demokrasia

  1. Mkwawa mnyalukoro

    Je, CCM itachagua demokrasia ama utaratibu kumpitisha Samia?

    Baada ya kifo cha Rais Magufuli Chama cha Mapinduzi kimeingia katika Mtego mzito sana katika Siasa yake. Mtego huu unatokana na Kifo cha Rais Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano akiwa Madarakani na kumpata Rais aliyetokana na Katiba. Kisheria na taratibu za vyama...
  2. plagiarism

    SoC03 Tafuta pesa

    Hii ni kauli ambayo imekuwa ikitrend sana tokea mwaka jana Hadi Leo huku ikifanya wengine wajikwamue na wengine bado wasipate njia za kutoka. Binafsi nimegawanya katika njia mbili, 1: WATU WENYE AJIRA 2: WATU WASIO NA AJIRA 1: WATU WENYE AJIRA. Binafsi nimekuwa mmoja wa mashuda katika hili...
  3. voicer

    Kama demokrasia imerudishwa nchini, kulikoni ACT- Wazalendo kuzuiwa Maandamano?

    Kwamba Mheshimiwa Rais anapongezwa kwa kuifungua Demokrasia nchini. Lakini maandamano ya kupinga Ufisadi, Ubadhirifu na hujuma zilizotajwa na CAG yakipigwa marufuku? Kwamba Serikali inayopinga ubadhirifu,ndio hiyohiyo inayozuia maandamano ya wananchi kuipongeza kwa kuyaibua hayo madudu kupitia...
  4. Lituye

    Wanastahili kupewa nishani ya Demokrasia

    Kutokana na taifa hili kuvamiwa kijeshi na kikundi cha watu wasio julikana miaka saba ya utawala wao taifa hili lilijazwa hofu watu kutekwa na kuuawa kama kuku, kupiga risasi watu hovyo na wengine kupotezwa. Wapo wenzetu kutokana na nafasi zao pamoja na hali ya kuogofya bila kutanguliza maslahi...
  5. Erythrocyte

    Baada ya ujio wa Tundu Lissu, CHADEMA yatangaza kuvurumisha Mikutano ya hadhara Kanda ya Kusini

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuanza ziara kabambe ya Kikazi kwenye Kanda ya Kusini. Katibu wa Kanda hiyo Governor Kaduma amewaambia waandishi wa habari Mjini Masasi kwamba kwenye Mikutano hiyo ya hadhara , Kikosi kazi cha Chadema kitaongozwa na yule yule Mwamba wa...
  6. benzemah

    Mbunge CHADEMA amlipua Hayati Magufuli bungeni, asema aliua demokrasia

    Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CHADEMA) amemlipua Rais Magufuli wakati akichangia hoja bungeni hii bungeni hii leo akieleza kuwa amefanya vyema kwa namna alivyoliongoza taifa tangu alivyopokea kwenye mazingira magumu mpaka hapa tulipofika hii leo. Pia alisema Rais Samia ameweza kuimainisha jamii...
  7. Replica

    Bunge lasimama kujadili na kutoa azimio la kumpongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia na Diplomasia ya Uchumi

    Mhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi. Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio...
  8. comte

    Demokrasia sahihi ni kufanya siasa ndani ya bunge na mabaraza ya uwakilishi baada ya uchaguzi siyo maandamano

  9. 2019

    Demokrasia kwa mtu mweusi bado sana labda miaka 100 ijayo, ni fujo tu na uporaji

    Ni nchi gani uliwahi kuona maandamano yasiokuwa na fujo na uporaji kwa nchi za Afrika(isipokuwa za Kiarabu) Kwa mtz ambaye yuko bize na mishemishe zake hawezi kukubali maandamano hata siku moja sababu mambo yatakwama mengi na hasara juu. Angalia kwa jirani zetu Kenya 🇰🇪👇 Waporaji na wezi...
  10. M

    Huko USA huwezi kutenganisha haki za binadamu na haki za mashoga/LGBT!

    Hivi watanzania wanaelewa maana ya demokrasia na haki za binadamu kama zinavyofahamika na marekani? Kwa marekani demokrasia na haki za binadamu zinaambatana na haki za mashoga almaarufu kama LGBT!! Ukikubali demokrasia na haki za binadamu zinazoigiwa debe na marekani duniani kote maana yake ni...
  11. J

    Rais Samia: Kwenye viwango vya Siasa na Demokrasia tumeshuka!

    Rais Samia anesema kwenye Viwango vya Siasa na Demokrasia vya Kimataifa hatujafanya vizuri hivyo tumeshuka chini Source TBC ======= Akizungumza baada ya kupokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU 2021/2022, Rais Samia amesema: "Kwenye uchaguzi na Demokrasia tumeshuka. Tulikuwa na pointi 51, sasa tuna...
  12. F

    Afrika Kusini, Kenya, Nigeria na Tunisia leo kuna maandamano. Hawa ni vinara wa uchumi wa Afrika wanadai maisha bora zaidi na demokrasia

    Leo nchi vinara wa uchumi wa Afrika wanaandamana kudai maisha bora, demokrasia na utawala bora. Inashangaza nchi hizi ambazo zina unafuu ukilinganisha na Tanzania katika masuala ya maendeleo wapo barabarani wanadai mambo bora zaidi. Maandamano ya amani ni njia mojawapo nzuri sana ya kudai yote...
  13. Msanii

    Mary Chatanda athibitisha maneno ya bibi Titi kuwa wanaume ni waoga kwenye kupambania Uhuru, Haki na Demokrasia

    Mwenyekiti wa UWT Taifa amesema hayo alipokjwa anatoa salaam za UWT kumkaribisha rais wa JMT mama Samia kuzungumza na wanawake na Taifa leo katika uwanja wa Uhuru CDE Mary Chitanda amesema kwa kunukuu ukurasa wa 52 wa kitabu cha Bibi Titi Mohammed ambaye aliandika kuhusu nafasi na ushiriki wa...
  14. F

    Umasikini ni Kikwazo cha Ukuaji Demokrasia Afrika

    Kuna mtazamo duniani kuwa wasio na kazi ya kipato ndiyo hutengeneza hadhira kwa wanasiasa majukwaani na pia hufanyika ama wateja au abiria wa difenda na karandinga. Umaskini wa kipato unakwaza ukuaji wa demokrasia barani Afrika: 1. Chaguzi za Afrika zimeghubikwa na rushwa hatarishi kwa...
  15. K

    Pongezi kwa Rais Samia, Demokrasia ni msingi wa maendeleo

    Kuna watu bado hawaelewi. Rais Samia anataka kuweka demokrasia sio kwa mapenzi ya Chadema au CCM bali ni ukweli kwamba demokrasia imara inasaidia kwenye maendeleo ya nchi Vyama vya siasa kupewa nguvu sawa ni mihimu ili kuwe na ushindani wa hoja kwa maendeleo ya nchi. Hii ndiyo kazi kubwa ya...
  16. rmajani

    Rais Samia na Demokrasia ya utawala kwa majadiliano na maafikiano

    Utawala wa demokrasia ni utawala wa majadiliano na maafikiano, sio utawala wa amri.na sio utawala wa imla, sisi sote tunajua watu wamegawanyika au wametofautiana katika mawazo na fikira.hakuna kisima cha jumuiya cha kuchota mawazo na fikira za jumuiya. Hwa hiyo mgawanyiko wa fikira ni lazima...
  17. L

    Baraza la mashauriano ya kisasa la China linapanua ushiriki wa watu kwenye demokrasia

    Mikutano Miwili ya China yaani Bunge la Umma la China NPC na Baraza la Mashauriano ya Kisasa la China CPPCC inaendelea hapa Beijing. Hivi ni vyombo viwili vikubwa vya uwakilishi wa umma katika mambo ya utungaji wa sheria na mashauriano ya kisiasa. Uwepo wa vyombo hivi viwili kwa pamoja, ni...
  18. J

    Askofu Shoo: Rais Samia ameimarisha Sana Demokrasia. Siasa Siyo Uadui hivyo Upinzani uwe ni Kioo cha Serikali kuangalia Utendaji wake!

    Askofu Mkuu KKKT Dr Shoo amesema Rais Samia tangu aingie madarakani ameimarisha Sana Demokrasia na hii iko moyoni mwake kabisa Askofu Shoo amesema Siasa Siyo Uadui hivyo ni vema vyama vya Upinzani vikawa Kioo cha Serikali kujitazama Utendaji wake Source: ITV Habari
  19. The Sheriff

    Mitandao ya Kijamii na Uhuru wa Matumizi Yake Sahihi ni Huduma Muhimu kwa Wengi

    Mitandao ya kijamii imerahisisha sana uwepo wa majadiliano ya mtandaoni kuhusu masuala yoyote yanayoigusa jamii husika. Mitandao imekuwa ni uwanja wa kutafuta suluhu za matatizo ambayo jamii inakumbana nayo, lakini pia imekuwa kijiwe ambapo watu hubadilishana mawazo na pengine kupeana mbinu...
Back
Top Bottom