Uteuzi: Kafulila ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri ya Wakala wa mabasi yaendayo Haraka (DART)

Uteuzi: Kafulila ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri ya Wakala wa mabasi yaendayo Haraka (DART)

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Wananchi kutesti mitambo kidogo jana kwenye mwendokasi! Samia kaone hee hali isiwe mbaya sana akafanya maamuzi ya kutengua viongozi waliopo na kuwateuwa wapya.

Lakini kufanya hivi ndio kufanya suluhu kwamba changamoto itamalizika katika usafiri wa mwendokasi? Wakati naona kama ishu nzima ni kama inatokea kwenye uongozi wa juu kabisa wa serikali
=====================

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi za Wakala na Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka na kuteua Wenyeviti wa Bodi.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-

(i) Bw. David Zacharia Kafulila ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART); na

(ii) Balozi Dkt. Ramadhani Kitwana Dau ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART).

Soma Pia: Uteuzi UDART: Pius Ng'ingo Mkurugenzi Mkuu, Waziri Kindamba atenguliwa. Said Tunda ateuliwa Mtendaji Mkuu, Dkt. Kihamia atenguliwa

photo_2025-10-02_17-17-11.jpg
 
View attachment 3482389
Kabalance kobaz na mgalatia.

adriz The Consigliere (sayngay) hydroxo
 
Tatizo ni CCM, sera mbovu utendqji hamna kitu.
Wapeni waarabu na hili watusaidie- that is what ur capable of.
 
Huyu aliyetaka kuwakaribisha ADANI ili waje wale matunda ya kazi kubwa iliyoshafanywa kwenye BWAWA la Nyerere eti waje wasambaze Umeme ?!!!!

By the way ushauri wa nini kwa shida haijulikani kwamba ni walaji na wafujaji ndio wanatafuna hii miradi ? (sasa kuongeza mfujaji mwingine itasaidia nini)

Bila kusahau Tanzania sio Dar pekee (hakikisheni hata hio SGR bei zinakuwa affordable hata mtu aweze kuishi Morogoro na kufanya kazi Dar) - We need to think BIG
 
Huyo jamaa mwongo mwongo wa Uvinza hatimaye amepata ujiko baada ya kukariri ripoti za WB na IMF na zaidi kumsifia sana Chura Kiziwi.
Haya tuone sasa jinsi atakavyo turn around ubia wa Public Private Partnership kwenye mradi wa mwendokasi Dar es salaam, alichotuaminisha kinakwenda kutokea? ..... Yetu macho! 😆
 
Nini tofauti ya hizo bodi mbili?
Hakuna tofauti zaidi ya kuongeza wigo mpana na urefu wa kamba ili kujipimia bila usumbufu
 
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa

Kwa mtu anaedhani Kafulila anamajibu ya changamoto za biashara kisa kutwa anazunguka kuropoka ujinga. We have a serious problem.

Kwani alishawahi kufanya biashara gani zaidi ya uchawa? Keshauza hata vitumbua au ana hiace hata moja akajua biashara ya usafirishaji hadi aweze kushauri changamoto za usafiri wa kenge wa kimara?
 
Kwani alishawahi kufanya biashara gani zaidi ya uchawa? Keshauza hata vitumbua au ana hiace hata moja akajua biashara ya usafirishaji hadi aweze kushauri changamoto za usafiri wa kenge wa kimara?
Siku ukikutana nae muulize estimated maintance costs ya njia za DART na upkeep ya vituo vya mabasi.

Na kiasi gani cha nauli mabasi yanatakiwa yake kama percentage ya hizo gharama; akikujibu ni tag.

Sio kwamba hajawai fanya biashara (alishwahi) kuwa mafuta ya mawese huko, but then kurukia biashara sio shida nyingi ni simple mission tu.

Halikadhalika mambo makubwa yanataka technical knowledge ya maswala ya uwekezaji na walau abc za ‘management accounting’ or elementary knowledge ya general finance.

Kafulila hana analolijua zaidi ya kuongea upuuzi tu, so is Nehemia.

Ni hivi hayo mambo haya fail kwa bahati mbaya; ni kwamba hakuna wataalamu.

Huyo Kindamba wanadai ana MBA, Finance and Banking; knowledge (I doubt the merit of his transcript) hata ukimsikiliza akiongelea biashara unaona pale hamna kitu.

Kafulila ndio kabisa zero.
 
Back
Top Bottom