PostGE2025 DC Sixtus Mapunda amuomba RC Chalamila na Serikali kuwasilikiliza wananchi wa Temeke kurejesha huduma ya Mwendokasi

PostGE2025 DC Sixtus Mapunda amuomba RC Chalamila na Serikali kuwasilikiliza wananchi wa Temeke kurejesha huduma ya Mwendokasi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mkuu wa wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda leo Novemba 18, 2025 Mara baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert John Chalamila ametoa dukuduku la wakazi wa Temeke juu ya kukosekana kwa huduma ya mwendokasi ambayo mradi huo ulisitishwa mara baada ya machafuko na magari baadhi kuharibiwa pamoja na vituo.

DC Sixtus Mapunda ameiomba Serikali kuwasilikiliza wakazi hao wa Temeke na kudai kuwa wao hawana shida wala tatizo na miradi ya Serikali

Soma pia PostGE2025 - Mkuu wa Mkoa wa DAR Albert Chalamila amefanya ziara kutathmini uharibifu wa mwendokasi Mbagala,aagiza mabasi yaanze kazi Novemba 20

 
Back
Top Bottom