dayosisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. masopakyindi

    Dayosisi ya Konde KKKT kutawanyika?

    Kuna kila dalili kwamba Dayosisi ya Konde KKKT inaweza kutawanyika na kubaki vipande vipande. Ibilisi ameota mizizi ndani ya Konde, tena Ibilisi mwenye mapembe yake ya kiburi, hasira, ukaidi, utenganisho, fitna na kiujumla kupotea kabisa kwa upendo. Kwa wengi tuliodhani ujio wa Dr Mwaikali...
  2. Man from cuba

    Mgogoro KKKT Dayosisi ya Konde nani alaumiwe?

    Kanisa la kiinjili la kiluteri Tanzania KKKT dayosisi ya konde limeingia majaribuni baada ya mgogoro wa muda mrefu uliotokana na uamuzi wa askofu wake Dkt. Mwaikali kuhamisha kiti cha askofu kutoka Tukuyu kulipokuwepo makao makuu ya dayosisi ya konde kuyapeleka Mbeya mjini uamuzi uliozua mgogoro...
  3. masopakyindi

    Dr. Edward Mwaikali avuliwa Uaskofu Dayosisi ya Konde KKKT

    Nimepata tetesi kuwa katika Mkutano Mkuu wa Dayosisi ya Konde KKKT, ulioitishwa na Mkuu wa Kanisa, leo 22/03/2022, aliyekuwa Askofu wa Dayosisi ya Konde Dr. Edward Mwaikali , amevuliwa Uaskofu. ==== Mkutano mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde umemuondoa...
  4. peno hasegawa

    Askofu Dr. Stefano Moshi, mtoto wake Eng. Zebedayo Moshi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya KKKT

    Sasa nirudi kwenye mada. Kumekuwa na kupeana nafasi kwa watoto wa maaskofu huko Dayosisi ya kaskazini , nafasi kubwa za kikazi ,kanisa limejenga ngome ambayo watoto wa waumini wengine ambao baba zao sio maaskofu nafasi hutapewa na nafasi za kaxi hazitangazwi. Mifano ni mingi ila nieleze...
  5. M

    Buriani Askofu Mstaafu Amos Luther Gimbi,KKKT Dayosisi ya Kati

    Maisha ya Mwanadamu mwisho wake ni kifo...Bila Shaka mwisho tunaouzungumzia ni hapa Duniani! Lakini kwa Waamini kifo ni mwanzo wa Maisha mapya ya Watakatifu! Mzee Amos Luther Gimbi baada ya Miaka 88 ya Huduma yake hapa Duniani alipumzika tarehe 28.09.2021 huko Marekani! Askofu Dr.Gimbi alikuwa...
  6. masopakyindi

    Askofu Isaya Mengele na Askofu Mwaikali, mgogoro wa KKKT Dayosisi ya Konde unawapaka matope!

    Askofu Mengele -katikati na Askofu Mwikali aliyesimama walipoita waandishi wa habari wakijieleza. Askofu Mengele amefunga safari kwenda Mbeya kumpa tafu Askofu mwenziwe Askofu Mwaikali ambaye ana tuhuma zinazo muweka katika sintofahamu na kondoo wake. Kitendo cha kupeana tafu kati ya hawa...
  7. P

    KKKT Konde mlikosea tangu mlipomfuata Askofu Mwaikali akawe Askofu wa Konde

    Wapendwa sana wana KKKT Dayosisi ya Konde, poleni na mgogoro wa kuhamishwa makao makuu toka Tukuyu kwenda Mbeya Mjini. Askofu mwaikali katika ngazi za juu amekuwa msaliti tangu akiwa msaidizi wa askofu hadi akahamia iringa hadi mlipomfuata akawe askofu wa Konde. Nina maswali ambayo mnatakiwa...
Back
Top Bottom