Hadi sasa hakuna mahusiano kati ya uwezo mkubwa darasani na maisha mazuri.
Nilipokuwa shule ya msingi kulikuwa na mabinti watatu pale darasani wenye uwezo mkubwa, wao namba mbili hadi nne, lazima washike wao, cha ajabu ni mmoja tu alifanikiwa kumaliza darasa la saba, wawili walipata mimba...