darasa la saba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Matendo Andrew

    Nina wazo la kuanzisha chama cha wanadarasa la saba Tanzania

    Waungwana Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka kadhaa, elimu yangu darasa la saba mwaka 1998. Kijijini hukooo Isiman Iringa( v) Nilikua mzuri Sana class Kijiji kinanijua kwa UBORA wangu sijuagi kwanini sikufaulu anyway hayo sio yaliyo nileta. Nimekuwa mpambanaji kwa kufanya kazi za ndani house...
  2. GENTAMYCINE

    Kurugenzi ya Habari Ikulu ifafanueni vizuri 'Vyeti Feki' nao 'Kulipwa' kwani huku Mitaani Mbwembwe na Hofu zimetawala

    Kwako Ndugu na Kamarada ( Comrade ) Gerson Msigwa ( Msemaji wa Rais Ikulu ) ambaye najua pia kuwa huwa unanisoma mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums ( tena 24/7 ) hebu ama hapo ulipo nae sasa umuulize Mama au lifafanuliwe vyema nawe kwani ninayoanza kuyaona kwa 'Wahanga' nalo huku Mitaani ni...
  3. Chief Kabikula

    Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

    Hongera Rais , kwa kuamua kulipa haki zao stahiki Mungu akubaliki sana . Katika hotuba yake leo amesema watumishi wa darasa la na vyeti feki walikuwa wakichangia mifuko ya hifadhi ya jamii hivyo amewataka waajiri wote kuhitimisha utumishi wao kwa kuwalipa stahiki zao. ========= RAIS SAMIA...
  4. wiseboy

    Nimuoe yupi kati ya huyu mwenye degree na darasa la saba

    Hi JF members, Mimi ni mvulana nipo mwaka wa mwisho moja ya vyuo vikuu hapa Tz. Nilipokuwa 4m 5 na 6 nilikuwa na mchumba ambaye nilimpenda sana naye alinipenda. Nilipokuwa chuo mwaka wa kwanza akapewa udaku naye akaamua kunipotezea Basi nikamtongoza binti tuliyekuwa naye mwaka wa kwanza, japo...
Back
Top Bottom