dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukweli Usiosemwa Kuhusu Uraibu (addiction): ni zaidi ya Dawa za Kulevya na Pombe

    Muhtasari Uraibu si suala la dawa za kulevya au pombe pekee; ni suluhisho lililokosewa kwa matatizo ya kina yanayotokana na hali ya kutokuwa na amani na nafsi. Kuelewa uraibu kunahitaji kutazama mizizi ya kihisia inayosababisha hali hiyo na siyo kuangalia tu dalili zake za nje. Mambo Muhimu ya...
  2. Wacha niwafundishe dawa bora kabisa ya nguvu za kiume (Dawa namba moja ya nguvu za kiume)

    Hii inakuhusu zaidi wewe Mtanzania mwenye kipato cha chini ambae hauna uwezo wa kurudi gharama za matibabu ya nguvu za kiume. Nasema hivi kwa sababu matibabu ya ukweli na uhakika ya nguvu za kiume yapo hapa Tanzania, na watu wanatibiwa na kupona kabisa. Tatizo la nguvu za kiume linabaki...
  3. T

    Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi

    Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi Baada ya kusikia hizi stori kwa muda, nikaamua kuingia mitaani kufuatilia kinachoendelea hasa maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa (vijijini hasa pembezoni mwa miji na visiwani). Mtaani kuna stori kuwa kuna madhara...
  4. U

    Zipi bora kati ya dawa za kichina na dawa za Kiarabu?

    Aliyekwisha tumia dawa za kichina au hizo za kiarabu kutibu matatizo ya tumbo ,maumivu ya miguu nakadhalika ninaomba anishauri! Zipi zinafanya kazi vizuri na kwa uhakika,za kichina au za kiarabu? Kwa nilivyofikia, niko tayari kwa ushauri kuhusu dawa hizo!
  5. Nimewaletea dawa wale ambao ingawa wameachwa lakini kutwa wanawamiss ma-ex wao

    Najua ni vigumu sana kumsahau mtu ambaye ulishea nae maisha yako kwa kipindi fulani iwe kwenye ndoa au nje ya ndoa,najua uliwekeza hisia zako na mawazo yako kwake,hivyo umekuwa na hisia kubwa juu yake Lakini leo nakupa dawa kaa kwa kutulia na uachane na kumkumbuka huyo mtu ambaye amekufanya leo...
  6. Unga wa mkunazi, kibiriti na mafuta ya mzeituni dawa nyingine kwa wenye gundu

    huwa napenda kufanya uchunguzi hasa wa tiba za asili, miaka ya nyuma brother Mshana Jr alinipa funzo katika matumizi ya chumvi ya mawe niliitumia tiba hii kwa muda wa mwaka mzima japo kidogo nilikuwa nikikosea kwenye matumizi. Ili kujitakasa kwa kutumia chumvi inatakiwa uogee sehemu isiyokuwa...
  7. Hii ni dawa ya nini?

  8. Dawa ya mseto ya kutibu malaria ipigwe marufuku kama ilivyokuwa kwa chloroquine

    Miaka ya 2000's niliumwa malaria nikanywa amodiaquine ziko kama tatu hazizidi tano ila sitakaa nisahau ile experience ilikua unachungulia kaburi ile dawa iliongeza maumivu maradufu bora mchana usiku ndo maamuvi yaanapewa greenlight hulalali mwili ulichoka na nguvu zote ziliniishia Week hii...
  9. Mwenye kujua dawa ya kinganganizi jamani(luba)

    Mwenzenu nimebahatika mwezi sasaa na shangazi kaja moja la znz ananlaza na nje ya nyumba kabisa Yaan limetokea kunipenda hatqree Nikipelekea moto hataki nrudi nyumban tu a spend kama wiki nzima ndio anarudi znz She is sor romantic Lovely Sijui nisemeje Hapa nimekaa nkawaza mwenye kujua dawa...
  10. I

    Wizara ya Afya na Elimu: Kwanini Watoto wa shule ya msingi wamemezeshwa dawa pasipo mzazi kupewa taarifa?

    Nimesikitishwa sana kuona leo watoto wa shule ya msingi "serikali" wakirudi kutoka shuleni wakiwa wamedhoofika sana, miili ikiwa dhaifu na macho mekundu kabisa. Nilipowauliza, walisema wamepewa dawa shuleni na kumeza bila kula. Dawa hizo wamesema ni za kichocho na minyoo, na wamepewa pasipo...
  11. Dawa ya tezi dume yagunduliwa yaadimika Dodoma

    Siku tano baada ya dawa ya Uriphytol inayoelezwa kukinga na kutibu tatizo la kutanuka kwa tezi dume kuanza kuuzwa rasmi, dawa hiyo imeadimika katika maduka ya dawa mkoani Dodoma ilikoanza kuuzwa. Dawa hiyo imegunduliwa na wataalamu wa Kitanzania, licha ya Serikali bado haijatoa tamko rasmi...
  12. Natafuta dawa ya asili inayoitwa phylantus Niruri

    Wakuu natafuta dawa ya asili inayoitwa phylantus Niruri. Ni urgent sana. Natanguliza shukrani
  13. Msaada nina uvimbe shavuni nimetumia dawa lakini haujapungua

    Habari Wana JF, Naomba Ushauri Niende moja kwa moja kwenye hitaji langu. Mwezi wa saba nilipatwa na uvimbe ghafla upande wa kulia wa shavu chini ya sikio. Uvimbe ulikuwa mdogo na haukuwa na maumivu yoyote hadi nilipougusa na kuuminya minya, hivyo nikaamua kuupuuza. Hata hivyo, baada ya...
  14. Nimekuta hizi dawa kwa mkoba wa Dadangu. Kuna anaejua ni aina gani ya Dawa

    Wakuu naandika hapa ila kichwani niko confused sana, Dadangu aliondoka hom zaidi ya miaka 20, akaenda huko Dar es salaam katika harakati zake na tulipoteana, Kwa baadae kabisa tukapata kuwasliana upya, kwa kipndi hiko na mim nilikuwa nishatoka mkoani nimejenga Jiji flan hapa Tanzania, ikabidi...
  15. D

    Duka la dawa linauzwa tabora mjini

    Duka la dawa Muhimu DLDM LINAUZWA mwenye nalo, anaondoka Tabora bei ya kutupa million 3 tu pamoja na dawa Bei haipungui Duka Lina kabati 2 nyuma Kila moja futi 8 kimo 4 upana Kabati 1 mbele futi 5 kimo 4 upana Pembeni pia partition 3 vioo urefu wa 4×3 Duka Lina lesseni ya biashara ina expire...
  16. Ukweli mchungu lakini dawa

    Jipende, uchafu sio sifa njema, eti unajisemea anipende jinsi nilivyo. Nani akupende na huo uchafu wako. Maua huvutia vipepeo na mizoga huvutia nzi. Kwahiyo, utawavutia wa aina ulivyo Hakikisha unajipenda, unanukia, unavutia na unakuwa mkaka au mdada fulani hivi amazing Hakikisha na unapoishi...
  17. Sioo dawa zote ziko hospitali. Zifahamu dawa nyingine pia

    SIYO DAWA ZOTE ZIPO KWENYE MADUKA YA MADAWA 🙋‍♀️🙋‍♀️ 1.Kufunga ni dawa nzuri. 2.Kufanya mazoezi ni dawa. 3.Kicheko ni dawa. 4.Kula vyakula vya asili ni dawa. 5.Mboga mboga na matunda ni dawa. 6.Usingizi ni dawa. 7.Mwanga wa Jua la asubuhi ni dawa. 8.Kuwa na marafiki wazuri au kuzungukwa na watu...
  18. M

    Kidonda kina siku 12 hakikauki na kupona, natumia dawa

    Habari wakuu Nina kidonda kwenye kidole kina siku 12, nilikipata baada ya kwenda kutibiwa Bawasiri clinic za Wakorea. Unakiwekea dawa ya kuchoma moto ktk kidole mara Saba nichome kwa siku tano mfululizo Kila siku mara Saba. Unaweka dawa ktk kidole hapo Kisha inachomwa inaungulia kidolea hadi...
  19. M

    Dawa ya vidonda kooni

    Nahitaji kujua dawa ya asili ya vidonda kooni kwani tonsil nilishatoa ila vidonda bado vipo. Kuta za koo zimerika hivo napata maumivu, nimeenda hospital lakini hawaeleweki tiba zao. Au hata ya hospitali ni sawa Note: Mi sijawahi kuenda chumvini hivo usiangaike kutoa comment kwa hili.
  20. Msaada wa dawa ya fungus kwenye vidole vya miguu

    Anayejua dawa ya fungus anisaidie tafadhali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…