dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. Dawa ya kumtuliza mke mchepuko inahitajika

    Najua wengi mnapambana na hii roho huoo kwenu Kuna mdada khangu yaan kalijitunza kakaolewa Kakazaa sasa kakachika kanagawa hatare mbaya kalishachika kakarudi hme wazazi wakiwemo Kakabadili dini kakavutwa na kakazetu wenye ruksa wa4 Majuzi amerudishwa na mamboyetu talaka Nahisi anapoelekea...
  2. Msaada; Dawa ya Miguu kufa ganzi na kukosa nguvu

    Habari za wana JF? Kwa kipindi cha miaka miwili sasa Bibi yangu amekuwa na tatizo la kuishiwa nguvu kwenye miguu, Umri miaka 70. Akisimama kwa mda wa lisaa lazima aanguke chini, akitembea nyayo zinakuwa na ganzi. Naimbeni tiba na ushauri. Yuko DAR ES SALAAM. Ombi la rafiki yangu wa karibu...
  3. YAAN KILA MTU FB ANAUZA DAWA ZA KUTIBU SUKARI KHA MBONA HIV HAMLETI

    Natokakufungua ffb acc leo yaan kila mtu anauza dawa za kisukari Funguaa acc nyingine hukoo ndio balaaa kaweka tangazo la kutibu bure bonyrxaa link Manenoooo mengi mwishoo anakwambia tuma 170000 atii punguzo hili n kwa siku 7 tu Nyooooo hivi mnatuonaje nyie kengee mshaona watanzania wajinga...
  4. Dawa ya kuzibua choo naipataje wakuu

  5. S

    Naomba dawa ya kumvuta nimpendaye

    Wadau habarin kuna mwanamke nimempata kupitia mtandao ishu ni je ataniacha au maana bado hatujabond vyema wala kuonana ana kwa ana nipeni dawa nimvute asije pokonyoka
  6. D

    SoC04 Suluhisho la upatikanaji wa bidhaa za afya vituoni hususani bidhaa za dawa

    UTANGULIZI. Licha ya selikari kufanya jitihada kubwa katika huduma za afya, ikiwemo majengo ya kutolea huduma za afya na wataalamu mbalimbali. Bado Kuna changamoto katika upatikanaji wa bidhaa za afya hasa bidhaa za dawa. Wizara ya afya kupitia bohari ya dawa (MSD) imekuwa ikipeleka dawa...
  7. S

    Matumizi sahihi ya dawa za kupunguza makali ya VVU yanaondoa kabisa uwezekano wa kumuambukiza VVU mwenza wako wa kingono

    Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na ukawa unaendelea kutumia dawa za kufubaza virus -ARVs, basi jua huwezi kabisa kumwambukiza mshirika...
  8. Dawa ya kumfanya mwanaume akupende na hatimaye akuoe

    Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe. Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu, unaona kabisa hakuna dalili za ndoa. Dawa hii itasaidia kufanya mwanaume huyu akuoe na siyo kuishia...
  9. Wanajamvi naombeni msaada hii dawa

    Wadau hivi ukinywa Omeprazole na neuroton mwili unakua unauma ndio kawaida zake hizi dawa yaani kifua mbavu mgongo vyote vinauma je niachane nazo
  10. S

    Matumizi sahihi ya dawa za kupunguza makali ya VVU yanaondoa kabisa uwezekano wa kumwambukiza mwenza wako wa kingono

    Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na ukawa unaendelea kutumia dawa za kufubaza virus -ARVs, basi jua huwezi kabisa kumwambukiza mshirika...
  11. Dawa gani inaweza kundoa kipilipili sugu?

    Wana JF naomba nisaidiwe dawa inayo weka nywele sawa na ziache kujifungaa ..but dawa hiyo isiwe na madhara makubwa.......ninaomba kusaidiwa wakuu
  12. Jinsi ya kuishi na Mwenza mwenye maambukizi ya VVU au UKIMWI

    Habari wakuu Uzoefu: Nimeishi na mwenza mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 (2014-2019), katika kipindi chote hiki tulishiriki vyema mambo yote hata yale ya kujamiana na sote tulifurahia, kwasasa tumeachana lakini sina...
  13. Hii dawa ya kupunguza uzito inapatikana Tanzania?

    Mwaka 2017 FDA ya Marekani iliipitisha dawa ya Ozempic kuwa dawa ya kutibu kisukari. Baadaye ikaonekana dawa hiyo inasababisha madhara ya kupunguza uzito. Walichofanya ni kuiongezea nguvu na kutokeza dawa ya kupunguza uzito iitwayo Wegovy. Dawa hii imesajiliwa na kupatikana Tz? Gharama zake...
  14. Ulishawahi kugombana na mwenza wako kwasababu ya hizi Dawa?

    Leo Mjanja M1 nimetafakari sana kuhusu mfanano wa hivi vipakiti vya dawa ya Mbu na Ndom. Je ushawahi kupata msala wowote kwasababu ya hivi vipaketi?
  15. Usugu wa vimelea dhidi ya dawa haya ndiyo maoni na ushauri wangu

    Unachangiwa na tatizo la saikolojia za baadhi ya wahudumu kwenye vituo vya afya. Mfano unakuta mhudumu anamsongo wa mawazo kwa namna yeyote na afikapo kazini anamhudumia dawa mgonjwa badala ya kuandika2*3 ataandika2*2 mwisho wa siku mgonjwa haponi. Ushauri kuwe na watalam wa saikolojia huko...
  16. D

    Hawa ‘slay queens’ wa town wanatumia dawa nini?

    iko hivi mimi mchaga mgumu sana kwa cash. aisee leo nimekutana na pisi kali sana. sana sana. mzuri sana. kakamilika, (simjui) picha linaanza. moyo ukapata palpation kwanza kama cardiac urgency. ishu : naonga tu, yani sijali akili ina kataa roho inakubali. na mimi sina hizo pesa. nimekuja...
  17. Suluhisho la Kudumu la Kero Zote za Muungano, na Dawa ya Kutibu Sumu ya Ubaguzi wa Utanganyika na Uzanzibari ni Kuwa na Serikali Moja ya JMT?

    Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, ni mwendo wa Kwa Maslahi ya Taifa kwa kwenda mbele, mada ya leo ni mada muendelezo wa wiki iliyopita kuhusu hizi chokochoko zinazoendelea za kuuchokoa huu muungano wetu adimu na adhimu kwa hoja za kibaguzi za Utanganyika na Uzanzibari, ambapo wiki...
  18. Ukiachana na UKIMWI, ni ugonjwa gani wa maambukizi Mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote??

    Wakuu Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus. Magonjwa yasiyoambukiza -magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure magonjwa ya moyo. Swali je ni ugonjwa gan wa vimelea mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote?
  19. J

    SoC04 Namna ya kudhibiti matumizi holela ya dawa za binadamu mtaani

    Dhana ya kufanya biashara kwenye maduka ya dawa Muhimu (DLDM) inahatarisha maisha ya wananchi wanao kimbilia kupata huduma kwenye maduka haya .Maduka ya dawa yamerahisisha huduma ya upatikanaji wa dawa za binadamu wakati huohuo yameongeza hatari ya kupata madhara yatokanayo na dawa hizo.Hii...
  20. A

    DOKEZO Baadhi ya Maafisa wa TMDA wanaofanya ukaguzi Maduka ya Dawa wachunguzwe, wanakiuka maadili

    Baadhi ya maafisa wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) ambayo miezi kadhaa iliyopita ilikabidhiwa jukumu la kusimamia maduka ya dawa kutoka Baraza la Famasi ambao walikuwa na jukumu hilo awali, wamekuwa wakienda kwenye maduka ya dawa haswa yenye changamoto ya usajili wa baadhi ya dawa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…