dc sixtus mapunda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania DC Sixtus Mapunda: Wananchi wananiambia hawataki kwenda Polisi, bora niwapeleke TAKUKURU kwa kuwa kuna haki

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesisitiza kuendelea kushiriki katika shughuli za kijamii sambamba na jukumu lake la msingi la kupambana na rushwa, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuboresha huduma za afya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 DC Sixtus Mapunda amuomba RC Chalamila na Serikali kuwasilikiliza wananchi wa Temeke kurejesha huduma ya Mwendokasi

    Mkuu wa wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda leo Novemba 18, 2025 Mara baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert John Chalamila ametoa dukuduku la wakazi wa Temeke juu ya kukosekana kwa huduma ya mwendokasi ambayo mradi huo ulisitishwa mara baada ya machafuko na magari baadhi kuharibiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…