de bruyne

  1. JanguKamaJangu

    Kocha Pep Guardiola asema Kevin De Bruyne anabaki Man City

    Kevin De Bruyne is STAYING at Man City this season, insists Pep Guardiola, despite reports claiming Saudi club Al-Ittihad had agreed terms with the veteran star Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kiungo wat imu yake, Kevin De Bruyne hana mpango wa kuhamia Saudi Arabia kama...
  2. JanguKamaJangu

    Mazungumzo ya Kevin De Bruyne kutua Al-Ittihad ya Saudi Arabia yafika pazuri

    Baada ya kudumu kwenye kikosi cha Manchester City kwa miaka 9, inadaiwa Kevin De Bruyne yupo njiani kuondoka kikosini hapo kuelekea Al-Ittihad inayoshiriki Ligi Kuu ya Saudi Arabia (Saudi Pro League). Inaelezwa mazungumzo yanaendelea kati yaklabu hizo mbili na tayari kuna makubaliano binafsi...
  3. Intelligent businessman

    Usimdharau mtu, jifunze kupitia Historia ya maisha ya Kevin de Bruyne

    Hadithi ya Kevin de Bruyne na mwanamke aliyemwacha Picha ni marafiki wawili waliokua pamoja ndani timu ya kukuza vipaji nyumbani kwao Belgium mmoja wa kishua Thibaut mwingine wa maisha ya chini kabisa Kevin De Bruyne baadae wakanunuliwa na Chelsea ya vijana baadae mwanamke akawafanya kutengena...
  4. JanguKamaJangu

    England: De Bruyne aumia, kuwa nje kwa wiki kadhaa

    Kevin De Bruyne amepata majeraha ya nyama za oaja wakati timu yake ya Manchester City ikishinda magoli 3-0 dhidi ya Burnley katika mchezo wa kwanza wa Premier League. Kocha wa City, Pep Guardiola amesema madaktari watamfanyia vipimo De Bruyne kujua ukubwa wa tatizo lakini kuna uwezekano atakuwa...
Back
Top Bottom