David Zacharia Kafulila (born 15 February 1982) is a Tanzanian Civil Servant and current Regional Commissioner for Simiyu Region after serving as Regional Administrative Secretary for Songwe Region from 2018 to 2020. He was the NCCR–Mageuzi politician and Member of Parliament for Kigoma South constituency since 2010 to 2015. He's the first Member of Parliament to get a whistle-blower award he received such prize in the year 2015 after exposing and champion the Tegeta Escrow scandal which cost the nation loss of about $200.
Hivi karibuni nikekuwa nikimuona mdogo wangu Kafulila akitoa maoni yake kwenye kila kitu uenda ni kutokana na nafasi yake ya Ex. Director wa PPPC ndiyo maana anakuwa na munkari ya kuongea sana. Ila hekima ni pale unapotulia na kutoa ufafanuzi wenye busara na logic.
Suala la serikali kununua...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila hivi ndivyo alivyoandika baada ya baadhi ya Watanzania kushangaa kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusu Tanzània kununua Umeme nje ya nchi, Ethiopia.
Mkurugenzi Kafulila anasema pamoja na kwamba...
Wanabodi, nimeikuta hii kwenye Tovuti ya kituo cha Ubia Kati ya Sekta binafsi na Sekta ya Umma PPPC imenivutia na ni mimi tu kuwaleteeni hii taarifa hapa.
Kafulila anasema ikiwa Taifa na Dunia tutaamua kuwashirikisha vema wanawake katika Ujenzi wa Uchumi wa Dunia au wa Taifa...
Katika salama zake za siku ya Wanawake Dunia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwanza amewapongeza wanawake wote kwa kuzaliwa wanawake.
Pili, David Kafulila amerejelea Utafiti uliofanywa na UNAC ya nchi Marekani uliokuwa na majibu kwamba Wanaume sio...
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya;-
Kati ya mwaka 1970 na mwaka 1998 wakati misaada toka nje ya Africa ilikuwa ya kiwango cha Juu kuliko wakati wowote ajabu ni katika wakati huo huo...
Tanzania shippers Council Baraza la wasafirishaji shehena Tanzània limeandaa mjadala wa wazi wa kibiashara baina ya Serikali na sekta binafsi katika Ukumbi wa Peack Cock Hotel Jijini Dar es salaam siku ya jumanne tarehe 04. 03. 2025
Mgeni rasmi katika mjadala huo atakuwa Cde David Kafulila...
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila amesema kitendo cha Rais wa Marekani, Donald Trump kuja na sera za kusitisha baadhi ya misaada kwa nchi za Afrika, kimefungua fursa mpya kwa Tanzania na kwamba serikali iko mguu sawa kuzitumia fursa hizo...
David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest"...
Habari Ndugu Kafulila,
Naomba unisaidie kufahamu, ni kwa nini ujenzi wa viwanja vya michezo ukianza na ule wa Arusha na sasa huu wa Dodoma haufanyiki kwa PPP?
Michezo ni biashara na hivyo sekta binafsi inapaswa kujenga miundo mbinu ikiwemo viwanja vya michezo na kuviendesha kibiashara, mbona...
===
Huu ni mwaka ambao Dira ya Maendeleo ya Taifa ya awamu ya tatu chini ya Rais Benjamin Mkapa (2000-2025) imekamilika kwa mafanikio wakati Dira ya Sasa ya 2025-2050 chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeandaliwa na inasubiri kuzinduliwa tu kwa mafanikio pamoja na kwamba huu ni mwaka wa...
===
Akihojiwa na kituo cha utangazaji Cha ITV kwenye kipindi ya DK 45 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amefafanua haya "Kuhusu mpango wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kutumia Sh trilioni 33 sawa na $13bn...
Mara nyingi nakutana na habari za kisiasa zinazosemwa na David Kafulila, nijuavyo huyu ni mteule wa Rais asimamie taasisi ya serikali, nijuavyo hawa wateule ni tofauti na na Mawaziri ambao wanaanza kuwa na koti la ubunge yaani uanasiasa.
Hawa wa taasisi za umma si wanasiasa na kanuni za...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema tangu serikali ya Tanzania ifanye marekesho ya sheria na miongozo yake mbalimbali sasa kiwango cha wawekezaji kuja kuwekeza nchini Tanzania kimeongezeka.
Kafulila ameyasema hayo wakati...
===
Kwa mtizamo wangu Mtu pekee toka Chama Cha Mapinduzi CCM anayeweza kumnyoosha sawasawa Tundu Lissu kwa hoja mujarabu tena kwa data ni huyu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila,
Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya mitandaoni na mitaani ni wazi Watanzania...
====
Kuelekea mashindano ya Mpira wa Miguu ya Kimataifa ya CHAN Mkurugenzi wa PPPC Bwana David Kafulila ameitaka sekta binafsi na ile ya Umma PPP kushirikiana na kuhakikisha wanaitumia kwa usahihi fursa hii pekee iliyopatikana kwa ushawishi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kafulila anasema...
Kuelekea Ujenzi wa barabara za kulipia Tanzania (toll road) David Kafulila, Mkurungezi Mtendaji PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa sio lazima mtu apite kwenye barabara ya kulipia kwani kila barabara ya kulipia itakuwa na barabara mbadala isiyo ya kulipia hii inampa mtumiaji uhuru wa kuchagua...
===
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchi Tanzània PPPC Mhe David Kafulila amewaeleza Watanzania lazima wafahamu kesho ya Tanzània yao ni bora kama tu hali ya Umoja na mshikamamo iliyopo Sasa itaendelea kuwa ilivyo leo.
David Kafulila anasema, Tanzania kwa kushirikiana...
===
Akizungumza na Waheshimiwa madiwani wa Ilemela waliofika ofisini kwake kwaajili ya kujifunza mambo mbalimbali yahusuyo PPP kwenye kituo hicho cha PPPC Tanzània,
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho cha Ubia nchini Bw. David Kafulila amewaambia madiwani hao kuwa Serika...
Jumla ya miradi ya maendeleo 84 inatekelezwa kwa ubia baina ya sekta binafsi na Serikali kupitia kituo cha ubia Kati ya Seikali na Sekta binafsi (PPPC) kikieleza miradi miwili ya Barabara za kulipia ikiwemo ile ya Kibaha hadi Morogoro pamoja na Barabara za mzunguko za kulipia katika Jiji la Dar...
==
Katika hotuba yake bora ya kihistoria ya kufunga mwaka wa 2024 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameitangazia Tanzània na Dunia kuwa mwaka 2025 utakuwa ni mwaka ambao Serikali yake itajikita zaidi katika kuvuta na kutumia mitaji ya sekta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.