Nawasalimia kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Unaposikia duniani kuna mengi, kweli mengi yapo. Mengine ni ngumu kuyapatia ufumbuzi hususa kwa akili ya kawaida ya kibinadamu inapotumika.
Kwa sababu kuna matukio ambayo huwaga yanatokea inakuwa ngumu kuyaelewa labda uwe na nguvu ya...