dawasa kibamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso amsamisha kazi Meneja wa DAWASA Kibamba kwa kutoridhishwa na utendaji wake

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amefanya mabadiliko ya nafasi ya Meneja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wa mkoa wa kihuduma Kibamba kutokana na kutoridhishwa na utendaji wake. ‎ ‎Mabadiliko hayo ameyafanya Novemba 28, 2025, baada ya kufanya ziara ya kikazi katika...
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO DAWASA kuna watu wamejenga juu ya Mabomba yenu huku Kibamba

    Hii ni hatari kwa usalama endapo Bomba hili litapasuka Na ni uhujumu uchumi kama Kuna wizi wa maji. Kuna mtu hapa Kibamba Hospitali, ni mfugaji wa Samaki amefungia Bomba lenu kubwa ndani ya ukuta wake. Na huko ndani kwake Kuna mabwawa ya kufugia Samaki. Makao Makuu ya wilaya ya Ubungo hayapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…