Mambo vipi humu jukwaani natumaini mko poa wote,
Nije kwenye swali, naomba kuuliza je? Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka huu 2022 yatakuwa yametoka ama bado?
Maana nimeingia ukurasa wa Necta balaza la mitihani hakuna kitu sana sana nimekuta ya 2019,2020,2021 basi, je yatakuwa bado,