Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Mwenyekiti wa Ujumbe wa Tanzania IPU Dkt Damas Ndumbaro ameeleza kuwa Mkutano huo unatoa nafasi ya kueleza maendeleo ya kikatiba, mfumo wa vyama vingi, utawala wa sheria na namna taasisi za nchi zinavyofanya kazi ambapo amesema kwa uzoefu wa katika masuala ya demokrasia, Katiba, mfumo wa vyama vingi na utawala wa sheria Tanzania imeendelea kufanya vizuri.
Aidha amesema Ndumbaro suala la Utawala na Demokrasia kwa Tanzania watu wengi wanaliangalia kwa mtazamo finyu lakini likiangaliwa kwa mtazamo mpana wa kitalaamu na jicho bobevu kama nchi imefanya vizuri katika sekta hiyo.