David Zacharia Kafulila (born 15 February 1982) is a Tanzanian Civil Servant and current Regional Commissioner for Simiyu Region after serving as Regional Administrative Secretary for Songwe Region from 2018 to 2020. He was the NCCR–Mageuzi politician and Member of Parliament for Kigoma South constituency since 2010 to 2015. He's the first Member of Parliament to get a whistle-blower award he received such prize in the year 2015 after exposing and champion the Tegeta Escrow scandal which cost the nation loss of about $200.
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA
Leo mara baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) chini ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Mhe Jaji Frederick Werema,
Haraka nikamkumbuka aliyewahi...
Kama Kafulila na PPP yake hana shaka na Adani kama tulivyosoma mitandaoni basi ajue wananchi wengi taarifa za kushitakiwa hao watu kwa kupewa kandarasi marekani kwa kutoa rushwa zinathibitisha yale wamekua na mashaka nayo. Kwamba nchi wala haihitaji huduma kama za Adani.
Ni huduma za kudumaza...
Hiki ndicho alichoandika Director wa PPP Tanzania Bw. David Kafulila huko kwenye akaunti yake ya X zamani tweeter.
Mkurugenzi huyo ameandika haya ili kuwatoa hofu wanaodhani huenda nchi yetu ikapata hasara ya mali na fedha kwa kuingia Ubia na Sekta binafsi toka ndani au nje ya Tanzania...
Akizungumza mwishoni mwa wiki, kamishna wa Miradi ya PPP bwana David Kafulila amesema kampuni ya COVEC ya China inapanga kutumia zaidi ya Trilioni 2.7 ($1bln) kwaajili ya kujenga Barabara 10 za mzunguko wa Nje Jijini Dar Kwa lengo la kupunguza Msongamano.
Barabara hizo ambazo hazijaainishwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Ningependa kusema kuwa PPP (Public Private partnership)yaani ubia kati ya secta ya Umma na binafsi ni mkombozi na mfumo ambao unaweza kutusaidia sana katika kuharakisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo.
pamoja na kuvutia mitaji mikubwa mikubwa ya mabilioni ya pesa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mkurugenzi Mkuu wa PPP Mheshimiwa David Kafulila amewatoa hofu watanzania ambao wameonyesha kuwa na hofu kubwa sana juu ya mikataba ya Ubia .hasa kwa kurejea majeraha na makovu ya mikataba mibovu ambayo yamewahi kushuhudia yakileta hasara kwa Taifa letu.ikiwepo IPTL...
Binafsi ni Muumini wa Ushindani; ingawa kwenye Huduma ni Vema UMMA ukawa na Umiliki na kama inawezekana UMMA huo ushindane kwenye Soko Huria na Watu Binafsi..., Na Sekta hizo ambazo UMMA ni vema kuwa na UMILIKI ni NISHATI (TANESCO), USAFIRI, MAKAZI (NHC); BANKING na kwa sasa MAWASILIANO (kupitia...
Rais mama samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, pole na majukumu mazito ya kufanya mamuzi katika taifa letu hili pendwa.
Mambo ni mengi mda ni mchache sana, bila shaka itakuwa unauumiza kichwa juu ya uchanguzi mkuu wa mwakani unafikilia nani awe kampeni meneja mkuu...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula.
Na ambaye amekuwa...
Mkurugenzi mkuu wa PPP-Cetre Tanzania Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa tweeter (X)
"Nilipomtembelea Mhe. Annisa Kapufi Mbega , Balozi wetu New Delh India. Tumezungumza kwa kina kuhusu namna ya kufanya zaidi kuvuta uwekezaji kwa UBIA( PPP) hasa kwenye Usafiri wa...
Kama kuna kitu Tanzania inapashwa kukipa nguvu inayostahili basi ni hii PPP ya Kafulila.
Nchi nyingi dunia zinanufaika na PPP hasa katika kukuza Uchumi jumuishi kwa maendeleo endelevu.
====
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi Tanzània (PPP-Centred) Bw. David Kafulila ametoa wito kwa Sekta binafsi au watu binafsi wenye mitaji, teknolojia na utafiti kwenye mradi au miradi yoyote ya Serikali kwenye ngazi yoyote ya kiserikali wafike ofisini...
amani iwe kwenu,
Kwa wale wote mliowahi kuwa karibu na David Kafulila kwa nyakati na sehemu tofauti tofauti nje na ndani ya siasa mtusaidie kujibu maswali haya,
1. Je, ni kweli kwamba huyu David Kafulila anachukia rushwa kwa moyo wake wote na kwanguvu zake zote kama tunavyoambiwa?
2. Je...
By Summary,
Hawa watu wanao mtaja-taja Cde David Kafulila wanatumwa na nani hasa na nia yao ni nini hasa nini kipo nyuma ya hili?
Je, huyu Cde David Kafulila ameshawahi kutangaza nia popote anataka nafasi yoyote ya kisiasa 2030 - JIBU NI HAPANA
Bila kujua au kwa kujua hawa watu wanamuingiza...
Nikikumbuka zama za kina nchimbi walipokuwa na makundi ya uraisi walichofanyiwa na mzee wa msoga sitosahau. na nukuu "Mimi nilikuwa mpole Sana sasa nawaletea mkali".
Mama Samia kwa jinsi navyomuona 2030 huenda akafanya kama ya jk 2015 maana namuona siyo muongeaji anawaangalia vijana wake...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa David Kafulila Kamishina wa PPP,Msomi wa BBA,Kijana Mchapa kazi,mzalendo , muadilifu na akili kubwa amewahi kusema ya kuwa CCM inabadilika kulingana na wakati na mahitaji ya wakati . akaendelea kusema ya kuwa ndio maana huwezi ukawakusanya wapinzani wa CCM...
Ni kawaida ya kamishna wa PPP kutolea Ufafanuzi sintofahamu zinazohusu mambo mbalimbali ya Biashara na foreign exchange Nchini.
Na wakati mwingine huenda pale DK 45 ITV kwa Middle Kutoa Ufafanuzi.
Lakini kwenye hili sakata la Sukari mh Kafulila aka Tumbiri yuko kimya Kabisa kana kwamba imports...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa David Kafulila Ameamsha hisia, kuwagusa waheshimiwa wabunge na kuwarejesha mbali sana kihisia. Chuma Kafulila kaliteka Bunge, kalitetemesha na kalitikisa kwelikweli. Hii ni baada ya kutambulishwa Bungeni kama Mkurugenzi wa PPP na Mheshimiwa Speaker Dkt Tulia...
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa.
Kafulila anasema Wakati Serikali ya Rais Samia Suluhu...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimefuatilia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali, iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na wana-CHADEMA wanamuogopa sana Mheshimiwa David Kafulila linapokuja suala la kushindanisha na kujenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.