Ni kweli na wala sio utani!
Ni Laptop aina ya Dell Inspiron N5040.
UWEZO.
1. Processor~ Core i3 @2.5 GHz.
2. Ram 4Gb.
3. Hard drive 500 Gb.
4. Betri 4 Hour's
Bei Tsh 400,000/=
Mawaliano:- 0622 901670
Location:- Kariakoo~ Dar es Salaam.
Ushindwe wewe tu mwaisa.
NB: Hizo picha hazina filter...
Wakuu habari ya muda huu? Mwezi March nilinunua laptop aina ya Dell 7480 ikiwa mpya kabisa.
Laptop yenyewe ina ram ya 8gb na processor ya iCore 7 na SSD ya 526gb.
Nimekuwa nikiitumia kwa shighuli zangu za research na kuangalia muvi kidogo bila matatizo mpaka siku 5 zilizopita.
Awali laptop...
Wadau,
Kwanza niweke wazi, mimi si mtaalamu sana wa PC. PC yangu ni DELL VOSTRO yenye specifications hizi kwenye picha. Ila sasa, inachemka sana. Shida inaweza kuwa nini?
Wakuu habari,
Ninaomba kujua Bei ya dukani kwa pc ya lenovo au dell.
Pia naomba kujua utofauti wa utendaji kazi wa aina hizi mbili za pc mfano kutunza betri na ubora kwa ujumla.
Kimsingi nahitaji kuelewa vitu vya msingi vya kuzingatia na kukagua wakati wa kununua pc hizi.
Natanguliza...
Nauza Dell desk top Intel core 2 duo,8GB na 320HDD.Zipo zaidi ya kumi ,from a closed office in UK. Ni nzuri safe kwa mtu anaehitaji kufungua computer centre.Seriously buyer only to contact 0712652110 Dar Bei 350000 mazungumzo yako .Huo mzigo sio wa kukosa
Nauza destop Aina ya dell Bei 160,000/=
Desktop Aina ya dell
Ram 2
Hard disk 320GB
CPU DUO 1.6Ghz
Hali:Imetumika
Mahali:Mkoa wa Dar es salaam
Simu no 0717265343
Karibu.
Gaming pc DELL Inspiron 15
INTEL CORE I5-6200U
2.30GHZ Turbo UPT0 2.8GHZ c p u
6TH GENERATION
HDD 500GB
8GB-DDR4
speedGraphics AMD Radeon with 2Gb Dedicated
battery 3hrs *
15.0 inches screen
Windows 10 In Good condition
Good for Graphics/Gaming and Heavy duty workPRICE
850000 only
USED FROM UK VERSION
DELL LATITUDE 7420 "14 (2021)
3GHz Intel Core i7 4-Core (11th Gen)
16GB Of LPDDR4xRAM |256GB M.2 SSD
"14 1920×1080 IPS - Type WVA Display
Intergrated Intel Iris Xe Graphics
Micro SD Card Slot
USB 3.2 Gen 1 | Thunderbolt 4 | HDMI 2.0
FULL HD IR WEBCAM
Fingerprint...
Nina pc ya dell inspiron 3521 ambayo ina tatizo moja kwamba, ukiweka waya wa charge, betrii halichaji Bali inakia inatumika kama desktop, lakini nikipeleka betri kwa pc 💻 ya mtu betrii nachaji vizuri tu, bila shida yoyote, hio ilikuwa mwaka jana mwezi wa kwanza, na betri lilikia linasoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.