Majina ya vidole vya mkono:
1 Kidole gumba, 2 Kidole cha shahada,
3 Kidole kirefu, 4 Kidole cha pete, 5 Kidole cha mwisho
Kidole cha kati cha kando (pia: kidole cha pete) ni kidole cha nne mkononi. Iko kati ya kidole kikubwa na kidole cha mwisho.
Kidole hiki hakina nguvu sana ni hafifu kati...