Uteuzi: Kafulila ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri ya Wakala wa mabasi yaendayo Haraka (DART)

Uteuzi: Kafulila ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri ya Wakala wa mabasi yaendayo Haraka (DART)

Siku ukikutana nae muulize estimated maintance costs ya njia za DART na upkeep ya vituo vya mabasi.

Na kiasi gani cha nauli mabasi yanatakiwa yake kama percentage ya hizo gharama; akikujibu ni tag.

Sio kwamba hajawai fanya biashara (alishwahi) kuwa mafuta ya mawese huko, but then kurukia biashara sio shida nyingi ni simple mission tu.

Halikadhalika mambo makubwa yanataka technical knowledge ya maswala ya uwekezaji na walau abc za ‘management accounting’ or elementary knowledge ya general finance.

Kafulila hana analolijua zaidi ya kuongea upuuzi tu, so is Nehemia.

Ni hivi hayo mambo haya fail kwa bahati mbaya; ni kwamba hakuna wataalamu.

Huyo Kindamba wanadai ana MBA, Finance and Banking; knowledge (I doubt the merit of his transcript) hata ukimsikiliza akiongelea biashara unaona pale hamna kitu.

Kafulila ndio kabisa zero.
Ndo tatizo la kuunganisha, wenyewe kule waita Top -up degrees.

Wasoma local College pale London kisha waunganisha last year waingia uni.

Pale Uni wakutana na wale wa Full-Time three years degree.

Hivyo huwezi kuwa sawa nao kwani kuna baadhi ya masomo muhimu kwenye muhula utakuwa umeyaruka.
 
Wananchi kutesti mitambo kidogo jana kwenye mwendokasi! Samia kaone hee hali isiwe mbaya sana akafanya maamuzi ya kutengua viongozi waliopo na kuwateuwa wapya.

Lakini kufanya hivi ndio kufanya suluhu kwamba changamoto itamalizika katika usafiri wa mwendokasi? Wakati naona kama ishu nzima ni kama inatokea kwenye uongozi wa juu kabisa wa serikali
=====================

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi za Wakala na Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka na kuteua Wenyeviti wa Bodi.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-


(i) Bw. David Zacharia Kafulila ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART); na


(ii) Balozi Dkt. Ramadhani Kitwana Dau ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART).

Soma Pia: Uteuzi UDART: Pius Ng'ingo Mkurugenzi Mkuu, Waziri Kindamba atenguliwa. Said Tunda ateuliwa Mtendaji Mkuu, Dkt. Kihamia atenguliwa

View attachment 3482389
 
Kafulila ameshindwa kulea ndoa yake hadi mke anagawa kwa watu wengine ataweza kusimamia mradi mkubwa?
 
Dau ni kijana mtiifu wa JK 😂,
Sa100 wanaomzunguka wanamtakia mema kweli?
 
Nilipoona jina la "Dau" nikapiga mluzi ule wa "fwiiiio" yani imeisha hio!!!

Imamu tofauti kanzu ileile...kwa mbili mbili....kwa mbili mbili!
Ila dau ni hard worker na creative,hata wizi anaoimbwa tunaomjua hatujawahi kuona mali anazomiliki za hivyo pamoja na hata hivi karibuni alipewa ubalozi,hata jpm mwenyewe alishamtetea,jamaa ana hofu ya Mungu na wezi hao kina magori ndio walikua wanampiga sana majungu pale nssf
 
Suruhisho
1. Nani atasimamia uzembe wa madereva.
2.Kituo cha mbezi Luis kijengwe iwe centre ya kuanzia mabus ya UDArt
3.Kwenye mataa trafiki wayapitishe haraka mabus
4.Kiwanda cha vipuri kijengwe haraka.
5.90percent ya drivers wawe mafundi.
 
Wananchi kutesti mitambo kidogo jana kwenye mwendokasi! Samia kaone hee hali isiwe mbaya sana akafanya maamuzi ya kutengua viongozi waliopo na kuwateuwa wapya.

Lakini kufanya hivi ndio kufanya suluhu kwamba changamoto itamalizika katika usafiri wa mwendokasi? Wakati naona kama ishu nzima ni kama inatokea kwenye uongozi wa juu kabisa wa serikali
=====================

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi za Wakala na Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka na kuteua Wenyeviti wa Bodi.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-


(i) Bw. David Zacharia Kafulila ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART); na


(ii) Balozi Dkt. Ramadhani Kitwana Dau ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART).

Soma Pia: Uteuzi UDART: Pius Ng'ingo Mkurugenzi Mkuu, Waziri Kindamba atenguliwa. Said Tunda ateuliwa Mtendaji Mkuu, Dkt. Kihamia atenguliwa

View attachment 3482389
Uendeshaji wa huku mradi wa mabasi uko kisiasa sana hautakuja kutengemaa mpaka mtazamo utakapo badirika kuwa wa kibiashara. Serikali kama inataka kuwasaidia wananchi wake wanyonge ni suala la kuweka ruzuku kwenye uendeshaji wa huo mradi lakini ukaachwa uendeshwe kibiashara, ila wasiwape akina rostam wataingiza upigaji TU. Dhamira ikiwepo mwendekosi sio kitu cha kusababisha taharuki kwenye utawala unaojitambua.
 
Nini tofauti ya hizo bodi mbili?
DART mamlaka inayo jenga miundombinu (barabara, n.k) ya basi za mwendokasi (BRT), inatafuta na kukodisha kampuni binafsi za kuendesha mabasi ya mwendokasi. Hawa 100% ni serikali nadhani chini ya TANROADS.

UDART ni kampuni ya uendeshaji gari za mwendokasi. Huyu ni mteja wa DART.
Humo kuna ubia serikali na kampuni binafsi. Kila upande una asilimia zake. UDART inalipia huduma ya kutumia miundombinu BRT kwa DART.
Sijui ulitaka maelezo Kama haya?
Sijui umeelewa?
Note: Nakaribisha kukosolewa endapo nimekosea sehemu.
 
Suruhisho
1. Nani atasimamia uzembe wa madereva.
2.Kituo cha mbezi Luis kijengwe iwe centre ya kuanzia mabus ya UDArt
3.Kwenye mataa trafiki wayapitishe haraka mabus
4.Kiwanda cha vipuri kijengwe haraka.
5.90percent ya drivers wawe mafundi.
1. Wapo wasimamizi Supervisors je wawasimamia hao wafanyakazi ipasanyo?

2. Vituo vya kupaki na kuanzia safari mabasi (depots) viwe ndani ya manispaa zote yaani Ilala., Kinondoni, Temeke, Ubungo na Kimara au Mbezi.

3. Mabasi haya tiyari yana njia maalum (bus routes) ambazo hazipaswi kutumiwa na chombo kingine chochote) ikionekana gari au pikipiki au kibajaji anapigwa adhabu kwani kamera maalum zitakuwa zikiangazia usalama wa mabasi na madereva pamoja na performance.

4. Hili wazo zuri kwani kiwanda cha vipuri vitasaidia kuokoa fedha za manunuzi na uagizaji wa vipuri hivyo kutoka nje. Pia viwanda vya ndani vitasaidia kupanua ajira kwa vijana wa kutoka VETA. Sambamba na hilo karakana za mabasi haya ziwe na uangalizi mkali kuhusu wizi wa vipuri na vifaa vingine.

5. Madereva waendelee na kazi yao ya udereva na mafundi wawe ni wale wale walopita VETA na kuwa na vyeti vya ufundi ili kusaidia kukuza ajira.
 
DART mamlaka inayo jenga miundombinu (barabara, n.k) ya basi za mwendokasi (BRT), inatafuta na kukodisha kampuni binafsi za kuendesha mabasi ya mwendokasi. Hawa 100% ni serikali nadhani chini ya TANROADS.

UDART ni kampuni ya uendeshaji gari za mwendokasi. Huyu ni mteja wa DART.
Humo kuna ubia serikali na kampuni binafsi. Kila upande una asilimia zake. UDART inalipia huduma ya kutumia miundombinu BRT kwa DART.
Sijui ulitaka maelezo Kama haya?
Sijui umeelewa?
Note: Nakaribisha kukosolewa endapo nimekosea sehemu.
Ni mara kumi tungeendelea kuw ana UDA ambayo ingekuwa yajipanua kidogokidogo kwa kufanya yote hayo badala ya kugawagawa hizi shughuli.

TANROADS wazijenga njia za mabasi, UDA yasimamia uendeshaji wa mabasi na uzimamizi wake pamoja na kushirikiana na seka binafsi.

Haya mambo ya UDART, DART, BRT na TANROADS yachanganya sana huku watu wakijipigia mpunga wa kutosha.

Watanzania twashindwa vipi kusimamia usafiri na usafirshaji abiria katika miji yetu?
 
1. Wapo wasimamizi Supervisors je wawasimamia hao wafanyakazi ipasanyo?

2. Vituo vya kupaki na kuanzia safari mabasi (depots) viwe ndani ya manispaa zote yaani Ilala., Kinondoni, Temeke, Ubungo na Kimara au Mbezi.

3. Mabasi haya tiyari yana njia maalum (bus routes) ambazo hazipaswi kutumiwa na chombo kingine chochote) ikionekana gari au pikipiki au kibajaji anapigwa adhabu kwani kamera maalum zitakuwa zikiangazia usalama wa mabasi na madereva pamoja na performance.

4. Hili wazo zuri kwani kiwanda cha vipuri vitasaidia kuokoa fedha za manunuzi na uagizaji wa vipuri hivyo kutoka nje. Pia viwanda vya ndani vitasaidia kupanua ajira kwa vijana wa kutoka VETA. Sambamba na hilo karakana za mabasi haya ziwe na uangalizi mkali kuhusu wizi wa vipuri na vifaa vingine.

5. Madereva waendelee na kazi yao ya udereva na mafundi wawe ni wale wale walopita VETA na kuwa na vyeti vya ufundi ili kusaidia kukuza ajira.

Wanachojaribu kufanya ni kitu kama hiko ☝️huo ni utaratibu wa railway operation panapo private lines.

Hiyo ni biashara kichaa serikali ina gharamia na kujenga miuondombinu; utumiaji ni private.

Kabla ujapewa route (private business) kuna condition. Kutumia route serikali inapiga kwanza hesabu zake za mrejesho wa deni la gharama za miundombinu, ina anticipate costs za road maintenance annually na passenger volume (kwa demand ya peak hours) ili wafahamu waletę mabasi mangapi kwa schedule ya dakika ngapi za kusubiri ili kusiwe na msongamano vituoni.

Swala maintance na upkeep la miundombinu linakuwa la serikali (nadhani ndio msingi wa DART na swala operation ya mabasi ni private (sometimes kuna ubia wa serikali).

Sasa kabla ujapewa route private operators hesabu zako zinaanza; ‘Track Access Costs’ (TAC’s) ni kama toll charge. TAC include fixed costs ya ‘Infrastructure charge costs’ (ICC) hizi ni gharama za deni ambazo serikali inabidi ilipe kwa ujenzi wa barabara, jumlisha na maintance costs za matumizi ya barabara. Kwa kifupi (TAC = ICC + maintance costs) hizo ni fixed na variable costs unazoanza nazo.

Sasa uje kwa operator on top TAC’s na yeye ana services costs zake na fines labda kama akishindwa kutoa huduma mfano mabasi mengi yapo garage anasababisha bottle neck ya usafiri kwa abiria kwa sababu za uzembe.

Panapo ruzuku ya serikali imetumika kwenye ununuzi wa mabasi asilimia zao ya faida kama ni 30% utajua utakapoitoa, kama wafanyakazi wako wote wanachukuliwa ni waajiriwa wa serikali mishahahara yao na pension zao lazima ulipe. Ni biashara kichaa wao wakiona private companies zinaendesha railway huko kwa wazungu wanadhani ni rahisi tu, condition zake za kupewa hizo route huko not for faint hearted individuals.

Kwa kifupi ni kwamba ukienda kununua mabasi ambayo ni salvage value kutoka kwa kampuni moja huko uarabuni au sijui nchi gani iliyoendelea, hapo ujue huna biashara kuna sababu za msingi sana kwa nini wao wanabadili. Washakamua life ya hayo mabasi na kurudisha hela yao, hiyo salvage value ni kwa sababu baada ya hapo hayo magari hayahitaji regular schedule maintenance kwenda mbele maana yake yataanza kuwa na matatizo ya engine failure.

Sasa nchi zilizoendelea hayafanyi biashara kichaa wanauza mapema na kubadili hawa wawekezaji wetu uchwara wanaenda nunua hayo mabasi at salvage price, wanafanya cosmetic changes lakini si muda mrefu mabasi yanaishia garage.

This is why saa zingine uwa nawaita hawa watu wa serikali hasa civil servants ni mataahira, watch this space sio muda mrefu na haya mabasi wanayoyaleta yatakuwa chali.

Busara ni huyo mama Kilaza kuachia ngazi nchi inachezewa sana, watu wanalilia hizi tender za PPP hata huo weledi wenyewe wa biashara hawana.

Banana republic, taahira kama Kafulila atakushauri jambo gani la maana zaidi ya ujinga tu anao ongea.
 
Kwa nini kila siku wanaoteuliwa ni walewale mafisadi ina maana hakuna wasomi wengine wenye uwezo wa kutatua matatizo madogo kama hayo

Ukiingia kwenye mfumo unakuwa reshuffled tu hutoki hata uharibu vp. Waliotenguliwa nao soon wanapewa kitengo kingine wakafanye madudu tena. Nchi ya kipumbavu sana hii.
 
Back
Top Bottom