Moja ya shirika linalohitaji reshufle kubwa sana ni DAWASA. watendaji wamezoea kufanya kazi kwa mazoea. CEO wao ndio usiseme. Hana uwezo, anaishi kwa mazoea ya awamu ya tano.... kisa he was favorite
Zaidi ya wakandarasi 20. Wazabuni 14 wanaidai shirika hilo toka December mwaka Jana. na wengne...
Katika siku za karibuni mashirika yanayojiendesha yamekuwa katika mikakati ya kuhakikisha yanazalisha pesa kwa namna yoyote Ile ili mradi wapate kujiongezea stahiki na mambo mengine, sasa katika harakati hizi ni DAWASA.
DAWASA imekuwa ikilalamikiwa na wateja wengi sana kuhusu bili za maji...
Imetia mwezi sasa tangu nipeleke maombi ya kuunganishiwa huduma ya maji katika pagalu langu lililopo Picha ya Ndege lakini hawa jamaa wa DAWASA hawajatuma hata surveyor.
Isitoshe unapotembelea pale ofisi kwenu wateja wengi hufika pale na malalamiko mbalimbali ya huduma mbovu mnazotoa, hamna...
Wadau naomba kuuliza kuna jirani yangu kajenga juu ya bomba kubwa la maji la dawasa ambalo mimi nitap hapo, ma uzuri urasimishaji wa viwanja wamekataa kumpimia sababu ya kujenga juu ya miundo mbinu, ajabu ananisumbua sana mara oh anataka kujenga fensi , sasa unajengaje hali uko sehemu mbaya...
Wakuu hivi hawa DAWASA hizi meter zao wamezitemptor? Majirani zangu nilikuwa naona wanalalamika wanaletewa mabili ya ajabu nikaona labda matumizi yao.
Jana wakanitumia bili yao, toka bili ya 5000 to 40000? Tena ya Desemba wakati kipindi hicho watu wengi walikuwa wamesafiri? Je, mliopata shida...
NHC kwenye Bill payment system yenu boresheni yafuatayo;
1.Mngeweka kwenye website yenu njia mpya ya kulipia hizo bills zenu kupitia control numbers... wengine tupo maporini lakini ni wapangaji wenu...naangalia hapa kwenye website yenu hata helpdesk page haifunguki nimeshindwa kupata msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.