defense

  1. Artifact Collector

    Israel isingekuwa na Iron dome defense system ingekuwa habari nyingine

    Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana unaofanywa maksudi na media na sijui kwanini. Mfano mpaka sahivi hamas amesharusha makombora zaid ya 1000+ Israel lakin kinachowasaidia Israel ni kuwepo kwa mfumo wa iron dome defense system. Hamas anaporusha Yale makombora yake achagui, tofauti na Israeli...
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Karate ndio mchezo unaoweza kukuhakikishia safe self defense kwa zaidi ya 90%

    Karate ni mchezo mtamu sana, na hautumii nguvu nyingi sana kama ndondi. Ndondi haiwezi kukupa uhakika wa zaidi ya 50% katika suala zima la self defense. Karate inakufundisha kila kitu even magic kama utabahatika kufikia level ya kuanzia mkanda wa blue. Sema tu Bongo karate hailipi sana...
  3. Masokotz

    Je, ni wakati sasa wa Jeshi letu kuwa na Technological Defense Command (Technological Warfare Command)?

    Sijajua kama nimeweka huu uzi katika jukwaa sahihi ila ninaamini kabisa kwamba kuna Maofisa ambao wanapita humu ambao wanao uwezo wa kuliweka hili mezani na kulijadili kwa kina kwa kuzingatia mazingira yanvyobadilika. Kumeibuka aina mbalimbali za uhalifu kama vile Cyber Crimes na pia kumekuwa...
  4. FRANC THE GREAT

    Mifumo ya Ulinzi wa Anga | Missile Defense Systems

    Mifumo ya Ulinzi wa Anga (Missile Defense Systems) Patriot "MIM-104" SAM System (USA) === S-300 Missile System (Russia) === THAAD "Terminal High Altitude Area Defense" (USA) === S-400 Missile System (Russia) === Iron Dome (Israel) === Arrow 3 (Israel) === To Be Continued!
Back
Top Bottom