Mwenyekiti wa Ujumbe wa Tanzania IPU Dkt Damas Ndumbaro ameeleza kuwa Mkutano huo unatoa nafasi ya kueleza maendeleo ya kikatiba, mfumo wa vyama vingi, utawala wa sheria na namna taasisi za nchi zinavyofanya kazi ambapo amesema kwa uzoefu wa katika masuala ya demokrasia, Katiba, mfumo wa vyama...