzi wa darasa la 7 wanachelewa sana kutoka Shule?

    Hivi siku hizi ni kwamba utaratibu wa masomo ya wanafunzi wa primary hasa wa la 7? Kwa sababu asubuhi mida ya saa kumi na moja unawakuta wako barabarani wanasubiri usafiri na jioni hadi mida ya saa mbili unakutana nao wamesimama huko barabarani ndo wanaenda nyumbani. Nimejaribu kuwauliza...
  18. Shining Light

    Mwanafunzi wa darasa la Saba alikatishwa masomo kwa ajili ya ndoa

    Nilipokuwa darasa la Saba mwaka 2011, tulishuhudia mwanafunzi mwenzetu akisitishwa masomo ili arudi nyumbani Skonge kwa ajili ya ndoa. Hii ilikuwa mshangao mkubwa kwetu sote, hasa ikizingatiwa kuwa tulikuwa tunakaribia mitihani ya mwisho ya NECTA na wazazi wake tayari walikuwa wamemlipia ada...
  19. BARD AI

    Matokeo ya Darasa la 7 2023: Wanafunzi 31 wafutiwa Matokeo kwa kufanya Udanganyifu

    Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika Septemba 13-14, 2023. Matokeo hayo yametangazwa leo, Alhamisi Novemba 23, 2023 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Dk Said Mohammed. Kwa mujibu wa Dk Mohammed, wanafunzi 360 ambao walipata matatizo ya...
Back
Top Bottom