da'vinci mshana jr amber rutty baby

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mwamba huyu Historia Yake Haito sahaulika duniani kote Bingwa Wa Kung fu duniani Bruce Lee

    MWAMBA HUYU HAPA... BLUCE LEE alivunja rekodi ya dunia Mara 10 ndani ya miaka miwili tu.Bluce Alivunja rekodi ya dunia baada ya kupiga push up 2000 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja,kupiga Push up 15000 kwa mikono miwili bila kupumzika,Push up 4000 kwa mkono moja na Push up 1000 kwa...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    Dawa Ya Nguvu Ya Kiume Ya Asili Kwa Wale Wenzangu Kwenye Mashindano Ya Kitandani usiku wanaofunga Goli Mapema haya chukuweni dawa hiyo Nimetoa Bure

    DAWA YA NGUVU YA KIUME aka Viagra Ya Asili Tafadhali kama wewe ni chini ya Umri wa Miaka 20 kaa Mbali dawa hii. Mwanume yeyote ambaye hutoa hudumu ya dakika 2 tu katika mashindano ya Kitandani na Mke baada ya kuchukua mchanganyiko huu usijali utaongezeka muda mpaka kufika dakika 30 Kumaliza...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    Jamaa anaitwa Mohamed ameibiwa watoto 2 saa 12 jioni na mfanyakazi wa ndani Wilaya ya Temeke

    Atakaye waona ampigie simu Mr Mohamed kwa namba hii hapa 0744555574. BREAKING NEWS: Alhamdulillahi Watoto Wamepatikana Wapo Polisi Mama yao ameshakwenda kuwaona wanapelekwa hospitali kupimwa afya zao.
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Moto Mkubwa unawatesa Wamarekani wa Jimbo la California

    Tizama dunia hii. James Woods, muigizaji maarufu wa Hollywood ambaye alishabikia Wapalestina wote wa Ghazza wateketezwe, Mungu kamtahini kwa kuunguliwa na nyumba yake katika moto mkubwa unaoendelea kuiteketeza California, sasa analia kama mtoto mdogo! Ama kweli mzigo wa mwenzio ni kanda la usufi
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    Askari Huyu Mwanamke Alivyoituliza Kata iliyoshindikana Kilosa Hawaelewi Sheria

    https://www.youtube.com/watch?v=tWtw3Di53L4&ab_channel=MillardAyo
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    BREAKING NEWS: Maradhi Mapya ya Virusi vya Mafuwa nchini china yameibuka.Kwa Jina Yanaitwa HMPV-Virus Na Hayana chanjo Tujiabdae kuva Barakoa Tena

    A NEW CHINESE VIRUS LOOM. HUMAN METAPNEUMOVIRU OR HMPV OUTBREAK. HMPV HAS NO VACCINE SA OF NOW BAADA YA MIAKA 5 YA KORANA VIRU KUTOKEA NCHINI CHINA SASA KUMEREPUKA VIRUS MPYA INAYOITWA KWA JINA (HMPV) NCHINI CHINA DALILI YA MARADHI HAYA MAPY NI INAYOSABABISHA USHINDWE KUPUMUWA VIZURI , MAFUA...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Katuni yangu ya leo asubuhi

  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mke wa Mtu Ni Sumu Mchungaji afumaniwa akimla Mke wa Mtu

    HUYU SASA NADHANI ALIKUWA AMEKUJA KUFANYA MAOMBI TAKAKITU NA TAKATIFU MAOMBI TAKAKITU IKAFAULU TAKATIFU PIA.
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    Hatari kweli

    Kama una ndugu yako yupo Msumbiji mwambie aondoke haraka sana hali sio nzuri . Hao wote utakaowaona kwenye video walifariki kwa kupigwa risasi. Kama unampango wa kwenda Msumbiji basi jua hii ndio hali halisi.
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kondoo kwa binadamu huwa hana urafiki kabisa

    Wakati wa likizo huu, Mkiwapeleka watoto kijijini wakumbusheni kuwa maisha ya kule sio play station, kila kitu ni live😂😂😂😂🏃🏾
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mbegu za Mbono Kinga dhidi Ya Maradhi ya Majipu

    MBEGU ZA MBONO AU MNYONYO Mara nyingi katika mada zangu nimekuwa nikizungumzia namna ya kutibu maradhi mbalimbali yanayomkwamisha mwanadamu kushiriki ipasavyo kazi za ujenzi wa taifa. Tiba ninazozungumzia ni zile asili zisizoacha athari mbaya kwenye mwili wa mgonjwa. Leo nimeona nizungumzie...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    Video: Tembo aliyechoka kuteswa aamua kulipiza kisasi

  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    Sababu ya maambukizi (infection) ya sikio kwa watoto

    MAAMBUKIZI au Infection ya masikio ni tatizo kubwa kwa watoto, sikio limejigawa sehemu kuu tatu ya ndani, nje na kati. Matatizo mara nyingi yanashambulia sehemu ya kati ya sikio (Otitis media) inashambulia watoto wachanga na watoto wadogo na nyingine ni sehemu ya ndani ya sikio (Otitis...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amesema Watu 2 akiwemo Mwalimu Emmanuel Mbigili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kulawiti mtoto

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko (pichani kulia) amesema Watu wawili akiwemo Mwalimu Emmanuel Mbigili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumlawiti Mwanafunzi wa awali katika Shule ya Mount Moriah na kumuharibu sehemu zake za siri ambapo taratibu za kisheria zikikamilika...
  15. Roving Journalist

    CAG Kichere: Licha ya kupewa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55, ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 56.64, ongezeko la 61% kutoka hasara ya Mwaka 2021/22

    Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=6yQwHaO3rEA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    Can you imagine what Americans and Europeans are teaching their students in school?

    Can you imagine what Americans and Europeans are teaching their students in school? This is Erasmus university in Netherlands. How I wish this will get to the ears of our kids & parents? I wept inside for the future of Africans & the generation unborn when I listen to this.
  17. D

    Kauli ya Rais Samia inaonesha Makonda kapewa baraka kuwaongoza viongozi wengine wote!

    Tunadhani hii case closed! Wengi ndani na nje ya CCM mmekuwa mkihoji kwa nini Mwenezi wa CCM Paul Makonda amekuwa akifanya ziara na misafara mirefu kuliko hata PM na Naibu PM. Katika ziara zake amekuwa akisikiliza kero za wananchi na kuwapigia simu papo kwa papo Waziri au Mkurugenzi na kutoa...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kwa Wale Wenzangu Wanaumwa na Maradhi ya Kichwa Hebu jiangalie Jinsi Kichwa Chako kianavyo Uma

    UKIUMWA NA MARADHI YA KICHWA KATIKATI YA UTOSI NI DALILI INAYO ONYESHA KUWA UNAHıTAJI UNYWE MAJI YA KUTOSHA NA CHAKULA. CHENYE AFYA. UKIUMWA NA KICHWA KWA MBELE UTOSINI INAONYESHA UNAHITAJI UPATE USINGIZI WA KUTOSHA. UKIUMWA NA KICHWA KWA NYUMA KISOGONI INAONYESHA KUWA UPATE MUDA WA KUTOSHA...
  19. Leak

    Chuo cha Ardhi kinapaswa kuchukua hatua dhidi ya mabinti mapacha waliokiri kufanyiana mitihani

    Tumekuwa tukisikia hapa Duniani hasa Tanzania kuwa huwa kuna degree za bure na wengine wamekuwa wakisema kuna degree za chupi, lakini sijawai kusikia au kuona watuhumiwa wakikiri kufanya uhalifu kabisa hadharani! Chuo cha Ardhi ni chuo kizuri lakini ikifika hatua ya watu kisa tuu mapacha...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mambo 5 ya kujua kuhusu nimonia

    Mambo 5 ya kujua kuhusu nimonia Pneumonia ni maambukizi kwenye mapafu. Mara nyingi husababishwa na bakteria au virusi. Ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa kupumua. Watoto lakini pia watu wazima wanaweza kuugua ugonjwa huu. Kwa mujibu wa shirika la afya duniani, Watoto 740,000 walio na umri wa chini...
Back
Top Bottom