dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Ni dawa gani ya kutibu jino lenye tundu(limetoboka).

    Salaam Waku kuna namna ya kutibu jino bila kulioondoa, linauma hatari. Msaada, asanteni
  2. E

    Msaada. TRICHLOROACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto

    TRICHLOACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto
  3. Baadhi ya Dawa za Hospitali kushindwa kutibu wananchi baadhi ya Magonjwa. Nini tatizo?

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la wananchi mtaani wenye maradhi mbalimbali kulalamika kuwa wametumia dawa za hospitali kwa muda mrefu ila hawajapona na kuamua kugeukia tiba Asili. Nini kinasababisha yote haya? Tatizo liko kwa wananchi kushindwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu? Au kulea ugonjwa...
  4. Msaada: Ugonjwa huu unaitwaje? Unatibika kwa dawa gan?

    Mtoto anaumwa kama ivyo ni ugonjwa gani na unatika kwa dawa gan?
  5. Makampuni ya mitandao ya kijamii yanatafutiwa dawa kama hayatazuia uzushi mitandaoni

    Umoja wa Ulaya unafikiria kuyabana makampuni yanayotoa huduma za mitandao ya kijamii kutafuta namna ya kuwabana watumiaji wanoitumia kueneza habari za uzushi na uvumi unao hatarisha usalama wa jamii. Many social media companies have invested heavily in content moderation over the years. But the...
  6. Kuna Mwenye Dawa ya Presha popote kwani naanza Kujiona sijielewei elewi japo najua Saa 3 Usiku baadae leo nitafurahi mno

    Bila bila Rafiki yangu mkubwa JF hakuna Dawa yoyote ile ya Presha unayoifahamu kwani naona sasa inapanda sana.
  7. Marekani yatumia vipimo tofauti katika suala la dawa za kusisimua misuli

    Michezo ya 33 ya Olimpiki ya Majira ya joto inafanyika huko Paris, nchini Ufaransa. Mwanariadha wa Marekani Erriyon Knighton alikimbia kwa sekunde 19.99 katika mchuano wa mita 200 kwa wanaume uliofanyika hivi majuzi, na kusaidia timu ya Marekani kuingia nusu fainali kwa nafasi ya kwanza. Hata...
  8. Kenya yaruhusu Dawa za Kuzuia VVU kuanza kutolewa kwenye Maduka ya Dawa

    Serikali ya Kenya imeruhusu Maduka ya Dawa za Binadamu kuanza kutoa huduma ya kwanza ya Dawa ya Kuzuia Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI (PrEP) baada ua tafiti kuonesha zitasaidia Watu kuzipata kwa haraka na kuzitumia. Imeelezwa kuwa Majaribio yaliyofanywa chini ya Mpango wa Taifa wa Kudhibiti...
  9. Hii dawa inatibu nini jamani

    Montelukast sodium 10g Amepewa mtoto wa miezi saba. Anakohoa kwa mbaali kihohozi kama amepaliwa na maji.na sio kiviile lbda mara tatu kwa siku koh koh koh koh sio kiviile yaani. Na Yuko tu poa haumwi wala nini. Ila dokta bingwa kasema apewe hyo dawa Nimegoogle ni ya asthma.na hajapimwa wala...
  10. Naombeni ushauri nataka kufungua duka la dawa nina mtaji wa milion 10

    Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu. Siwezi kukaa mwenyewe kutokanq na majukumu yangu kwahiyo nimepangq nimuweke mtu kwa ajili ya kuuza. Naomba...
  11. Kupaka mbao dawa au kupaka oil ipi inakaa muda mrefu bila wadudu kula?

    Wakuu mimi Niko hapa kwenu nawapa tip ya ujenzi hii hapa maana mimi kwenye ujenzi nmeboboa. Kutreat mbao kwa dawa zile za kijani kijani wanazopiga wengi wauzaji wa mbao. Oili chafu inadumu muda mrefu zaidi kuliko hizi dawa. Ukweli ndio huo oili kwanza kadili inavyopigwa joto ndio kwanza...
  12. Morogoro: Waziri wa Maji Jumaa Aweso awaumbua mamlaka ya maji Morogoro, tangu mwezi February hawajaweka dawa ya kutibu maji katika matenki yao

    Hii kwa kweli inashangaza, tangu mwezi February mwaka 2024, jamaa wanasambaza maji kwa wananchi yakiwa hayajatibiwa (treated). Kwa hiyo kwa muda wote wananchi wamekuwa wakinywa maji yenye vimelea vya magonjwa. Si ajabu mkoa wa Morogoro una maambukizi makubwa sana ya magonjwa ya matumbo, hasa...
  13. M

    Wahaya na dawa za moyo

    Wakuu je nikweli wahaya wanajua dawa za magonjwa ya moyo
  14. Eti kuna dawa ya kumpata sugar daddy?

    Eti kuna dawa yakumpata suggar daddy??
  15. Unanuka Kwapa? Hakiya Mungu tena hii dawa itakutibu 100% Kesho nipe mrejesho

    Oga vizuri, jikaushe maji chukua limao ulikate then ujipake makwapani, aloo hata ukishinda na mishe za juani hutasikia hata tone la harufu. Usiku pia ukisharudi kwenye mishe zako oga, paka tena kidogo, uendelee na shughuli za usiku. Kesho niletee mrejesho, sitaki hata 100. Mchango wako ni...
  16. Ukisikia kua uyaone ndo haya sasa: Bhufakale dawa ya kuchelewa kufariki (kufa)

    Habari za Leo mabibi na mabwana. Mnamo 14/05/2024 tulimzika mzee mmoja kijijini kwetu jina (..) Mzee yule alikuwa amemuoa shangazi yangu Mimi. Chanzo Cha kifo chake ni ugonjwa wa kisukari uliodumu Kwa muda mrefu. Baada ya kuzunguka huku na huko na hospital mbalimbali kutafuta matibbu ya...
  17. A

    Jamani majobless tunaosubiri ajira mmesikia huko waziri mkuu amewapa connection wanaopona uraibu wa dawa za kulevya

    Siasa hizi jamani! Waliopona uraibu wa madawa ya kulevya waziri mkuu ametoa hoja tamisemi huko wapewe ajira ...vipi inawatazama vipi vijana ambao wanaelekea kutumia hayo madawa sababu ya kukosa muelekeo wa maisha...kumbe wanasuburi waharibikiwe alafu ndo waje watoe ajira Kwa wagonjwa
  18. India na dawa nzuri sana za miti shamba,

    India ni moja ya mataifa yanayo amini sana kwenye Tiba asilia na ndio sababu wana idadi kubwa sana ya dawa za asili. Kampuni kama Himalaya ina dawa nyingi sana za asili za magonjwa tofauti tofauti. Kwa Dawa za Himalaya welness kama kuna dawa ya asili ya ugonjwa wowote unaitafuta kwa nuda...
  19. Ukaguzi viwango na uthibitishaji wa dawa za kuongeza maumbile mamlaka zinazingatia nini?

    Habari Wakuu, Kumekuwa na Ofisi mbalimbali zilizopewa vibali vya kuuza madawa ya kuongeza maumbile (Uume kwa Wanaume) na Shepu kwa wanawake. Ofisi hizo zimekuwa huru na zinajitangaza hadharani sambamba na kusifia huduma zao. Nimewauliza wataalamu wa Afya kadhaa wanadai hakuna dawa...
  20. Msaada dawa nzuri ya PID

    Habari wakuu Rejea kichwa tajwa hapo juu,kuna dada anasumbuliwa na huu ugonjwa anawashwa ukeni na tumbo linauma kwa chini. Naomba dawa nzuri itakayomsaidia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…