Kuna wakati najiuliza maswali mengi nakosa majibu! Utofauti wa mwanamke na mwanaume upo na kila mtu anafahamu hilo, ila tunaamua kuchagua tu kuziba masikio na kusema kuwa tupo sawa.
Hii picha imenifanya nifikirie mbali sana, sikatai kuwa kuna maaskari game wanawake ila sio kila eneo la game...