data

  1. Tetesi: Udukuzi: Kama simu inakuwa ya moto ukiwasha data ni dalili za wadukuzi kudukua camera na audio za simu yako.

    Kwa wataalam wa IT upande wa software engineering watakubaliana na Mimi kuwa udukuzi ni kitu cha kawaida kabisa katika tasinia ya technologia. Udukuzi hufanywa Mara nyingi sana. Lakini Kuna iana mbili za udukuzi. 1.Udukuzi wa faida(kujikinga na magaidi na kurinda Usalama) 2.Udukuzi wa...
  2. Mahesabu app: Kokotoa jumla ya mauzo ya siku

    Hii ni offline app niliyoitengeneza kwa ajili ya matumizi binafsi kwa lengo la kukokotoa jumla ya mauzo ya siku katika fremu yetu ndogo. Nimeiweka Playstore ili kushare na wengine wanaohitaji. Kwa kifupi unavyoanza siku mpya ya biashara unagusa button [J] ili kufungua jalada mpya na utaona...
  3. Nawezaje kubadili simu yangu bila kuathiri data zangu zote za WhatsApp na vyote toka simu ya awali?

    Nawezaje kubadili simu yangu bila kuathiri data zangu zote za WhatsApp na vyote toka simu ya awali? What can I do? Help?
  4. Data Clerk at Henry M. Jackson Foundation Medical Research International (38 Posts)

    Job Title: Data Clerk – 38 Positions (Temporary) Reports to: Strategic Information (SI) Regional Lead Duration of the Contract: June – Sept 2023 Start Date: Mid-June 2023 Location: Mbeya Region Specific Task Job Description Data Clerk will work at facility level to assure timely entry of...
  5. Ni kwanini ukidownload MB 10, Matumizi ya Data yanaonyesha kifaa kimetumia MB 12.

    Kwa simu tofauti na laptops nimefanya hii ishu na nimekosa jibu, hata Nikitumia router au modem nayo ni hivyo hivyo. Nilidhani ni janja janja za mitandao labda kuna vitu vyao ila nishajaribu line 4 tofauti, ni hivyo hivyo. Nadownload file la MB 10 lakini Data usage inaonyesha MB 12,,, Hii ni...
  6. Natafuta Part time job (Excel data analysis and visualization and creating dashboard)

    Habari wakuu. Naimani wote mko salama na majukumu yanakwenda. Ninatafuta Kazi ya muda mfupi/mrefu ya kufanya data analysis and visualization na creating of dashboard kwakutumia Excel. Kama utahitaji niwepo kwenye data collection pia nipo tayari. Natanguliza shukrani na kuwatakia siku njema
  7. Permanent data storage

    Wadau wa tech sijawai kukosa majibu. Kweli watu wa tech ni smart and generous. Watu wa jukwaa la sheria tutawajadiri siku nyingine. Sasa katika kutafuta njia ya kisasa ya kutunza movies nikahis kuna kifaa zaid ya hizi HDD ambazo zina expire na data kuharibika. Je, kwa kifaa na si kutunza kwa...
  8. Data Protection Act comes into effect

    THE Personal Data Protection Act in Tanzania that was passed by the Parliament in November 2022 has come into effect from May 1st this year, the government has said. The Minister for Information, Communication and Information Technology, Nape Nnauye said in the public information that was...
  9. SoC03 Serikali iunde kanzi data moja itakayounganisha Wizara na Taasisi zake zote

    UTANGULIZI. Serikali imekuwa ikikumbwa na ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma ambapo ubadhirifu huu unasababishwa kwa kiwango kikubwa na maamuzi mabovu yanayofanywa na wizara ama taasisi zake kwa makusudi ili kutimiza adhma ya ubadhirifu, kuna maamuzi mengi yanafanyika katika wizara mbalimbali na...
  10. Mkongo wa taifa wa mawasiliano , kwa uwekezaji tuliofanya ilibidi GB1 ya data tuuziwe 100/=

    Tanzania imepitiwa na mkongo wa kimataifa wa mawasiliano uliopita chini ya bahari, na kwa ufuatiliaji mdogo nilioufanya juu ya gharama halisi za uendeshaji na utunzaji wa mradi husika (running & Maintanance) , GB 1 ya data ingepaswa tuuziwe kwa shs.100/= , na hapa bado wangepata faida kubwa...
  11. RPC Muliro: Wanaojitoa Ufahamu (Kujizima Data) wakati wa Sikukuu wasije Kutulaumu wakilia hizo Sikukuu Jela

    "Unalewa hovyo, unafanya Ngono Garini wakati Gesti ziko tele na una Kwako, unaendesha hovyo Gari, unafanya kila mbwembwe Mitaani au Barabarani na kufanya Upuuzi wote Siku za Sikukuu mahala pekee ambako utaila vyema hiyo Sikukuu yako ni Jela. Katika Sheria za Nchi hakuna mahala pameandikwa kuwa...
  12. Tabora: Data officer post

    Habari zenu . Mwenye info zozote kutoka MDH tabora data officer post kuhusu interview ?
  13. Data driven decisions. Kwanini NALA wawe na HQ Kenya na sio Tanzania?

    Nimeona uzi wa mdau mmoja Upepo wa Pesa nadhani akilalamika ni kwanini nala wawekeze USD 5 Million in Kenya wakati kampuni imeasisiwa na mtanzania? Mods nawaomba msiunganishe huu uzi kwasababu nataka uwe na discussion tofauti. Kuna kitu kwa wachumi na pia kwenye uwekezaji huwa tunakiita...
  14. Looking for reliable and efficient data analysis services? Look no further! Our team of experts is here to help you

    Looking for reliable and efficient data analysis services? Look no further! Our team of experts is here to provide you with top-notch analysis using the latest technologies. We offer a variety of data analysis options to meet your specific needs. Our Excel data analysis services start at just...
  15. Anza kutumia Nguvu ya Sayansi ya Data

    "Badilisha Biashara Yako kwa Masuluhisho ya Sayansi ya Data " Umuhimu wa Sayansi ya Data nchini. Faida za Kufanya Kazi na Mwanasayansi Maarufu wa Takwimu. Mwongozo wa Kina wa Zana Bora za Sayansi ya Data. Maudhui: Umuhimu wa Sayansi ya Data nchini : Katika ulimwengu wa kisasa wa biashara...
  16. Wakulima hutumia 24% ya kipato chao kununua GB 5 za data

    Hali ni mbaya kwa ununuzi wa data kwa wakulima. Kwa takwimu za NBS za 2020 wakulima wanapata kwa wastani Tsh. 169,377 kwa mwezi. Wastani wa fedha wanazopata wanawake ni ndogo zaidi kuliko wanaume ambapo wanawake huingiza kwa wastani Tsh. 124,479 na wastani wa wanaume ni Tsh. 195,617. Kwa...
  17. USHAURI: Jiajiri kutokana na taaluma yako badala ya kulalamika ajira hamna

    Tutafute pesa Kwa maarifa yetu. 👇👇👇 Badala ya kujificha na kulalamika kuhusu ajira fungueni centers/madarasa/ ofisi Mikoani, Wilayani na hasa mikoa yenye taasisi za elimu ya juu ama vyuo vikuu, kuna fursa kubwa sana sana. Tuokoe taifa. Ni hayo tu.
  18. Siri katika uuzwaji wa data za whatsapp, Twitter na mitandao mingine

    Habari zenu, Jamani mimi ningependa kuuliza tu. Hivi wanaposema account zimedukuliwa na data za watumiaji zimeuzwa. Wanamaanisha nini? Data gani? Wanauza wapi? Wanaowauzia wanazitumia vipi? Nakumbuka niliwahi angalia muvi fulani ya kizungu ilikuwa inahusisha kudukua account za watu sasa pia...
  19. TIC inatengeza data kudanganya umma au ni ukweli?

    Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kimesajili jumla ya miradi 132 yenye thamani ya dola za Marekani 3.16 bilioni (takribani Sh7 trilioni) katika kipindi cha Julai hadi Novemba 2022. Tunaomba hii miradi iliyosajiliwa Kwa kipindi hicho TIC iweke kwenye website’s ya TIC Ili watanzania waione na...
  20. TWITTER API HACKED: Mamillion ya data za watumiaji wa twitter yanauzwa

    Hello bosses..... Musk alikosea sana kufukuza fukuza watu hovyo, mm shabiki yake lkn kwa hilo alikosea, makampuni mengi yamefanya layoff ila yanaenda polepole sio kwa speed ya kufukuza watu wengi kiasi kile. Sasa watu wamedukua twitter masaa mawili yalopita, data za zaidi ya watumiaji million...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…