david de gea

  1. JanguKamaJangu

    Newcastle yafikiria kumsajili David de Gea

    Newcastle United inaweza kumsajili kipa wa zamani wa Manchester United, David de Gea ili kuchukua nafasi ya Nick Pope ambaye amepata majeraha ya bega na anaweza kuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi minne. Pope aliumia wakati Newcastle ikipata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Manchester United De...
  2. JanguKamaJangu

    Man United yafikiria kumrejesha David de Gea

    Miezi mitatu tangu Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amruhusu David De Gea kuondoka inadaiwa kuna uwezekano wa kipa huyo kurejea klabuni hapo ikiwa Andre Onana ataondoka kwenda kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Onana raia wa Cameroon ambaye alisajiliwa kwa Pauni...
Back
Top Bottom