Wananchi kutesti mitambo kidogo jana kwenye mwendokasi! Samia kaone hee hali isiwe mbaya sana akafanya maamuzi ya kutengua viongozi waliopo na kuwateuwa wapya.
Lakini kufanya hivi ndio kufanya suluhu kwamba changamoto itamalizika katika usafiri wa mwendokasi? Wakati naona kama ishu nzima ni...