Mkuu wa wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda leo Novemba 18, 2025 Mara baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert John Chalamila ametoa dukuduku la wakazi wa Temeke juu ya kukosekana kwa huduma ya mwendokasi ambayo mradi huo ulisitishwa mara baada ya machafuko na magari baadhi kuharibiwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaomba radhi watumiaji wa mabasi ya mwendokasi kutokana na upungufu wa mabasi, akiwahakikishia kuwa muda wowote tatizo hilo litatatuliwa.
Soma > Chalamila: Njia ya Kimara yatakuja mabasi 200, ukisema hatuitaki CCM haisaidii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.