RC Chalamila awaomba radhi watumiaji wa Mwendokasi

RC Chalamila awaomba radhi watumiaji wa Mwendokasi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, leo asubuhi Jumatano, Oktoba Mosi, 2025, amefika katika kituo cha mwendokasi cha Kimara Mwisho na kushuhudia namna wananchi wanavyokabiliana na changamoto za usafiri ukiwamo kutumia muda mrefu vituoni na kugombania mabasi.

Soma pia: Chalamila: Mwendokasi umepoteza Ladha, mtu mwenye tai hawezi tena kupanda

 
Pale mtengeneza tatizo anaposhangaa tatizo alilotengeneza !
20250927_121555.jpg
 
Baada ya ile kauli ya hatuitaki CCM kutoka kwa abiria, Chalamila atakua ametumwa na mabosi wake akaombe samahani na kutoa ahadi hewa ili wananchi waipende CCM yao.
 
Nadhani watu wa CCM hawapeani report, kila mtu anafanya anavyojiskia. Hakuna boss wala wa chini. Halafu hata social media hawasomi. Inakuaje serikali inayokaa Dar ilikua haijui kwamba DART ina matatizo mazito hadi vurugu za Magomeni.?
Inawezekana kabisa Majaliwa ndio leo amesikia UDART kuna shida ndio kaja mbio mbio.
Rais naye si ajabu leo ndio amejua kuna tatizo ndio maana kamfukuza kazi Kibamia.
Nchi nyingine by the time rais anakunywa supu asubuhi anakua keshapitia magazeti yote, kesha pata ripoti za kiintelejensia kutoka kwenye majeshi yote. Kutoka mikoa yote na wizara zote.
Kwa kumuabgalia tu Chalamila alivyokua na kiburi unaona kabisa hapeleki report popote.
 
Back
Top Bottom