Hi JF members,
Mimi ni mvulana nipo mwaka wa mwisho moja ya vyuo vikuu hapa Tz. Nilipokuwa 4m 5 na 6 nilikuwa na mchumba ambaye nilimpenda sana naye alinipenda. Nilipokuwa chuo mwaka wa kwanza akapewa udaku naye akaamua kunipotezea
Basi nikamtongoza binti tuliyekuwa naye mwaka wa kwanza, japo...