date

Dating is a stage of romantic relationships in humans whereby two people meet socially with the aim of each assessing the other's suitability as a prospective partner in an intimate relationship. It is a form of courtship, consisting of social activities done by the couple, either alone or with others. The protocols and practices of dating, and the terms used to describe it, vary considerably from country to country and over time. While the term has several meanings, the most frequent usage refers to two people exploring whether they are romantically or sexually compatible by participating in dates with the other. With the use of modern technology, people can date via telephone or computer or just meet in person.
Dating may also involve two or more people who have already decided that they share romantic or sexual feelings toward each other. These people will have dates on a regular basis, and they may or may not be having sexual relations. This period of courtship is sometimes seen as a precursor to engagement. Some cultures require people to wait until a certain age to begin dating, which has been a source of controversy.

View More On Wikipedia.org
  1. Date Tours and Safaris

    Welcome | Karibu Date Tours & Safaris! We provide tours and travels services, along with the best safari tours to all the top destinations in Africa. We can provide private tours and safaris for our esteemed guests to allow them to enjoy the amazing natural beauty of the African continent. We...
  2. Ivi ni lazima ukipenda mtu, u-date nae kwa miezi 6 - miaka 3?

    Hili ndilo swali naulizwa na wanaume wengi huku jamii forum kwani nikimpenda mwanamke lazima ni date nae miaka mingi ndio nimuoe? kwanini nisimuoe tu fasta, yaani nimempenda, napeleke washenga nyumbani kwao nachukua chombo hii mambo ya dating and kufahamiana ndio inachochea dhambi nyingi...
  3. Wanaume waliowahi date na wanawake wenye shape hii mje mnipe uzoefu

    Aloo nikimpata mdada mwenye shape kama hii hata million 2 kama ninayo natoa, sio kwa mzigo huu, eti wazee mzabzab mshamba_hachekwi Mzee wa kupambania
  4. Mimi nauliza nini sababu ya kuficha ficha Expiry date kwenye bidhaa nyingi hapa Tanzania? Kwanini zinaandikwa wala hazieleweki nini sababu?

    Hivi kwa mfano Naomba nisaidiwe kusoma hiyo expire date hapo kwenye picha Na bidhaa za aina hii zipo nyingi yani expired date haieleweki kabisa utakuta imeandikwa ila huwezi kuielewa kabisa Ni nini tatizo mbona bidhaa za nchi zingine zinasomeka vizuri kabisa tarehe ya kuzalishwa na mwisho...
  5. Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

    Mwanamke anayeomba pesa kwa jamaa ake ni kosa kubwa. STORI YA KWELI. Ilikuwa hivi huyu Binti nilikutana name kwenye daladala. Tukiwa wote safari ya makumbusho, saa 2 usiku yeye anaelekea kwao huko. Kwangu more nilikiwa naingia kiwanja. Mdada akaniomba tuonhee kama ninamuda. Nikasema sawa...
  6. Saa nyingine wanaume tukipenda sana, first date tunamwalika mwanamke restaurant au sehemu nyingine tulivu ila sio gheto au lodge

    Kuna katabia ambacho wanaume tunacho, tukimpenda sana mwanamke hadi kujisemea akilini huyu akinikubali namwoa, tunaona noma kumwita gheto on first meeting, kwasababu tunahisi atakataa, na tutajiharibia cv kwa kuonekana wahuni, na hatutaki tukataliwe. Badala yake tunaomba tukutane mgahawani, au...
  7. How mnaweza ku date na last born?

    Guys huyu last born kanishinda jamani, Mwanaume muda wote my momy my dady Jamani nime mchoka natamani kumuacha
  8. Jinsi ya kumvutia Mwanamke unapokutana naye mara ya kwanza (First Date)

    Wanawake wanachukua muda kupenda. Hivyo ni muhimu kwa kila muda unaopata pamoja naye uongeze mvuto wake kwako. Aone kwamba we ndo ‘wa kipekee’. Aone kwamba kwenye maisha yake yanahitaji awe na mwanaume kama wewe. Sasa unapokutana naye, mpatie muda mzuri mfanye ajisikie furaha. Mfanye aone...
  9. Vitu Vya Kuepuka Mnapotoka Na Mwanamke Mara Ya Kwanza (First Date)

    Maana ya date na mwanamke ni kukutana naye ili kutengeneza mazingira rahisi ya kufanya naye mapenzi, na mkiendana kuwa wapenzi. Ila ukiharibu unapokutana na mwanamke, maana yake unakosa penzi na nafasi ya kufanya mapenzi. Hivyo ni muhimu kuepuka haya ili kuongeza nafasi yako ya kupata penzi...
  10. Wanaume wengi hukosa wapenzi kwa kufanya makosa haya wanapokutana mara ya kwanza (first date)

    Umekutana na mwanamke ukapata namba yake na mkapanga mkutane mara ya kwanza mahali ili muongee/ mle/ mpate kinywaji. Kuna muda hili jambo linatia mawazo sana. Unajiuliza utafanyaje ili umpate kabisa umuweke ndani Kukutana na mwanamke mara ya kwanza huwa ni kwa ajili ya kujuana zaidi. Sio kwenye...
  11. Umewahi kushuhudia msela kabwela, kajamba nani, maisha Uswahilini ana date na mtoto mkali wa ushuani ?

    Kiuhalisia haya mahusiano yapo tukiweka kando Bongo movie, bongo flava na ndumba ? Tuweke kando madenti wa sekondari hawa kuwapata ni rahisi lakini kwa sheria za sasa ukiingia kichwa kichwa unapigwa mvua ya kutosha. uliwahi kushuhudia ama wewe kuwa mhusika, mtoto mkali wa ushuani kadata na...
  12. My first date in Dubai, soma hapa inasikitisha sana

    Dah! Leo nimekumbuka mbali sana aisee. Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita nikiwa na yule msichana niliyempenda kuliko KITIMOTO ROSTI NA NDIZI MBILI (Pilipili usiweke), tulienda first date pale Dubai. Mida ya saa 5 asbh hivi tukakwea pipa Emirates hadi huko Dubai na kufika kama saa 12 jioni...
  13. FT: Ruvu Shooting 1-2 Yanga, Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa, Oktoba 3, 2022

    Wadau nawakaribisha ili tupeane kinachoendelea kwenye mech tajwa hapo juu. Mchezo umemalizika: Kocha wa Ruvu Charles Mkwasa anasema timu yake haikustahili kupotez mchezo huu kwa kuwa walicheza vizuri lakini walizidiwa uzoefu na wachezaji wa Yanga. 90' Mchezo unaweza kumalizika muda wowote...
  14. Kumbukumbu ya moja ya tarehe mbaya kutokea (Worse Date Ever)

    1. Binti alikuwa mwanachuo, chuo flani Mkoani. Nimeenda kikazi ndo bado kijana miaka hiyo. Katika kupita pita town nikakutana naye kwenye duka moja la vinywaji. Nikamtamani nikaomba namba ya simu. Akanipa. Baadaye tukawa tunachat na hatimaye nikamwambia kusudio langu na kumtaka aje tupate...
  15. Je, Wanaume wanaogopa ku-date na Wanawake waliowazidi kipato?

    Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Nimekutana na matukio mawili yaliyonifikirisha na kunifanya nikaribie kwenu ili nipate mawazo yenu Binafsi nimewahi kudate huko nyuma baada ya kumaliza masomo ya chuo siwezi kusema yalikua serious kwasababu bado nilikua sijapata kazi na kufikia malengo...
  16. INAUZWA Tunauza Mashine aina mbalimbali, tupo Dar es salaam

    MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI BEI: 450,000/= Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA! KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
  17. Wanaume wengi wanao "date" na wanawake waliowazidi umri, wengi wao walikosa mapenzi ya mama

    Wale wanaume wanaopenda kudate wanawake waliowazidi umri wengi wao walikosa mapenzi ya mama zao tangu wakiwa wadogo mpaka wamekua. Kukosa mapenzi ya mama zao kunawafanya watafute wanawake wakubwa kiumri zaidi yao. Wanahisi wanawake hao watawalea kama mama zao. Na ndio inavokua mara nyingi...
  18. Yanga imepangwa kind gum kimataifa,yaan had inatoa date nyumban

    Wana Yangu oyeeee!! Inatakiwa mlalamike jaman,maana umepangwa kind gum mno Jana mlopocheza na clab ya Al shabab mlitoa sare Polen sana
  19. Ningejua haya yote hata nisinge date na wewe

    yapata miezi miwili sasa rafiki yangu watengane na mchumba wake. chanzo, mgogoro ulianza july mwaka jana mchumba wake alipoombwa waonane akadai yuko bize, akamfata mkoa alipo ili waonane mchumba wake alimjibu yuko bize anatafta hela kwasasa, alipo lalamika sana na kudai kama kapata mpenzi...
  20. Ku date na demu aliyewahi kukucheat ni raha sana

    Habarini wanajamvi.... Natumai wazima wa afya. Nimeamua niwafikishie ujumbe kwamba kudate na demu aliyewahi kukucheat ni raha sana. Kila wakati anajishtukia tu na kukupa vizuri ujinafasi.. Atakaebisha abishé....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…