degree

An academic degree is a qualification awarded to students upon successful completion of a course of study in higher education, usually at a college or university. These institutions commonly offer degrees at various levels, usually including bachelor's, master's and doctorates, often alongside other academic certificates and professional degrees. The most common undergraduate degree is the bachelor's degree, although in some countries there are lower level higher education qualifications that are also titled degrees (e.g. associate degrees and foundation degrees).

View More On Wikipedia.org
  1. Je, mnanitunuku lini 'Honorary Doctorate Degree' yangu kwa kuwa Visionary and Rational Thinker?

    Kuna Watu mnawalundikia Mashahada ya Heshima mbalimbali ya kuhusiana na Mambo fulani fulani ambayo GENTAMYCINE nikiangalia au nikitafuta walichofanya au walichokifanya huko wala sioni au sikioni. Haya watoa Honorary Doctorate Degree niangalieni nami GENTAMYCINE na niandalieni yangu kwani...
  2. Nina degree ya IT, natafuta kazi yoyote nipo DSM

    Mimi ni muhitimu wa degree ya IT na biashara niliyohitimu mwaka 2020 katika chuo kikuu mzumbe kampasi kuu morogoro, nina uzoefu na mambo ya IT. Ni mkazi wa dar es salaam. Ninaomba mwenye fursa ya kunisaidia kupata kazi ya aina yoyote nipo tayari kuifanya naomba wakuu tusaidiane kwa...
  3. T

    Hivi inawezekanaje mtu huna kazi bado unasoma Master's Degree?

    Wakuu habari za Jumapili, Niseme, mwaka huu 2023 nimehitimu Shahada ya Umahiri ama Master's Degree kwenye fani ya uchawi na ushirikina chuo kikuu. Kwenye kuisoma hiyo fani, kilichonishangaza sana na bado nazidi kushangaa ni kuona vijana wakisoma Shahada za Umahiri huku hawana kazi. Najiuliza...
  4. Kwa sasa huenda 90% ya Degree hazina tena maana, hazikupi ajira wala maarifa ya kupata kipato

    Ukweli usemwe na usemwe wazi ili kila mtu aujue. Wigo wa watanzania kusoma mpaka chuo kikuu ili kupata degree umekuwa mkubwa lakini huo mfumo umekuwa ni hasara na upotevu wa rasimali (muda, pesa na nguvu) kwa 90%. Ajira mtaani kwa 90% hakuna kwa fani nyingi, ni sawa na kucheza kamili, na elimu...
  5. F

    CHINA wana viwanda vya kumwaga, wanatengeneza kila kitu ila bado Graduates hawapati ajira. Elimu ya chuo kikuu ni SCAM, degree hazina dili

    habari wadau. nimeona BBC article kuhusu soko la ajira la china. nimejifunza zama hizi kumsomesha mtoto chuo kikuu tena digrii zisizo za skills based, kama ufundi ni kuchezea hela. kuna siku mwanao atakulaumu kwa mnaojua kiingereza ama kizungu. mjisomee na nyinyi With Graduate Jobs Scarce...
  6. F

    Kuona Dada wa Kazi (house girl) mwenye degree ya Accounting pamoja na CPA inafundisha Uwekezaji wa kusomesha mtoto haupaswi kutumia gharama kubwa

    Kutana na dada wa kazi alieenda shule Ella ambaye yeye anasema kazi yake ni usaidizi wa kazi za nyumbani. Anasema licha ya kuwa na CPA yeye ni dada wa kazi na anafurahia kazi hiyo.
  7. Kwa mara ya kwanza Dar joto linasoma 27 degree

    Haya ni maajabu Muda huu huu imefika 26
  8. A

    DOKEZO Kuna harufu ya rushwa kutoka Fedha za Mikopo ya Wanafunzi wa Degree. TAKUKURU chunguzeni

    Miaka ya nyuma tokea nchi ipate uhuru huu mwaka bajeti ya kutoa mikopo Kwa WANAFUNZI WA degree ilikuwa kubwa sana, ilikuwa TZS bilioni 700+. Serikali ikakatangaza WANAFUNZI wanaonza degree (fresh students) watapata wanafunzi 75,000 lakini majina mpaka sasa yametoka 73,000 ambayo yamegharimu Sh...
  9. H

    Bodi ya mikopo kutoa mikopo kwa level ya diploma ina maana wako 'Satisfactory' kwa level ya degree

    Salaam leo jumapili siku ya Bwana. Kwenye mada. Kwa hali hiyo sitegemei kusikia wanafunzi wa degree wamekosa ufadhili huu muhimu wa mkopo wa elimu ya juu. Kwa sababu kama sikosei hili ndio lengo kuu la bodi ya mikopo ya elimu ya juu.Kuanzia degree kwenda juu.Kama ipo ya ziada basi sawa na...
  10. Msaada: Ukipewa Mkopo wa kusoma Diploma ukahitimu. Je, utapewa na mkopo wa kusoma Degree (Elimu ya Juu)?

    Habari Wana JamiiForums. Samahani naomba kuuliza kuhusu hili tangazo la Mikopo ya Elimu ya Stashahada (Diploma) ambalo limetolewa na Loan board (HESLB). Swali langu ni hivi ikitokea umepewa Mkopo wa Diploma ukasoma ukahitimu Alfu badae ukahitaji kuendelea na Elimu ya Juu (Degree), Je!! ukiomba...
  11. A

    Kwa ufaulu huu, je naweza kupata nafasi ya kusoma Bachelor Degree in Civil Engineering hapa Tanzania?

    Nina dogo langu kamaliza diploma in civil engineering (DIT) mwaka 2022 hapo tu, ana overall GPA ya 2.8, lakini GPA yake ya mwaka wa mwisho ni 3.1. Sasa swali langu ni kwamba je, TCU wanaangalia overall GPA ya miaka yote mitatu ya diploma aliosoma au ya mwaka wa mwisho? Maana siku za dirisha...
  12. Wasomi wa Degree tuna changamoto kwenye ajira

    Nilihitimu elimu ya juu kiwango cha shahada ya kwanza (Sheria). Ajira zinazotangazwa sana na serikali ni za wenye cheti, na diploma haswa utendaji wa Mtaa ambapo kwa sasa wanahitaji Certificate NTA level 5. Sasa shida inakuja kwamba, mfano, ikiwa kwenye kada ya Mtendaji Mtaa/Kijiji wanahitaji...
  13. Ushauri: Mtanzania asitunukiwe master's degree , PhD au Uprofessor mpaka afanyiwe kipimo cha utimamu wa akili

    Hello! Kwa tunayoyaona makazini, mitaani na serikalini itoshe kusema kuwa hizi elimu za juu zaidi kuanzia Master's na kuendelea mara nyingi wanapewa watu wenye uwezo mdogo kichwani lakini wana uwezo wa kukariri masomo. Kuna baba mmoja kazini ana PhD, yaani ni kituko. Kipindi kile akiwa na...
  14. Kusoma sana sio kigezo cha utendaji: Nehemiah Mchechu ana degree moja

    Katika Kikao cha Wenyeviti na watendaji wa taasisi za Umma kinachoendelea Jijini Arusha ambacho kinaongozwa na Msajili wa Hazina Ndg. Nehemia Mchechu, katika moja ya maongezi yake amekiri ana degree moja na hana mpango wa kuongeza nyingine kwa sasa. Amezungumza hayo baada ya kuzungumzia suala...
  15. Natafuta kazi, nimemaliza (UDOM) Bachelor degree in instructional design and information technology(IDIT).

    Kazi ambazo naweza kufanya ni: ✅Graphics Design(Logo design, posters design....nk) ✅Motion graphics ✅Video editing ✅Photography ✅2D animation ✅Design learning content for adults ✅Online courses development ✅Mobile maintenance ✅Computer maintenance ✅Maintain daily website activities Email...
  16. F

    Ushauri wanafunzi mliomaliza form 6. Degree za sanaa /social science mkazisomee open university huku mnafanya mishe zingine.

    Habari wadau. Naona vijana waliomaliza form 6 mwaka huu 2023. Wana heka heka na admission za chuo zilizoanza kutoka. Ushauri wangu kwao watambue ajira zipo chache sana zama hizi kama sio hakuna. Ulimwengu huu watu wana ku value kwa kupima unachokijua ama kukifanya kwa uhalisia. Hawaku value...
  17. A

    Natafuta kazi yoyote ndani na nje ya Tanzania, nina elimu ya Degree ya Education

    Habari wana jamvi, Natafuta kazi yoyote ya halali, Elimu: Bachelor degree (shahada) ya ualimu masomo kiswahili na Geography Umri: Miaka 28 Eneo nilipo: Dae Es Salaam, Goba Lugha: kiswahili na English fluently (speaking and writing) Uzoefu: Nina uzoefu wa mambo mbalimbali ikiwa ni ufundi wa...
  18. Serikali iwaombe wafanyabiashara wakubwa waende vyuo vikuu wakafundishe wahitimu angalau unit 1 ili kukamilisha degree ya biashara

    Kila mkoa kuna wafanyabiashara wakubwa. Bila shaka wako pamoja na serikali. Wakiombwa wakafundishe angalau unit moja kwa wanafunzi wa mwaka wa 3 ili kukamilisha degree zao watakubali na kujitoa kwa moyo maana wataona wameheshimika. Hapa mfanyabiashara atakuwa huru kuwaelekeza/kuwafundisha...
  19. Tatizo sio Elimu Bali uhaba wa Fursa

    Nchi yetu Ina uhaba wa Fursa hata watu waliosoma skills From Vocational training , bado hawana opportunities za Kazi. So tujikite kuzalisha fursa na sio kuwapa lawama vijana.
  20. Natafuta Mchumba (mwanamke)

    Naitwa Alex, Elimu yangu ni Degree pia ni mwajiriwa natafuta Mchumba yaani mwanamke wa kuoa. SIFA Awe na elimu kuanzia Diploma na kuendelea. Awe mweupe au maji ya kunde. Asiye kunywa pombe. Awe mwenye hofu na Mungu. Awe hajazaa na Kama amezaa asiwe na zaidi ya mtoto mmoja. Awe mrefu au mfupi Ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…