death

  1. Barbarosa

    Near Death Experience (NDE), hubadilisha watu for good!

    Ni ngumu sana kukuta mtu aliyewahi kupitia ,,near death experience” halafu maisha yake yasibadilike, watu wengi ambao hukaribia kufa au labda niseme hunusurika na kifo huwa ni wengine kabisa baada ya tukio, kwa mfano mtu akigongwa na gari na kupona huwa yuko tofauti na kabla ya tukio. Sasa...
  2. Barbarosa

    Watu milioni 50 wameshakufa mpaka leo hii tangu mwaka uanze

    Watu laki moja na nusu (150,000) hufa kila siku hapa duniani, watu 6300 hufa kila dakika hapa duniani, na kwa mwaka hufa zaidi ya watu milioni 50.
  3. Mlenge

    Huzuni ya Kufiwa Huja Kama Mawimbi

    Kifo hakizoeleki. Kila mmoja anayo namna yake ya kuonyesha huzuni yake baada ya kufiwa; kwa mfano, wengine hulia kwa kupiga kelele, japo wengine hukaa kimya. Huzuni ni kitu kisichoonekana kwa macho, na mara nyingi huwaweka wahuzunikao kwenye hatari ya kupata sononi na madhara mengine ya...
Back
Top Bottom