KUTOKA KANISA ANGLIKNA DAYOSISI YA MPWAPWA!
Baada ya kifo cha ghafla cha aliyekuwa askofu wa dayosisi ya Mpwapwa aliyefia Tanga baada ya kuhudumu kwa siku sita tu,ukaitishwa uchaguzi mwingine ambao umeleta mgogoro wa muda mrefu tangu mwezi mei hadi leo hii.
Chanzo hasa cha mgogoro huo ni mmoja...